Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Status
Not open for further replies.
Nasema kwa dhati kabisa naomba iwe ni uongo kuwa ulisema wachaga wasipate ajira kwenye taasisi yoyote ya umma.

Kama uliwahi kusema hivyo nakuhakikishia hutopumzika kamwe. Dhambi hii itaitafuna jamii yako iliyobakia. Nasema jamii yako itatafunika sana aslani...
Kwani aliekamteua Jerry Muro nani? Alisema aliagiza wasiajiliwe alafu ye mwenyewe akampa ajira Jerry?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof. Mkenda ni Msukuma naona. Urio wa NSSF naona ni msukuma. Mbowe sikuungi mkono tena. Nina marafiki zanguc12 ambao nimemaliza nao chuo na wapo TRA na Wizara ya Kilimo. Mbowe ana mtindio wa ubongo. Anaharibu kila kitu. Issue ya Uchaga inawakosesha kura kila siku. Yule jamaa wa FCC Mchaga aliyepandishwa Cheo na Magufuli naona ni Msukuma. Mbowe unaharibu image ya CHADEMA kwa siasa za kitoto na kipumbavu.
 
Lakin hata hivyo wachaga serikalin huko mmejaa Sana Mbee,na sifa yenu kubwa ni upigaji tuuh,kwani hamjatosheka tuuh jamaniii?wacheni ni wenzenu wafikiriweee,mnataka muwe nyinyi tuh kina massaWee??
 
Mimi sio muumini wa siasa za kikabila ila kiukwel Magufuli aliwachukia sana Wachaga, ila Mungu akampenda zaidi..

Hakuna uganga wala Uchawi juu ya nyumba ya Israeli..

Wachaga hawakipigana vita na Mwendazake, maana Mungu aliaahidi, for the battle is not yours ...

Ajaribu mwingine nae apendwe zaid....
Magufuli hakuwachukia wachaga as such ila alipunguza kuwapendelea kama walivyozoea huko miaka ya nyuma na hawakupewa nafasi ya kubebana ikawauma sana. Wazoee mazingira yote hata sasa mama atakuwa v careful na hali hii kujirudia.
 
Mbowe mjinga sana ametuudhi sana wasukuma mpumbavu huyu tutamuonyesha kuwa sisi hatujawahi kushindwa mbona Kaskazini imekuwa na mawaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote Tanzania mawaziri wa fedha wawili magavana, Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa Taifa, mkuregenzi CRDB kimei vyuo vikuu vimerundikana Kaskazini
Tumia akili CRDB syo mali ya Umma
 
Dah!

Elimu yake ina relate na alichoongea kabisa.

Hili ndio tatizo la kuongozwa na kiongozi aliyezungusha makalai
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom