Hijab kwenye shule za kikristo

Hijab kwenye shule za kikristo

unamchanganya yesu na paulo
Mkristo wa kweli hageuki nyuma wala hayumbishwi,viongozi wengi wa madhehebu wanawanapenda pesa kuliko kukusimamia imani iliyowaokoa iliyoletwa na Yesu Kristo bila fedha.
 
Nimetamani sana kupata michango yenu kuhusu jambo hili

Shule za dini ni seminary za dini husika, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi pale ninapoona double standard ktk kuvaa hijab kwa watoto wa kiislam ktk seminary za Ki-kristo.

Mtoto wa kikristo akijiunga kwenye shule inayomilikiwa na dini ya kiislam analazimishwa avae hijab lakini mtoto wa kiislam anapojiunga na seminary za kikristo pia analazimisha kuvaa hijab na iwapo sheria ya shule itamkataza serikali inaingilia kati kwamba hilo ni swala la imani. Je swala la imani linaegemea upande mmoja?

Haki itendeke kote
Kwani imani ya kikristo ndo kutovaa vizuri?? Hapo cjaona hoja yako! Kwani akivaa the way dini yake inavomruhusu /inavyomtaka awe hivo we yakuhusu nn !! Mwache na dini yake we fata mambo yako,...
 
Kuna swahiba yangu mkuu yeye ni Mpemba aliniambia amesikia shule za Roman Catholic zina elimu bora hivyo anaomba nimsaidie watoto wake wawili wapate nafasi, basi tulipigania kumwambia baba paroko hawa ni watoto wa kaka yangu kabisa. Watoto walipewa mtihani na walifauli na kupata nafasi, kaka yangu alifurahi sana na zawadi tele nililetewa, shule ni boarding, baada ya miezi sita watoto wamerudi wanajua mpaka novena. Kaka aliniambia "dada sasa hawa wakimaliza shule si nitakuwa nimewapoteza kabisa".

Watoto hawakurudi tena shuleni kule, walitafutiwa shule nyingine. Jitihada zangu ziliishia hapo.
Nakubaliana na ww kuwa taasisi za kikristo zina elim bora ,,, ila tatizo nikuwa mwislam akiwepo analazimishwa kuvua hijab na pia analazimishwa ajifunze mafundisho ya kikristo jambo linaloenda kinyume na uislam ,,, ndio maana wazanzibar hawapendi kuwaleta wanao bara ,,,,
 
Hao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'
Maana ya assalam alaykum ni AMANI YA MWENYEZI MUNGU IWE NAWE,. Hapo ni lugha tu ila ni salam nzuri sana ambayo haina ubaguzi kwa yyt,
 
Swala la kutaka watoto wa kikristo kuvaa hijab wanapojiunga na seminary za kiislam halafu watoto wa kiislam wanapojiunga na seminary za kikristo siyo sahihi kila mmoja anapokwenda kujiunga na mwengine aheshimu sheria alizozikuta la sivyo abaki kwake
Kwani mungu aliamrisha wanawake watembee vichwa wazi? Mwache avae tu
 
Hijabu ni mavazi ya kujisitiri na sio ya kiimani kama unavyojua wewe. sio kila anayevaa hijabu ni muislamu
 
Sio kweli hata kidogo taja shule hata moja sababu mimi nimesoma shule ya mchanganyiko ya dini ya kikristo na waislam hawakuruhusiwa kuvaa ijab pia ilikuea lazima usome bible knowledge haijalishi
 
Ulevi wa dini za majahazi ni mbaya sana kwa miafrika mieusi kama nyie matokeo yake mnaleta utengano miongoni mwenu
 
Nakubaliana na ww kuwa taasisi za kikristo zina elim bora ,,, ila tatizo nikuwa mwislam akiwepo analazimishwa kuvua hijab na pia analazimishwa ajifunze mafundisho ya kikristo jambo linaloenda kinyume na uislam ,,, ndio maana wazanzibar hawapendi kuwaleta wanao bara ,,,,
Kuna form unasign kuwa mtoto wako hatatengwa na wenzake, sasa wakiamka sala za asubuhi ni wote wanajumlishwa.
 
Nakubaliana na ww kuwa taasisi za kikristo zina elim bora ,,, ila tatizo nikuwa mwislam akiwepo analazimishwa kuvua hijab na pia analazimishwa ajifunze mafundisho ya kikristo jambo linaloenda kinyume na uislam ,,, ndio maana wazanzibar hawapendi kuwaleta wanao bara ,,,,
vivyo hivyo kwa mwanafunzi mwenye imani ya Kikristo anapojiunga na shule zenye mlengo wa dini ya Islamic ni lazima afuate sheria na taratibu alizozikuta huko..
 
Back
Top Bottom