Hiki ndicho cheti changu cha form four

Hiki ndicho cheti changu cha form four

Kweli maisha ni vita. Kwa mwenye uwezo wa kupambana na masomo huyo mwacheni apambane. Mwenye uwezo wa kupambana nje ya masomo nae aendelee kupambana. Pia kama kuna mwenye uwezo wa kupambana katika yote yaani kwenye masomo na nje ya masomo kwa kufanya biashara, kilimo n.k. nae mwacheni apambane kivyake. Kila mmoja apambane kwa kutumia silaha aliyonayo mkononi mwake bila kuchoka. Katika maisha kazi zipo nyingi na si rahisi watu wote tukafanya kazi zinazofanana na pia tukafanikiwa kimaisha kwa kiwango kinacholingana.
Fact
 
unamfahamu ww mpaka useme anajipa matumaini kuna watu waliishia darasa la 7 wengi tu na wanapesa chafu sio za kulisi ni jasho lao walio wengi mliosoma mnaogpoa maisha sana mnaishia kuajiliwa mnafanya kazi ya kutomiza ndoto za wengine badala ya zenu
Kwani kuajiri ni kuvunja sheria za nchi?
 
Mzee shule gani ulisoma?, mwaka gani, ila hongera Mzee
 
mie nilipata Fa Fa Fa zote lakini nikiamua kukutimua mjini naweza... kama unabisha jifanye unajikuna uone au uuliza wenzio walipo sasa... na kimaisha nipo A plus.... wananitumikia wenye A na B tena kwa unyenyekevu
 
Naomba nikujibu,
Wale hawana kujudge vitu Sana na hawazoom,pia huwez kupewa vyote maisha ni bahati
Mkuu nmekupa sata hata kama ukasoma mpaka marekani kama huna bahati nayo ni ngumu kutusua aisee.
 
Bora kuhamasisha Elimu kuliko kutohamasisha Elimu.Watu wasiposoma hayo maisha bora watayasikia bombani.Maana gari unayosema nani atatengeneza,nyumba nani atadesign ,AC na vyote ambavyo vimetokana na Elimu utavipata wapi.Kuikana Elimu ni kurudishana kwenye ujima
Hao vilaza wanajifariji tu! Hafahamu kama wasanifu wa majengo wanatengenezwa pale ARDHI UNIVERSITY!

Linalilia magari tu lakini halijui hata magari yanatengenezwaje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom