Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

Kwa hiyo Nikiwa Na Phd Feki Nikiitumia Ikuru kwa Kiswahili na Isitumike Mahari Pengine sitatumburiwa na Mama Nderichako? heeeee Nitarara nayo mbere!
Na ndiyo maana wanaohakiki vyeti ni NECTA kwa maana wanadili na vyeti vya form 4 na 6. Huwezi kuruka hapo ukawa na PhD maana utadakwa hapa hapa chini.
 
Uhakiki unaofanyika unatakiwa majina yalingane
1. Cheti cha kuzaliwa
2. Cheti cha darasa la saba
3. Cheti cha kidato cha nne
4. Cheti cha kidato cha sita
5. cheti cha Chuo (Taaluma)
Kama vitu hivi vitakuwa tofauti kwa mwigulu basi ni mtuhumiwa.

Basi itakuwa ni wizara ya watu waliogushi umri na majina, Mungu mpe nguvu JPM ya kutumbua hadi familia yake!
 
angekuwa hana kimbelembele na roho ya ukatili tungempotezea,tatizo anaishi nyumba ya vioo na anarusha mawe,uhakiki uanzie ikulu uje hadi kwa hawa wezi wa majina...ebo


Kumbukeni huyu jamaa ni polisi namba moja

H22A0830.JPG
 
Uhakiki unaofanyika unatakiwa majina yalingane
1. Cheti cha kuzaliwa
2. Cheti cha darasa la saba
3. Cheti cha kidato cha nne
4. Cheti cha kidato cha sita
5. cheti cha Chuo (Taaluma)
Kama vitu hivi vitakuwa tofauti kwa mwigulu basi ni mtuhumiwa.
Umesahau na UIbatizo
 
Uhakiki unaofanyika unatakiwa majina yalingane
1. Cheti cha kuzaliwa
2. Cheti cha darasa la saba
3. Cheti cha kidato cha nne
4. Cheti cha kidato cha sita
5. cheti cha Chuo (Taaluma)
Kama vitu hivi vitakuwa tofauti kwa mwigulu basi ni mtuhumiwa.

Acha kutoka, ukifika form four unaruhusiwa kubadilisha jina miaka ya 70
 
Lakini hili swala la majina kuwa tofauti ni kosa ambalo serikali ilifanya miaka ya nyuma maana waliruhusu wakuu wa shule kuwapa watu majina kwa wale waliokataa shule hivyo kujikuta mtu akifeli darasa la saba ananunua jina then anarudia la saba mwaka unafuata kwa jina mtu mwingine hivyo kwa mantiki hiyo lazima majina yawe tofauti
Serikali haijawahi kuruhusu utaratibu unaoeleza. Au nimekosea?
Naomba mwongozo uliotolewa na serikali kama unachokinena ni sahihi.
 
A'level amesoma Mazengo high school EGM 1998_2000. Alikuwa kipanga ile mbaya Tena usiongelee hesabu alikuwa anajiweza sana huyu jamaa. Ni pure intellectual tukiweka pembeni unafiki. Sema ukiwa siasani madongo utarushiwa tu.
Alikuwa Katibu was serikali ya wanafunzi pale Mazengo.
Kwa suala LA majina na ukabila sijui sana. Jamaa kapiga shule mwenyewe kama no kununua jina labda alirudia primary.
Nashauri tu wanaotaka kumfanyia utafiti wajiulize Mara mbilimbili wanatafuta jina au elimu yake?
Kama alitumia jina LA mwingine akasoma elimu iko kwa nano?
Basi kama atapatikana na hatia viongozi wengi wataachia ngazi. Wengi wamerudia hasa primary.
Kuna mwaziri wamerudia Mara saba.
Wewe unamtetea au kuwa uhakiki ukifanyika Mwigulu atakamatwa? Kwani watu wengi wakifanya kosa, kosa linakuwa siyo kosa?
Kama zoezi hili ni serious, kitanzi ni haki yao.
 
Jina Lake halisi ni SHUMBI MADELU, hakuna mnyiramba mwenye jina MWIGULU NCHEMBA, haya ni majina ya kisukuma
 
Back
Top Bottom