Historia imekwisha kuandikwa Samia mwanamke wa kwanza Africa kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji mkubwa wa Damu , una nafasi ya kujiuzulu kusafisha

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
3,772
Reaction score
4,913
Kama tunavusoma historia ya Nyerere na wenzake kutafuta Uhuru na kuingia madarakani bila umwagikaji wa damu ,
Ndivyo watoto wetu watasoma historia ya Mama Samia kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji wa damu,

Wataenda mbali zaidi na kujiuliza baada ya hapo alichukua hutua gani baada ya mababu zetu kufa mamia ??

Majibu yatakua labda aliamua kujiuzulu au aliamua kuendelea kuongoza Hadi pale mababu zetu walipomashinikiza Kwa maandamano mazito Hadi akaachia nafasi

Wataendelea kujiuliza na watu gani waliokubali kuunda Baraza lake la Mawaziri wataambiwa ni kina Oscar wakiongozwa na Kawawa wa wakati huo

Na je wabunge gani walikubali kula posho na marupu rupu ya hiyo serikali ?

Na je Babu jeshi nalo lilifanya Nini ?

Mwisho mjukukuu atakugeukia na kukuambia na wewe babu ulichukua hatua gani Ili kudai taifa lenye haki Kwa wote ?
Ni mengi yatabaki kwenye historia ya nchi tuendelee kuandika
 
Hakuna mtawala anaingia kwa njia haramu ya kumwaga damu, harafu anatoka kwa njia ya demokrasia.

Mwiba hutokea ulipoingilia.
Anaondolewa kwa kumwaga damu yake na wenzake waliomsaidia.

Ukiandamana jiandae, hakuna maandamano ya amani, huo ni ujinga.

Ukiandamana ongea lugha haramu kwa sauti kubwa.

Tukutane D9 popote ulipo tanganyika.
 
Bado ana nafasi ya kujiuzulu mkuu kabla ya tarehe ya maandamano

Lakini akichagua njia hiyo utaendelea kumchafulia zaidi
 
Bado ana nafasi ya kujiuzulu mkuu kabla ya tarehe ya maandamano

Lakini akichagua njia hiyo utaendelea kumchafulia zaidi
Hujielewi wewe.

Hakukubalika ccm akalazimisha, wakaishitaki ccm kwa msajiri wa vyama, wakabadili katiba yao ili agombee.

Wakamkataa hadharani, hakuchaguliwa wakalazimisha kumuapisha kijeshi.

Watu wameandamana na kawaua na kawazika kama kuku,.

Hakubaliki ndani na nje na bado kang'ang'ania, halafu useme "ananafasi ya kujiuzuru".? Kweli unasikiri sawa?

Akili au uelewa wako uko wapi?

Mtu aliyaona haya mwanzo kabisa, alifunga shule za msingi na sekondari siku za kampeni zake watoto walivishwa sare za ccm, walibebwa kwenye malori kwenda kujaza viwanja vya kampeni ili tu kujipa uhalali kwamba anakubalika akijua hakubaliki.

Watu walikataa kujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura, uliona vituo vitupu, waliongeza siku hadi walitoa mapumziko bado watu hawakwenda kujiandikisha.

Mamlaka za NIDA wakalazimisha watu kufuata vitambulisho ikagoma.

VYama mbadala vya ccm walipewa wagombea pesa kuchukua form za kugombea na wakapewa magari na mafuta kuyatumia kwa siku 60 kufanya kamoeni ili kuhalalisha uchaguzi wapiga kura wakashtuka.

Wakamuapisha ki nguvu, ili aje ajiuzuru? Unaakili nzuri kweli?

Anyway, kwasababu unakula kwenu nisikufikirishe zaidi.

Ila nakusihi utoke D9 uongeze nguvu tumtoe kwa nguvu.

kaingia kiharamu hawezi kutoka kidemokrasia, na hakuna maandamano ya amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…