Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,729
- 528
Sioni tatizo, kwanza anastahili pongezi kwa bidii ya kutafuta elimu. Pili, haikuwa initiation yake binafsi bali ya wazazi wake ambao walitamani mtoto wao asome ( hapo wa kulaumu ni wazazi, na si Mh Mwigulu mwenyewe) na Mwigulu akatatii matakwa ya wazazi.
Mwisho, enzi hizo kuchaguliwa she la serikali ilikuwa muhimu maana ndio zilikuwa bora na wengi miaka ya nyuma walifanya hivyo.
Mwisho, enzi hizo kuchaguliwa she la serikali ilikuwa muhimu maana ndio zilikuwa bora na wengi miaka ya nyuma walifanya hivyo.