Hiki ndicho cheti changu cha form four

Hiki ndicho cheti changu cha form four

Papa Mobimba nimekusoma. Mshukuru Mungu kukupa kipaji cha masomo. Wewe ni genius.

Hiyo ni record kwako na kwenye familia. Kama akaunti benki inasoma namba za kwenye vocha ya simu au hapana, sio hoja. Ulitumia muda wapo vizuri ukiwa shule. Hongera sana.
Sure. By the way, ukiwa na cheti kama hicho unachoweza kukosa ni 9 Or 10 figures bank account lkn maisha wa kawaida yataenda.
Lkn wengi wenye vi-F na D ndo wale ambao maisha ya kawaida hayaendi.. na wachache sana ndo waliothubutu kunyanyua maghorofa K'koo, ambao inaonekana kama wanarepresent kundi la vilaza.
Bottom-line: Maisha yanahitaji kupambana sana regardless of As Or Fs za kwenye vyeti.
 
umejuaje ni jiniazi kama alikuwa ana kremingi capasiti kubwa??? 😂😂
 
Sure. By the way, ukiwa na cheti kama hicho unachoweza kukosa ni 9 Or 10 figures bank account lkn maisha wa kawaida yataenda.
Lkn wengi wenye vi-F na D ndo wale ambao maisha ya kawaida hayaendi.. na wachache sana ndo waliothubutu kunyanyua maghorofa K'koo, ambao inaonekana kama wanarepresent kundi la vilaza.
Bottom-line: Maisha yanahitaji kupambana sana regardless of As Or Fs za kwenye vyeti.
Ni kweli kabisa. Tonge halikosekani. Na mboga unakuwa na uhakika wa kubadlisha
 
Mungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.

Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi.

Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.

Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.

View attachment 958685
haina impact katika maisha
weka picha unamiliki nyumba gani
 
oooh kijana nakumbuka maswali yalikuwa hivi:-
civics:the first president of Tanganyika was nyere...../A/re /B/ro
history:the leader who led the majimaji war was kinjekitile ngwa...../A/re /B/ru
geography:the highest mountain in Tanzania is....../A/kilimanjaro /B/ Rungwe
kiswahili:chai chapati hii ni rejesta ya...../A/kanisani/B/mghahawani
english:juma,issa,amina and frank are...../A/names/B/clothes
chemistry😱rganic chemistry is the topic of form..../A/two /B/four
physics:which is greater between 5kg of cotton and 5kg of stones...../A/equal /B/stones
biology:the human being has.....eyes /A/two /B/six
mathematics:2+[]=5

duh maisha ya ajabu sana yani kati ya watu milioni moja matajiri Tanzania hakuna Tanzania one hata mmoja
 
Sas na kwa wale ambao wamepiga fresh kitabu ila maish yanatuendea vibaya ,tuite ni nin hapo mkuu??
Maan haya maisha sio poa kabisa
Linaweza kuwa pepo...jaribu kwenda kuombewa 😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom