Hiki ndicho cheti changu cha form four

Mliofeli mnakuwa na misemo fulani hivi ya kujifariji na husahau mapema au hushindwa kutafakari pengine ndio huo uzito pia uliowafanya mfeli. Umeandika kana kwamba unamjua vema mtoa post kipato chake nk.

Kuna wajinga huamini kina Bill Gate na Mark Zuckerberg ni mbulula. Yani mtu asome Havard University awe mbulula?

Uafrika shida sana
For your information hakuna aliyefeli hapa... hoja ya msingi ni kwamba hizo A's zina mchango mdogo sana katika suala zima la kutusua maishani haswa A's za system yetu hii ya Elimu.
 
Usomi wa kweli ni ule unaoleta Impact kwenye jamii hata kama ni wa Darasa la Saba...Sio A's kibao alafu hata kubuni genge tu la nyanya huwezi! Wasi wengi wa Bongo wanajivunia A's ila umuhimu wao mtaani hauonekani! Maengineer wanatutengnezea Vitu vibovu yaani balaaa tupu!
 
Ulivyo na chuki na A, utawahi sana kufa. Relax. Sifia wenzako wanapofanya vizuri, kwa sababu wanastahili na walijituma kufanya hivyo. Elimu haijawahi kupata mbadala hapa duniani. Unaposema hivyo unaweza kufanana na wale watu wanaotajwa kwenye biblia kwamba hawakuchukua mafuta kwenye taa zao.
 
Wanaojenga maghorofa Kariakoo na wamiliki wa Fedha nyingi hawana cheti kama hicho. Mafanikio katika maisha na akili za darasani ni vitu viwili tofauti kabisa. mimi sina hicho cheti ila nina uhakika hali yangu kuifikia itakuchukua miaka 100!
Ebu fikiria kama watu wote tz wangekua ma mbumbumbu waone elimu haina umuhimu wala chet akina umuhimu nani angekua anafanya kazi zifuatazo

1.udaktar angefanya nan
2.wanao wangefundishwa na nan
Ni hayo tu so mnapotoa povu mfikirie na upande wa pil
 
Maisha niko B,
Usimbeze mtu aliyefeli masomo ingawa inaumiza ila katika nchi yetu waliofeli masomo wengi wana mafanikio kuliko waliosoma. Mie nimesoma mpk vyuo vikubwa vya Ulaya lakini wale wenzangu waliokatisha masomo kwa kuishia elimu za chini na kuangalia fursa za biashara leo wana mafanikio makubwa sana ukilinganisha na mimi. Siko vibaya ila kwa akili nilizokuwa nazo kama ningeingia kwenye biashara ningekuwa mbali sana fursa zilikuwa nyingi sana huko

Unaweza kuniuliza kwa nini kwa sasa sirudi kwenye biashara, jibu ni kwamba nimebananishwa kwenye kona moja na ajira ambayo ni mbaya sana nikichomoka tu inakula kwangu
 
karibu sana upate mshiko hayo maherufi sijui AA au BB Siku hizi hayana maana tena mtaani kama mtu mwenye masters ana miaka 42 na hana hata nyumba ya shilingi milioni kumi, na dogo janja amabae hata ajamaliza form 4 amemjengea mama yake nyumba ya kuishi au fananisha maisha ya diamond platinums na any prof unae mjua wewe utapata jibu.
Hii sio point Mura...ukishamzungumzia mond unazungumzia kipaji,sasa wew kipaji uwe huna na helimu huna ndo utaona kama utamporomoshea mamaako mjengo au utamporomoshea matusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
karibu sana upate mshiko hayo maherufi sijui AA au BB Siku hizi hayana maana tena mtaani kama mtu mwenye masters ana miaka 42 na hana hata nyumba ya shilingi milioni kumi, na dogo janja amabae hata ajamaliza form 4 amemjengea mama yake nyumba ya kuishi au fananisha maisha ya diamond platinums na any prof unae mjua wewe utapata jibu.
Pengine unazungumza hivi hizo As na Bs huna.wanaoimba ni wengi ila wanaotusua kimaisha ni wachache.sasa kama unaowafahamu hazijawasaidia haimaanishi wengine haziwasaidii.mazingira na mahusiano yanamatter linapokuja swala la mafanikio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimbeze mtu aliyefeli masomo ingawa inaumiza ila katika nchi yetu waliofeli masomo wengi wana mafanikio kuliko waliosoma. Mie nimesoma mpk vyuo vikubwa vya Ulaya lakini wale wenzangu waliokatisha masomo kwa kuishia elimu za chini na kuangalia fursa za biashara leo wana mafanikio makubwa sana ukilinganisha na mimi. Siko vibaya ila kwa akili nilizokuwa nazo kama ningeingia kwenye biashara ningekuwa mbali sana fursa zilikuwa nyingi sana huko

Unaweza kuniuliza kwa nini kwa sasa sirudi kwenye biashara, jibu ni kwamba nimebananishwa kwenye kona moja na ajira ambayo ni mbaya sana nikichomoka tu inakula kwangu
Hujachelewa mkuu ingia sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.

Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi.

Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.

Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.

View attachment 958685
Hiyo ingekuwa karatasi ya kubeti ungepata shilingi milioni ishirini na tano, ona sasa umeambulia nini, mla mla leo mla kesho kala nini.
 
Hivi kwa nini wale wasiojiweza sana darasani hufanikiwa ki maisha zaidi ya ma genius ?!.
Magenius wanaishi kwa kudhani maisha ni ohms law na blah blah zingine,kuna wanaokuwa na dharau ,ingawa si wote lakini wengi hawapendi ku admit kwamba wanahitaji msaada
 
Mungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.

Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi.

Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.

Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.

View attachment 958685
I got similar results in CSEE

Sent using .... who cares anyway
 
Mungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.

Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi.

Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.

Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.

View attachment 958685
Huu kwangu mimi nauita utoto,it seems ur not matured anymore.
 
Dahhh nilpata dv 1 mwak 2014 sasa naona maisha yamebadilika nimerud div 4 ndo naanza kuhustle kutafta div 1 akat wale waliofel na kubwaga shule wako mtaani na ndo kitaa wamepiga div 1 na 2 c wengne masalangee
 
Mungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.

Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi.

Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.

Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.

View attachment 958685
hongera mkuu upo vzuriiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom