Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

Status
Not open for further replies.
Kwi kwii Mwenyekiti wa UKWATA anaitwa HUSSEIN RAMADHANI ALLY!
Kabisa, mpare wa Same. Alipomaliza la saba enzi hizo hatukuwa na shule za kata, mwenzake 1 tu akachaguliwa kuingia sekondari katika shule yake, wengine wote hola. Akaenda Tanga kujaribu bahati yake akafanikiwa, hata form 4 alifaulu vizuri. Kama yuko huku JF nitafurahi akini-pm tukawasiliana tena baada ya miaka mingi. Majina ya kusomea ni jambo la kawaida enzi zile. Siku hizi kuna "soko huria" na shule za kata, unaambiwa kama hutaki Kayumba sepa zako kwenye academies za akina St Chambo na St Gift.
 
huyu jamaa kichwa kweli yaani anataifisha hata jina alafu anajiita mwanauchumi kwa kuchuma majina ya watu
 
Enzi zetu zile za Mwalimu majina kama haya yalikuwapo tele, tuliyaita majina ya "Makweta" kutokana na Jackson Makweta aliyekuwa waziri wa elimu enzi hizo.

Kulikuwa na wakristo wenye majina yote ya kiislam kama wazanzibari, nakumbuka kuna mwenyekiti wa Ukwata alikuwa anaitwa Hussein Ramadhani Ally, mimi nilisoma na Prosper Valentin (mwislamu huyu) halafu kulikuwa na wachagga kibao wenye majina ya kiiraqw.

Nafikiri kama huyo mwenye jina lake halisi hajalalamika, tuiache hii ishu kama ilivyo maana ina historia ndefu ambayo kama haijaathiri kitu hakuna sababu ya kuichokonoa.

Mwenye jina atalalamika wapi kwani alinyongewa baharini!
 
Usahihi wa jina umebainishwa kwenye CV yake ambayo ameitoa kwa Bunge Profile Check Ups..,kama watu wako tayari kuhoji juu ya UADILIFU WA VIONGOZI WAO basi wangehoji juu ya CV ya Mbowe, ambayo haibainishi sehemu aliyosomea wala haisemi amefaulu kwa kiasi gani. Lakini si hapo tu, alifanya kazi kama Bank Officer wa B.O.T.,kwa vigezo vipi vilitumika kumpa kazi mtu ambaye elimu yake ina walakini.,ulizeni na jadilini hili...!
 
Usahihi wa jina umebainishwa kwenye CV yake ambayo ameitoa kwa Bunge Profile Check Ups..,kama watu wako tayari kuhoji juu ya UADILIFU WA VIONGOZI WAO basi wangehoji juu ya CV ya Mbowe, ambayo haibainishi sehemu aliyosomea wala haisemi amefaulu kwa kiasi gani. Lakini si hapo tu, alifanya kazi kama Bank Officer wa B.O.T.,kwa vigezo vipi vilitumika kumpa kazi mtu ambaye elimu yake ina walakini.,ulizeni na jadilini hili...!

Haijadiliwi elimu ya mtu hapa bali utumiaji wa majina bandia.....
 
Ndo maana kazi yake bungeni ni kuomba mwongozo tu, maana kuchangia hoja kwake ni kituo cha polisi
 
Usahihi wa jina umebainishwa kwenye CV yake ambayo ameitoa kwa Bunge Profile Check Ups..,kama watu wako tayari kuhoji juu ya UADILIFU WA VIONGOZI WAO basi wangehoji juu ya CV ya Mbowe, ambayo haibainishi sehemu aliyosomea wala haisemi amefaulu kwa kiasi gani. Lakini si hapo tu, alifanya kazi kama Bank Officer wa B.O.T.,kwa vigezo vipi vilitumika kumpa kazi mtu ambaye elimu yake ina walakini.,ulizeni na jadilini hili...!

Asenga Abubakar kiongozi wa vilaza elimu ya juu, unajua fika jina analotumia mwigulu siyo lake. wewe unajua shule ya msingi alikua anatumia jina gani? Acha pumba bana, huyu Nchemba kumbe wizi alianza siku nyingi hadi kuiba majina ya watu si mchezo
 
Baba mzazi wa mwigulu hatimaye apatikana kupitia JF naona anataka kuthibitisha jina la mwanae .... anaitwa DJUMBE.

Mama Porojo kwanini unajificha wakati umekwishajulikana kwamba wewe ni Mwigulu, unaonaje ukiendelea kutumia ID yako original
- umekuwa mwepesi sana kukanusha tuhuma mbalimbali juu yako kwa kutumia ID mama Porojo<
- Ulikuwa wakwanza kuripoti fujo za ndago kwasababu uliratibu shughuli zote za kuvuruga mkutano wa CDM
- Nakuomba rudi kutumia ID yako kama kawaida usiogope Kupambana, sawa mayo,
 
Daaahhhh ........

kumbe 'Mwigulu Nchemba', sawa na nguo sandukuni, ni jina tu la kutokea kwa huyu dogo ile analo jina zuri tu la kushindia mitaani !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Jina sahihi la huyu mwigizaji ni lipi? Mwigulu Nchemba ni jina la kisukuma na yeye ni mnyiramba au hilo ndio jina la kisanii ndo maana usanii mtupu kila sehemu... mimi namsihi arudie jina lake halisi la Lameck Mkumbo kama anataka kutumikia jamii na sio usanii huu anaotufanyia...
 
Unajua Nchemba alidhani he can fool us kila siku sasa wacha tuanze naye hadi ukweli uje Juu nashangaa Polisi hawafanyi bidii za kufuatilia hii habari wanakaa kimya kwa kuwa ni CCM
 
Nimesoma naye Ilboru,kule tulimwita FARU maana alikuwa anapenda sana kula,humkosi jikoni!
 
Mwigulu toka asababishe kifo cha kada wake kule Iramba yuko kimya sana zile porojo zake kwisha.Anatafakari maana anajua watu wa Iramba wanafahamu kifo cha ndugu yao chanzo ni Mwigulu kumpa viroba na kuMWAMRISHA afanye fujo
 
Namchukia mwigulu na matendo yake kuliko ninavyochukia UKIMWI bora UKIMWI kuliko matendo ya kinafiki ya mwigulu
 
Lameck Mkumbo Madelu ni jina halisi la mh Mwigulu Nchemba.

Akiwa anasoma shule ya msingi Makunda kata ya Kyengege tarafa ya Kinampanda wilaya ya Iramba mkoa wa Singida, Mh Lameck Mkumbo Madelu alifeli mtihani wa taifa darasa la saba, baada ya kufeli huko akawa anatafuta njia ya kurudia.

Kwa bahati nzuri kulikuwa na darasa la kata la kata ya Kyengege lililokuwa linajumuisha shule za Makunda, Mgundu na Kyengege yenyewe. Kutokana na kuwepo darasa hilo la kata ikawa kuna nafasi kwani mwanafunzi Mwigulu Nchemba (msukuma) alikuwa ameacha shule akiwa darasa la sita kwani mwinuko wa kielimu kwa wasukuma ulikuwa chini sana wakati huo. Ndipo Mwl Malumbi alipoweza kumuuzia jina la Mwigulu Nchemba bwana Lameck Mkumbo Madelu.

Baada ya kurudia masomo bwana Lameck alifaulu kwa kutumia jina la Mwigulu Nchemba lakini baadae akiwa Secondari aliliongeza likawa Mwigulu Lameck Nchemba

Source: Admission books
1. Makunda Primary School
2. Darasa la kata Kyengege
3. Ilboru secondary
4. Wakazi wa Makunda
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom