Hiki ndicho cheti changu cha form four

Hiki ndicho cheti changu cha form four

Mungu hukupi vyote na hukunyimi vyote pia
 
Wanaojenga maghorofa Kariakoo na wamiliki wa Fedha nyingi hawana cheti kama hicho. Mafanikio katika maisha na akili za darasani ni vitu viwili tofauti kabisa. mimi sina hicho cheti ila nina uhakika hali yangu kuifikia itakuchukua miaka 100!
Unasemaaaa!!!
 
Mungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.

Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi.

Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.

Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.

View attachment 958685
Mkuu kwa mfumo wa elimu ya kibongo kwa o level kupata 2 ya 21 au 3 ya 22 inatosha, advance unaweka zako 3 ya 13 afu chuo ndio unaweka first class believe me utaonekana wa maana kuliko waliopata mia mia kwanzia vidudu
 
Ulikuwa vizuri,ila kwa elimu yetu,unaweza kuwa na As,lakini ni mwendo wa kukalili tu,na kuhamishia kwenye paper.
VP hizo As,zimelifrect kwenye maisha,harafu ndugu elimu ya form 4,ni ndogo sana,shahada uligonga VP?na upande wa cash money,una A au F?
Kweli mkuu aeleze university vipi atuelez
 
elimu ya university ni ya kijinga sanaaa yaan mtu mmoja ndo judge unaweza kuta wale vilaza wa kudesa na vibomu ndo wanapata first class kali ila wale wanaojitegema wanapata pass na kweny ajira wale first clas hasa za kufundisha chuo ndo wanawachukua sijui kwan
 
Mungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.

Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi.

Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.

Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.

View attachment 958685
 
Mungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.

Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi.

Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.

Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.

View attachment 958685
Maisha yana endeleaje huko Havard Univesty?
 
Hongera mkuu.... Cheti chako kimefanana na changu Kila kitu, tofauti ni kwenye hizo herufi tu..... Changu nadhani walisahau wakajaza ma F kote.....
 
umenena Mkuu,ila umeharibu mwisho

Huenda mwenye cheti humjui...huenda

ila kusema
una uhakika kuwa hawezi kufikia maisha yako labda kwa miaka hiyo tajwa,hili ni la hatari sana na lafaa kupigwa vita

Umejua ya jana na leo tu,sidhani kama kesho unajua

Kuwa makini na utabiri wako mbovu
sina ninachotabiri bali namaanisha sababu wewe na yeye hamjui mimi ni nani pia!
 
Sasa kama ulikuwa unajua 90&95 hizo B kwenye cheti zilitoka wapi? Au ulipata B ya 93?
 
Wanaojenga maghorofa Kariakoo na wamiliki wa Fedha nyingi hawana cheti kama hicho. Mafanikio katika maisha na akili za darasani ni vitu viwili tofauti kabisa. mimi sina hicho cheti ila nina uhakika hali yangu kuifikia itakuchukua miaka 100!
Mmh mzee unamfahamu maisha yake?
 
Ni asilimia ndogo sana.
Hiyo huwa ni kujipa matumaini tu
Lakini hapo wamesema kweli mkuu, ujue wasomi wengi huishia kujenga nyumba tu na kukopa kusafiri ka mama na baba basi kwisha kabisa.
Lakini makayumba utakuta biashara ina run vibaya yaani kwenda China hukuesabiki, majumba na bata sana!
Haya mfano Diamond, bahresa, mimi, deuj na nk.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom