Hiki ndicho cheti changu cha form four

Mungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.

Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi.

Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.

Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.

View attachment 958685
DIV I Pts 8
 
Angalia kwa makini wakati wa mashindano ya kombe la dunia , zile timu mbili zinazoingia fainali . Kucheza kufa na kupona , kushinda hata kwa kuua , "by any means " maisha ndivyo yalivyo , wenye mbinu kali wanafanikiwa
 
Hao vilaza wanajifariji tu! Hafahamu kama wasanifu wa majengo wanatengenezwa pale ARDHI UNIVERSITY!

Linalilia magari tu lakini halijui hata magari yanatengenezwaje.
Wasomi wa Europe na America wapo vzuri wamefaulu shule na maisha pia lkn wasomi wa Africa hovyo tu jitu liba PHd ya kemia lkn kutwa kwa waganga ambao hata kusoma hawajui
 
Mungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.

Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi.

Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.

Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.

View attachment 958685
Unaonyesha Cheti una div 1 halaf amin life sio poa unakuta upo nyuma kimaendeleo kuliko yule mwenye 3 na 4
 
Hivi kwa nini wale wasiojiweza sana darasani hufanikiwa ki maisha zaidi ya ma genius ?!.
No Research No Right to Speak. Usifanye watoto waache kusoma kwa hii kauli yako isiyo na mashiko, kwan waliosoma hawajafanikiwa?! Au unahisi waliofanikiwa wote walikuwa wajinga darasani!?!!
 
Sihamasisi watu kutokusoma hata kidogo!!. Nimeuliza swali na kama ulikuwa huwezi kujibu ungepita kimya.

Fanya uchunguzi mdogo tu. Matajiri wengi wakubwa waliofanikiwa si wasomi wa daraja la juu bali wa kawaida. Wale ma genius wamefanikiwa kawaida.
 
Hizi ni fikra potofu, elimu ina maana zaidi ya utajiri wa pesa unadhani
 
Umenizidi vi As viwili, ila kwingine tupo sambamba.

Vp A level ulimaintain?
 
Wanaojenga maghorofa Kariakoo na wamiliki wa Fedha nyingi hawana cheti kama hicho. Mafanikio katika maisha na akili za darasani ni vitu viwili tofauti kabisa. mimi sina hicho cheti ila nina uhakika hali yangu kuifikia itakuchukua miaka 100!
Mliofeli mnakuwa na misemo fulani hivi ya kujifariji na husahau mapema au hushindwa kutafakari pengine ndio huo uzito pia uliowafanya mfeli. Umeandika kana kwamba unamjua vema mtoa post kipato chake nk.

Kuna wajinga huamini kina Bill Gate na Mark Zuckerberg ni mbulula. Yani mtu asome Havard University awe mbulula?

Uafrika shida sana
 
Wanaojenga maghorofa Kariakoo na wamiliki wa Fedha nyingi hawana cheti kama hicho. Mafanikio katika maisha na akili za darasani ni vitu viwili tofauti kabisa. mimi sina hicho cheti ila nina uhakika hali yangu kuifikia itakuchukua miaka 100!
unaijua hali yake ya sasa? Acha majigambo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom