Hiki ndicho cheti changu cha form four

Hiki ndicho cheti changu cha form four

oooh kijana nakumbuka maswali yalikuwa hivi:-
civics:the first president of Tanganyika was nyere...../A/re /B/ro
history:the leader who led the majimaji war was kinjekitile ngwa...../A/re /B/ru
geography:the highest mountain in Tanzania is....../A/kilimanjaro /B/ Rungwe
kiswahili:chai chapati hii ni rejesta ya...../A/kanisani/B/mghahawani
english:juma,issa,amina and frank are...../A/names/B/clothes
chemistry😱rganic chemistry is the topic of form..../A/two /B/four
physics:which is greater between 5kg of cotton and 5kg of stones...../A/equal /B/stones
biology:the human being has.....eyes /A/two /B/six
mathematics:2+[]=5

duh maisha ya ajabu sana yani kati ya watu milioni moja matajiri Tanzania hakuna Tanzania one hata mmoja
Tanzania One wako vyuoni, wizarani wanatengeneza sera
 
Mkuu sasa hiyo sifa, yaani hadi Bible knowledge ukaondoka na banda kha!!

Tuambie ulichukua kombi gani baada ya hapo?
PCM; maana kwa sasa wewe ni Engineer
PCB kwa maana sasa wewe ni Daktari (medicine) au HGL kwa maana sasa wewe ni Mwanasheria mbobezi...

Hongera; ila nasikia akili ka zako ni inborn; yaani Genetic mkuu; si eti kubundi saana; maana kama ni nguvu ya kubundi wasi watu wangekuwa wanaondoka na mabanda 9 yote.

Mtu anakesha miguu kwenye ndoo anaondoka na Four ya 26 mbio zake anaishia Butimba TTC.
 
Mkuu sasa hiyo sifa, yaani hadi Bible knowledge ukaondoka na banda kha!!

tuambie ukichukua PCM; maana kwa sasa wewe ni Engineer
PCB kwa maana sasa wewe ni Daktari (medicine) au HGL kwa maana sasa wewe ni Mwanasheria mbobezi...

Hongera; ila nasikia akili ka zako ni inborn; yaani Genetic mkuu; si eti kubundi saana; maana kama ni nguvu ya kubundi wasi watu wangekuwa wanaondoka na mabanda 9 yote.

Mtu anakesha miguu kwenye ndoo anaondoka na Four ya 28.
Sikuwahi kubundi... Mkuu wangu wa shule alipendekeza nichukue HKL, lakini sayansi ilikuwa chagua langu
 
sijamaanisha hivyo..maana yangu ni kwamba kupata A Flat sio Guarantee ya kufanikiwa maishani!
Bora kuhamasisha Elimu kuliko kutohamasisha Elimu.Watu wasiposoma hayo maisha bora watayasikia bombani.Maana gari unayosema nani atatengeneza,nyumba nani atadesign ,AC na vyote ambavyo vimetokana na Elimu utavipata wapi.Kuikana Elimu ni kurudishana kwenye ujima
 
Hawa ndio wanafanya watoto wetu wanakuwa wa ajabu. Elimu haina mbadala
 
Kumbe umesoma private school ungesoma shule za serikali hzo A zote ni C ungekuwa failure so haina haja ya kikiweka
 
Mungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.

Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi.

Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.

Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.

View attachment 958685
Cheti halasi ukitoa nakala, kinajiandika ...COPY.. hichi cha kwako mbona hakina hiyo kitu ?
 
Kama una kampuni utaniajiri.. Mimi sichagui kazi
karibu sana upate mshiko hayo maherufi sijui AA au BB Siku hizi hayana maana tena mtaani kama mtu mwenye masters ana miaka 42 na hana hata nyumba ya shilingi milioni kumi, na dogo janja amabae hata ajamaliza form 4 amemjengea mama yake nyumba ya kuishi au fananisha maisha ya diamond platinums na any prof unae mjua wewe utapata jibu.
 
Wanaojenga maghorofa Kariakoo na wamiliki wa Fedha nyingi hawana cheti kama hicho. Mafanikio katika maisha na akili za darasani ni vitu viwili tofauti kabisa. mimi sina hicho cheti ila nina uhakika hali yangu kuifikia itakuchukua miaka 100!
Tupeana fursa chief
Tufanye nin
 
karibu sana upate mshiko hayo maherufi sijui AA au BB Siku hizi hayana maana tena mtaani kama mtu mwenye masters ana miaka 42 na hana hata nyumba ya shilingi milioni kumi, na dogo janja amabae hata ajamaliza form 4 amemjengea mama yake nyumba ya kuishi au fananisha maisha ya diamond platinums na any prof unae mjua wewe utapata jibu.
Mtu mbinafsi tu ndio atasema Elimu Haina maana.Ulishajiuliza kama wote tungekuwa hatujasoma we ungekuwa unafanya shughuli gani?
 
karibu sana upate mshiko hayo maherufi sijui AA au BB Siku hizi hayana maana tena mtaani kama mtu mwenye masters ana miaka 42 na hana hata nyumba ya shilingi milioni kumi, na dogo janja amabae hata ajamaliza form 4 amemjengea mama yake nyumba ya kuishi au fananisha maisha ya diamond platinums na any prof unae mjua wewe utapata jibu.
Hii akili ya ajabu. Bila hao wenye elimu hizo mixer na amplifier anazotumia diamond zingetoka wapi
 
karibu sana upate mshiko hayo maherufi sijui AA au BB Siku hizi hayana maana tena mtaani kama mtu mwenye masters ana miaka 42 na hana hata nyumba ya shilingi milioni kumi, na dogo janja amabae hata ajamaliza form 4 amemjengea mama yake nyumba ya kuishi au fananisha maisha ya diamond platinums na any prof unae mjua wewe utapata jibu.
Diamond Bila kuwepo watu wasomi wanaotengeneza muziki wake unafikiri angekwepo hapo alipo.Maisha yanategemeana.Ila Elimu Haina mbadala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom