Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

Post hii imedhihirisha ni namna gani Mwigulu anavyowasumbua...imedhihirisha kweli yale majigambo yake kuwa yeye ni kichwa, na ni mchumi safi asiye na shaka, ni ya ukweli! kwa wanaojua mawasiliano ya jamii kama mimi, tunajua Mwigulu is a brand that sells, he is a force to reckon with...

Hongera Komredi Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Msukuma orijino wa Iramba!) - Na hayo ndiyo majina yake halisi kwa mujibu wa kumbukumbu halali zilizopo, wanaopika majungu yao na waendelee kuchochea kuni tu!

Naitwa HK.

Heheheheh a brand that sells I agree!!

Even GONGO is a brand that sells...
 
Post hii imedhihirisha ni namna gani Mwigulu anavyowasumbua...imedhihirisha kweli yale majigambo yake kuwa yeye ni kichwa, na ni mchumi safi asiye na shaka, ni ya ukweli! kwa wanaojua mawasiliano ya jamii kama mimi, tunajua Mwigulu is a brand that sells, he is a force to reckon with...

Hongera Komredi Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Msukuma orijino wa Iramba!) - Na hayo ndiyo majina yake halisi kwa mujibu wa kumbukumbu halali zilizopo, wanaopika majungu yao na waendelee kuchochea kuni tu!

Naitwa HK.

'Ilboru hakuna watu wachafu kama wewe, pumbavu'.....hiyo ilikuwa ni kauli ya Headmaster K.J.J.J. Mtui (RIP) on the first monday tulipo-join form one pale Ilboru. Lameck alitandikwa viboko vya kutosha mfululizo na Mtui (RIP) baada ya kuja parade ground huku akiwa mchafu wa mavazi kwa vile nguo hizo ndizo alizosafiri nazo jana yake (jpili) toka Singida (wakati ule barabara ni ya vumbi). Kwa hivyo from day one alikuwa akifahamika vizuri kwa kila mmoja wetu. Pili nakumbuka jamaa alikuwa maarufu kwa kurudia uji mara mbili (Ilboru kulikuwa na yale mabakuli makubwa ya duara yenye chata ya TG aka kayamba) sasa watu walikuwa wakijiuliza huyu jamaa ana tumbo gani. Kwa kifupi ni mchafu wa mwili na roho; na ana tabia za kifisadi kutaka mengi kuliko uwezo wake
 
'ilboru hakuna watu wachafu kama wewe, pumbavu'.....hiyo ilikuwa ni kauli ya headmaster k.j.j.j. Mtui (rip) on the first monday tulipo-join form one pale ilboru. Lameck alitandikwa viboko vya kutosha mfululizo na mtui (rip) baada ya kuja parade ground huku akiwa mchafu wa mavazi kwa vile nguo hizo ndizo alizosafiri nazo jana yake (jpili) toka singida (wakati ule barabara ni ya vumbi). Kwa hivyo from day one alikuwa akifahamika vizuri kwa kila mmoja wetu. Pili nakumbuka jamaa alikuwa maarufu kwa kurudia uji mara mbili (ilboru kulikuwa na yale mabakuli makubwa ya duara yenye chata ya tg aka kayamba) sasa watu walikuwa wakijiuliza huyu jamaa ana tumbo gani. Kwa kifupi ni mchafu wa mwili na roho; na ana tabia za kifisadi kutaka mengi kuliko uwezo wake

too low and very shallow..hivi kweli ww ni great thinker????u stink!!! Kila binadamu ana mapungufu yake lakini ckutegemea watu wataingiza upumbavu wa kiasi hiki kwa mtu binafsi.....toa kwanza boriti kwenye jicho lako kabla ya kuanza kutaka kutoa boriti kwenye jicho la mwenzako sawa.......its shame really.
 
Nimeipenda maana huyu jamaa tunamfahamu sana kipindi kile anafanya kazi BOT aliwahi kutolewa vitu nje alikuwa kagoma kulipa kodi ya nyumba ilimbidi ahamie kwenye nyumba yake ingawa ilikuwa haijakamilika.
 
too low and very shallow..hivi kweli ww ni great thinker????u stink!!! Kila binadamu ana mapungufu yake lakini ckutegemea watu wataingiza upumbavu wa kiasi hiki kwa mtu binafsi.....toa kwanza boriti kwenye jicho lako kabla ya kuanza kutaka kutoa boriti kwenye jicho la mwenzako sawa.......its shame really.

Amtume Kigwangala aje tena kumtetea au kukanusha hili!
 
'Ilboru hakuna watu wachafu kama wewe, pumbavu'.....hiyo ilikuwa ni kauli ya Headmaster K.J.J.J. Mtui (RIP) on the first monday tulipo-join form one pale Ilboru. Lameck alitandikwa viboko vya kutosha mfululizo na Mtui (RIP) baada ya kuja parade ground huku akiwa mchafu wa mavazi kwa vile nguo hizo ndizo alizosafiri nazo jana yake (jpili) toka Singida (wakati ule barabara ni ya vumbi). Kwa hivyo from day one alikuwa akifahamika vizuri kwa kila mmoja wetu. Pili nakumbuka jamaa alikuwa maarufu kwa kurudia uji mara mbili (Ilboru kulikuwa na yale mabakuli makubwa ya duara yenye chata ya TG aka kayamba) sasa watu walikuwa wakijiuliza huyu jamaa ana tumbo gani. Kwa kifupi ni mchafu wa mwili na roho; na ana tabia za kifisadi kutaka mengi kuliko uwezo wake

too low and very shallow..hivi kweli ww ni great thinker????u stink!!! Kila binadamu ana mapungufu yake lakini ckutegemea watu wataingiza upumbavu wa kiasi hiki kwa mtu binafsi.....toa kwanza boriti kwenye jicho lako kabla ya kuanza kutaka kutoa boriti kwenye jicho la mwenzako sawa.......its shame really.

Anayofanya Mwigulu ndio too high and deep? Kamhukumu kwanza Mwigulu ndio uje uhukumu wengine
 
mie hapa cmtetei mwigulu nachokipinga ni mtu kumsema mwingine kwa mambo binafsi ya zamani..hakuna mtu perfect banaa...kuna wengine humu mlikuwa vikojozi u c ....
 
Na hiyo 'mlikuwa vikojozi' si mambo ya zamani? Naona unajichanganya tu. Hukumu ila si kwa pupa, ndugu.
 
Maskini....ndio vizuri tumfahamu vema Mwigulu. Unajua kwenye saikolojia tunajifunza kuwa wale wanaojipa ID au tabia fulani ili wajitofautishe na wengine wakidhani wao ni bora kuliko wengine huwa wana mapungufu makubwa! Some of them without reasonable doubt they have skipped one level of their life. Yaani malimbukeni, wenzao waliviishi siku nyingi wao ndio wanaviishi sasa! Uzalendo, integrity, dignity vinaonekana kwa matendo yako na si kwa kuvaa bendera ya taifa! Chema chajiuza....kibaya.....malizia!
 
Mimi naomba mwenye kujua shule ya msingi mwigulu alianza lini na kumaliza lini shule ya msingi, kisha akaenda O-Level wapi na lini kisha A-Level lini na wapi. Hii itatuwezesha kujua kweli alitumia jina gani akiwa darasa la kwanzan na kama ndilo hilo anatumia leo. Tukijua haya sasa tumsulubu muhuni huyu ambaye amekuwa bingwa wa kuropoka bila kufikiri.
 
Lameck Mkumbo Madelu ni jina halisi la mh Mwigulu Nchemba.

Akiwa anasoma shule ya msingi Makunda kata ya Kyengege tarafa ya Kinampanda wilaya ya Iramba mkoa wa Singida, Mh Lameck Mkumbo Madelu alifeli mtihani wa taifa darasa la saba, baada ya kufeli huko akawa anatafuta njia ya kurudia.

Kwa bahati nzuri kulikuwa na darasa la kata la kata ya Kyengege lililokuwa linajumuisha shule za Makunda, Mgundu na Kyengege yenyewe. Kutokana na kuwepo darasa hilo la kata ikawa kuna nafasi kwani mwanafunzi Mwigulu Nchemba (msukuma) alikuwa ameacha shule akiwa darasa la sita kwani mwinuko wa kielimu kwa wasukuma ulikuwa chini sana wakati huo. Ndipo Mwl Malumbi alipoweza kumuuzia jina la Mwigulu Nchemba bwana Lameck Mkumbo Madelu.

Baada ya kurudia masomo bwana Lameck alifaulu kwa kutumia jina la Mwigulu Nchemba lakini baadae akiwa Secondari aliliongeza likawa Mwigulu Lameck Nchemba

Source: Admission books
1. Makunda Primary School
2. Darasa la kata Kyengege
3. Ilboru secondary
4. Wakazi wa Makunda

Mimi nimesema pale mwanzo kuwa "majina ya Makweta" ilikuwa jambo la kawaida sana enzi za mwalimu. Na ninajua wengi tu waliorudia na bado hawakupata nafasi za sekondari za serikali. Na unapaswa ukumbuke hapa kuwa tatizo hapa halikuwa ujinga wa repeater, lilikuwa uhaba wa nafasi za sekondari na utaratibu wa wakati ule wa mgao wa nafasi hizo. Ndiyo sababu neno lililokuwa likitumika ni "kuchaguliwa", na si "kufaulu". Na ndiyo sababu hata wale wengine ambao hawakuchaguliwa, kama pesa ilikuwepo walienda shule za private na huko walifaulu vizuri na kusonga mbele.

Labda mumseme huyu mheshimiwa kwa 'umaskini' aliokuwa nao wakati huo, maana hii ya kurudia ndiyo iliyokuwa njia pekee ya kumwezesha maskini kubahatisha elimu ya sekondari maana private zilikuwa hazishikiki. Na hiyo system ya mgao ilikuwa muflisi kabisa. Kule upareni watoto walikuwa wanafaulu kwa maksi za juu lakini hawachaguliwi kisa tu mkoa wa Kilimanjaro share yake ilikuwa fixed, hawawezi kupita zaidi ya waliopangwa. Kwa hiyo watu wakishakosa wanaenda Babati, Shinyanga, Tanga, Rufiji na kwingineko ambako wahusika walikuwa hawamalizi quota zao, yaani huko hata ukipata maksi nusu ya zile "ulizofeli" Same bado unachaguliwa. Na ndiko walikopatia watu majina tofauti na asili zao na wengine hata tofauti na dini zao. Na waliendelea kuonesha uwezo wao darasani hadi wakafika mbali tu, na wapo wengi.

Siku hizi hakuna justification ya kufanya hivyo maana nafasi za kusoma zinapatikana sana, na pia hakuna faida ya kung'ang'ania kupata shule ya serikali maana hizi za serikali siku hizi ni duni kuliko za private (enzi zetu kusoma shule ya serikali ndiyo ubingwa, haikutokea mtu kuacha shule ya serikali akasome private. Siku hizi shule za serikali zinakimbiwa kama vile zina *****!)

Hoja inayojadiliwa kuhusu mheshimiwa huyu kusomea jina la mtu mwingine haina tija yoyote, hasa ukizingatia mazingira ya wakati huo. Ingekuwa ameghushi cheti, au ingekuwa yule mwingine ndiye aliyefaulu halafu huyu bosi akapora, hapo kungekuwa na mjadala. Lakini wenyewe mnasema mtu aliacha shule, sasa kipi bora; nafasi ile ingepotea au mheshimiwa huyu alipoitumia na ikamfikisha hapo alipo? Hoja naiona ina sura ya kimajungu zaidi, haina tija.
 
kaka ukiniambia mwigulu ni brand that sells ni sawa maana mambo ya ajabu anayofanya ndiyo brand yenyewe, kitu kinachofanya watu wamfuatilie ni kujua historia yake kujua kwa nini anafanya anayo yafanya basi kusema mwigulu ni kichwa ni kuwatania Watanzania hata wewe hii post yako inaonyesha unamponda sema uwezi kuwa straight kwa kuwa mko pamoja lakini unajua fika kwa nini watu wako na interest na huyu mzee wa kuoropoka hovyo bila breki
Post hii imedhihirisha ni namna gani Mwigulu anavyowasumbua...imedhihirisha kweli yale majigambo yake kuwa yeye ni kichwa, na ni mchumi safi asiye na shaka, ni ya ukweli! kwa wanaojua mawasiliano ya jamii kama mimi, tunajua Mwigulu is a brand that sells, he is a force to reckon with...

Hongera Komredi Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Msukuma orijino wa Iramba!) - Na hayo ndiyo majina yake halisi kwa mujibu wa kumbukumbu halali zilizopo, wanaopika majungu yao na waendelee kuchochea kuni tu!

Naitwa HK.
 
Mimi nimesema pale mwanzo kuwa "majina ya Makweta" ilikuwa jambo la kawaida sana enzi za mwalimu. Na ninajua wengi tu waliorudia na bado hawakupata nafasi za sekondari za serikali. Na unapaswa ukumbuke hapa kuwa tatizo hapa halikuwa ujinga wa repeater, lilikuwa uhaba wa nafasi za sekondari na utaratibu wa wakati ule wa mgao wa nafasi hizo. Ndiyo sababu neno lililokuwa likitumika ni "kuchaguliwa", na si "kufaulu". Na ndiyo sababu hata wale wengine ambao hawakuchaguliwa, kama pesa ilikuwepo walienda shule za private na huko walifaulu vizuri na kusonga mbele.

Labda mumseme huyu mheshimiwa kwa 'umaskini' aliokuwa nao wakati huo, maana hii ya kurudia ndiyo iliyokuwa njia pekee ya kumwezesha maskini kubahatisha elimu ya sekondari maana private zilikuwa hazishikiki. Na hiyo system ya mgao ilikuwa muflisi kabisa. Kule upareni watoto walikuwa wanafaulu kwa maksi za juu lakini hawachaguliwi kisa tu mkoa wa Kilimanjaro share yake ilikuwa fixed, hawawezi kupita zaidi ya waliopangwa. Kwa hiyo watu wakishakosa wanaenda Babati, Shinyanga, Tanga, Rufiji na kwingineko ambako wahusika walikuwa hawamalizi quota zao, yaani huko hata ukipata maksi nusu ya zile "ulizofeli" Same bado unachaguliwa. Na ndiko walikopatia watu majina tofauti na asili zao na wengine hata tofauti na dini zao. Na waliendelea kuonesha uwezo wao darasani hadi wakafika mbali tu, na wapo wengi.

Siku hizi hakuna justification ya kufanya hivyo maana nafasi za kusoma zinapatikana sana, na pia hakuna faida ya kung'ang'ania kupata shule ya serikali maana hizi za serikali siku hizi ni duni kuliko za private (enzi zetu kusoma shule ya serikali ndiyo ubingwa, haikutokea mtu kuacha shule ya serikali akasome private. Siku hizi shule za serikali zinakimbiwa kama vile zina *****!)

Hoja inayojadiliwa kuhusu mheshimiwa huyu kusomea jina la mtu mwingine haina tija yoyote, hasa ukizingatia mazingira ya wakati huo. Ingekuwa ameghushi cheti, au ingekuwa yule mwingine ndiye aliyefaulu halafu huyu bosi akapora, hapo kungekuwa na mjadala. Lakini wenyewe mnasema mtu aliacha shule, sasa kipi bora; nafasi ile ingepotea au mheshimiwa huyu alipoitumia na ikamfikisha hapo alipo? Hoja naiona ina sura ya kimajungu zaidi, haina tija.

Kaa pembeni na msanii wako subiri 2015 akuachie urithi wa skaf
 
Labda nawe ni jungu, pengine unaweza kusoma lakini huwezi kuelewa! So sad.
Tunakwambia amekariri darasa la saba, trick aliyo tumia ni kununua nafasi kwa jina la mwanafunzi akiitwa mwigulu nchemba, wakati akifeli tulikuwa naye ly. Huyu mwigulu nchemba alikuwa darasa la sita. Akiisha kula mzinga, bwana lameck mkumbo madelu akamshawishi naamini kwa fedha akiisha kubaliana na mwalimu, akakariri darasa hilo. Kama kurudia darasa ilikuwa na bado ni kosa, hatupo hapa kushabikia ukiukwaji wa sheria na taratibu tulizojipangia kudhibiti ili kupata watu wenye uwezo pamoja na uadilifu toka awali.
Kwa tabia anayoionyesha mwigulu wa kuchonga inatudhihirishia kuwa ile sheria ya kuzuia kukariri ilikuwa na bado ina maana kwa jamii ya watanzania.
 
Heri ya mwaka mkubwa 2012 na mdogo 2013. kuanzia sasa huyu mtu anayejiita MWIGULU NCHEMBA (msukuma bandia) inabidi muanze kumuita jina lake kamili ambalo ni "GULO SHUMBI MADELU" hili ndilo jina lake la kinyiramba. Lakini inaonekana ndiyo utaratibu wa ccm maana hata hivi karibuni tumesikia kuwa hata huyu mtu anayeitwa Philipo Mulugo sio jina lake inakuwaje? :der: :israel:
 
Mbona jina hilo la kinyiramba ni zuri tuuuuuu.
 
Ishu ya jina la mtu haina tija kwa taifa, tujikite kujadili issues sio people
 
Kumbe ndo mana akili yake pia chafu. Ipo haja viongozi wapimwe akili kabla ya kupewa nyadhifa
'Ilboru hakuna watu wachafu kama wewe, pumbavu'.....hiyo ilikuwa ni kauli ya Headmaster K.J.J.J. Mtui (RIP) on the first monday tulipo-join form one pale Ilboru. Lameck alitandikwa viboko vya kutosha mfululizo na Mtui (RIP) baada ya kuja parade ground huku akiwa mchafu wa mavazi kwa vile nguo hizo ndizo alizosafiri nazo jana yake (jpili) toka Singida (wakati ule barabara ni ya vumbi). Kwa hivyo from day one alikuwa akifahamika vizuri kwa kila mmoja wetu. Pili nakumbuka jamaa alikuwa maarufu kwa kurudia uji mara mbili (Ilboru kulikuwa na yale mabakuli makubwa ya duara yenye chata ya TG aka kayamba) sasa watu walikuwa wakijiuliza huyu jamaa ana tumbo gani. Kwa kifupi ni mchafu wa mwili na roho; na ana tabia za kifisadi kutaka mengi kuliko uwezo wake
 
Kutokana na mwigulu kuwa mwiba mkali sana kwa pipos ndo mana anaandamwa.
 
Back
Top Bottom