Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

Inawezekana ni kweli; huyo Mwigulu angekua na akili asingejisifu na kupenda sifa za kijinga, ana Masters anapiga kelele na ma Dr na Maprofesa wako kimya!
 
Ma-''repeater'' wote wenye tabia ya majivuno wanakuwa na mihemko kama ya lameck mkumbo madelu.
Nakumbuka repeater mmoja toka singida aliwahi kurudishwa nyumbani tukiwa kidato cha pili Moshi Tech.
 
Hana lolote huyo yaani angekuwa na kitu kichwa asingekuwa anapenda kujisifia watu wenye vitu vichwani mwao hawapendi kujisifia.
 
wivu husda choyo majungu UDINI na matusi ni kati ya majanga ya taifa YA TAIFA HILI
 
Mi nilidhani ni msukuma pure maana mwigulu ni juu na Nchemba au Nchembi ni Mkataji kumbe mwizi wa majina ya watu.

Ni sawa na kumkuta mnyakyusa anaitwa SWAI, KIMARO, TARIMO, MAKUNDI MLAY NA MENGINEYO itakuwa ni ajabu sana tunamuomba Mwenye jina mwenyewe ajitokeze hadharani
 
Awe lameck awe mwigulu ni mwiba mkali sana ndani ya bunge cdm mpo kwa kazi ambayo ccm imempa ndani ya bunge bado ajaanza hzo ni rasharasha tu...cdm get ready
 
Awe lameck awe mwigulu ni mwiba mkali sana ndani ya bunge cdm mpo kwa kazi ambayo ccm imempa ndani ya bunge bado ajaanza hzo ni rasharasha tu...cdm get ready
Ndio maana wahalifu hukimbilia CCM, ni hifadhi ya waovu wa kila aina na ndio sababu taifa limejikuta hapa tulipo. Kama wewe ni mwizi tafuta hifadhi CCM, kama wewe ni tapeli tafuta hifadhi CCM na kama wewe ni kibaka tafuta hifadhi CCM. Watu kama Mwigulu Nchemba aka Lameck Mkumbo Madelu hawana usalama nje ya CCM...huko anaweza kutamba, kutukana na hata kuua bila hatua yoyote kuchukuliwa. Kama hizi za sasa ni rasha rasha tu basi tutegemee makubwa kwa sababu kichaa kapewa rungu lakini akae akijua kuwa ukombozi unagonga hodi...mwaka 2015 hauko mbali!
 
watu kwa kufukunyua... mnatsha!!!

huyo mwigulu nchemba wa ukweli yupo wapi sasa, na anafanya nini sasa, kama vipi akadai jina lake!
 
Exodus 23:1
“You shall not spread a false report. You shall not join hands with a wicked man to be a malicious witness.
 
kama sheria au kanuni za wakati ule zilikataza wanafunzi waliofeli darasa la saba kurudia, wanasheria wanasemaje juu ya huyu mwigulu nchemba- kama ushahidi upo kwamba alirudia?
 
Mi nilidhani ni msukuma pure maana mwigulu ni juu na Nchemba au Nchembi ni Mkataji kumbe mwizi wa majina ya watu. ni sawa na kumkuta mnyakyusa anaitwa SWAI, KIMARO, TARIMO, MAKUNDI MLAY NA MENGINEYO itakuwa ni ajabu sana tunamuomba Mwenye jina mwenyewe ajitokeze hadharani
Mwenye jina atakuwa aliishauwawa kupoteza ushahidi. Kwa jinsi huyu jamaa alivyoua watu watatu kwa kipindi kifupi tu kwa kisingizio cha siasa hawezi kumbakiza mtu mwenye siri zake nzito kama huyo. Lazima kamuua
 
Mwenye jina atakuwa aliishauwawa kupoteza ushahidi. Kwa jinsi huyu jamaa alivyoua watu watatu kwa kipindi kifupi tu kwa kisingizio cha siasa hawezi kumbakiza mtu mwenye siri zake nzito kama huyo. Lazima kamuua

Ndugu yangu Undugu kusaidiana kwa maana ya jina lako kihehe, inawezekana Mwigulu Nchemba ni marehmu tayari kwani huyu Mwigulu wa kuchonga ni mahiri kutoa roho za watu R.I.P MWIGULU NCHEMBA ORIGINAL, ILA Nimekumbuka kitu kama hajawauwa ukoo wote aje hata baba yake au mjomba wake waweke mambo hadharani
 
Back
Top Bottom