lolypop
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,430
- 1,682
Wewe punguza Chuki na jazba rudi kaisikilize clip vizuriAmeanza na wakaskazini kisha akasemea wachaga kabila lake.
Hivyo alichokisema ndio nachokiongelea na mimi...
Wewe punguza Chuki na jazba rudi kaisikilize clip vizuriAmeanza na wakaskazini kisha akasemea wachaga kabila lake.
Hivyo alichokisema ndio nachokiongelea na mimi...
Kwani aliekamteua Jerry Muro nani? Alisema aliagiza wasiajiliwe alafu ye mwenyewe akampa ajira Jerry?Nasema kwa dhati kabisa naomba iwe ni uongo kuwa ulisema wachaga wasipate ajira kwenye taasisi yoyote ya umma.
Kama uliwahi kusema hivyo nakuhakikishia hutopumzika kamwe. Dhambi hii itaitafuna jamii yako iliyobakia. Nasema jamii yako itatafunika sana aslani...
Wapare sio wakaskazini? Ama ni wa Songea
Kweli kabisa amepotoka hasa chairman mmmhNilishawambia hicho ni chama cha kuwatete wachagga Tanzania ..sio chama cha kisiasa hicho..hata wanaharakati wengi wa hichi chama ni wachagga..wanaukabila wa kishamba sana
Acha Ushamba, hivi Baraza la Mawaziri wote ni Wasukuma?Serekali ilijaa Kanda ya ziwa ndo maana wasukuma wanaona nchi ya kwao peke yao wamejisahau
ExactlyMtoa mada, ni vizuri ukaweka ushahidi wa wachaga walioajiriwa ili tuamini ni kweli Mbowe anadanganya umma.
Hii si kweli, Ila pia sina imani na chanzo Cha habari, mbowe hawezi kusema hivyo
Jiwe hata hakuwa na mpango na "wasukuma wanyonge".Nani kakuambia kila msukuma anamuunga mkono JPM?!!!
KWANI MBOWE anaungwa mkono na kila mchaga ?!!!
Ujinga umekujaa BWASHEE.....
Nawe iba basi ufanane nasi!!Ninyi endeleeni na WIZI naona umewatoa sana.
Magufuli hakuwachukia wachaga as such ila alipunguza kuwapendelea kama walivyozoea huko miaka ya nyuma na hawakupewa nafasi ya kubebana ikawauma sana. Wazoee mazingira yote hata sasa mama atakuwa v careful na hali hii kujirudia.Mimi sio muumini wa siasa za kikabila ila kiukwel Magufuli aliwachukia sana Wachaga, ila Mungu akampenda zaidi..
Hakuna uganga wala Uchawi juu ya nyumba ya Israeli..
Wachaga hawakipigana vita na Mwendazake, maana Mungu aliaahidi, for the battle is not yours ...
Ajaribu mwingine nae apendwe zaid....
Tumia akili CRDB syo mali ya UmmaMbowe mjinga sana ametuudhi sana wasukuma mpumbavu huyu tutamuonyesha kuwa sisi hatujawahi kushindwa mbona Kaskazini imekuwa na mawaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote Tanzania mawaziri wa fedha wawili magavana, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa, mkuregenzi CRDB kimei vyuo vikuu vimerundikana Kaskazini
Afadhali umeweka hyo kwa kumbukumbu zaidiKwani uongo? Alianzia hapa hadharani kule Iringa.
View attachment 1802779
Wew ndo unatumia akili Kuwa CRDB sio mali ya ummaTumia akili CRDB syo mali ya Umma
Sabaya ni msukuma? Kosa Rais kutoka kanda ya ziwa.ukabila ni itikadi mbaya ikikujaa kichwani. Mbowe unajiangusha sana. Jaribu kuwa na kauli za kiuongozi unganishi.huyo ni mtu mdogo sana hata huko moshi hajulikani, wacha kuwa na upeo mfupi kama steve nyerere wewe.
Mkuu..nasikia Chato joto ni kali sanaa..nahisi rate of decomposition itakua ipo vizuri sanaa.Hahahahahaha eti unamsemesha mwendazake 😂
aisee!! sikujua hilo, kumbee!!Nilishawambia hicho ni chama cha kuwatete wachagga Tanzania ..sio chama cha kisiasa hicho..hata wanaharakati wengi wa hichi chama ni wachagga..wanaukabila wa kishamba sana