Zinaficha magaidi
kuna nini wanakipunguza kwako wakivaa kwenye hizo shule? vitu vidogo kama hivi kuanza kuvichambua ni kuleta utengano na hakuna faida yoyote
Hivi mada kama hii ikiondolewa na Moderator mtoa mada naye atalalamika kuminywa kwa uhuru wake wa maoni?
wengi sanaMkuu kule wanafundishwa kila kitu. wanakula kitabu vizri na wanalijua neno la Mungu vyema.
Ushaona watoto wa Kikatoliki wanakuwa ******?
Wanachovaa masister ni hijabu?? Unajua kwa nn wanavaa vile? Kikubwa ni hivi siku ya mwisho hutaulizwa ulizwa ulivaa nini? Ulikula nini? Ulikunywa nini? Kwa nini hukutawadha ulipoingia msikitini? Kwa nn hukumkamua tumbo marehemu kabla ya kumzika hapana. Utahojiwa na kuhukumiwa kadri ya matendo yako!? Wangapi tunawaona wanavaa baibui na hijabu lakini tunapishana nao gesti? Usijidanganye matendo mema pekee Ndio yatakupeleka mbinguni sio dini au kuvaaMkuu kwel nakwambia mm ni mkiristo lakin nimegundua huku kwetu hakuna dini wala ukwel ni unbabaishaji tu.......hahaa ustuk why masister wanavaa hijab .....acha hzo kanisani watu wanashindana kuvaa nusu uchi kabisa kabisa .....stuka
utaishia hivyo hivyo nakujikuta mmebaki waafrika tu kwenye upotofu, eti magaidi! mbona wameenea ulaya nzima na wanapokelewa! by the way wasalimie huko mpandaMagaidi at work
Nani kashupalia? kwa taarifa yako mimi sio muislam, na muislam avae hijab shuleni sijali kwa kuwa ni imani yake na hainipunguzii kituWhat do you mean mambo madogomadogo kama ni mambo madogo mbona mmekuwa mkiyashupalia hadi wizarani? kama ni mambo madogo msiwalazimishe watoto wa kikristo kuvaa hijab kwenye shule zenu na kutaka shule za kikristo kuvunja sheria zake kwa kuwaruhusu watoto wa kiislam kuvaa hijab kwenye shule za Kikrsto
Trump anawaandama mbaya! Ngoja aapishwe mtarudia ufahamu wenuutaishia hivyo hivyo nakujikuta mmebaki waafrika tu kwenye upotofu, eti magaidi! mbona wameenea ulaya nzima na wanapokelewa! by the way wasalimie huko mpanda
Kuna swahiba yangu mkuu yeye ni Mpemba aliniambia amesikia shule za Roman Catholic zina elimu bora hivyo anaomba nimsaidie watoto wake wawili wapate nafasi, basi tulipigania kumwambia baba paroko hawa ni watoto wa kaka yangu kabisa. Watoto walipewa mtihani na walifauli na kupata nafasi, kaka yangu alifurahi sana na zawadi tele nililetewa, shule ni boarding, baada ya miezi sita watoto wamerudi wanajua mpaka novena. Kaka aliniambia "dada sasa hawa wakimaliza shule si nitakuwa nimewapoteza kabisa".
Watoto hawakurudi tena shuleni kule, walitafutiwa shule nyingine. Jitihada zangu ziliishia hapo.

utasubiri sanaTrump anawaandama mbaya! Ngoja aapishwe mtarudia ufahamu wenu
Trump ndo nan?Trump anawaandama mbaya! Ngoja aapishwe mtarudia ufahamu wenu
Masista si viongozi wetu..sio kila mkristo ni mkatoliki..hijabu haina uhusiano na kujistiri na kuwa kichwa waz hakumaanishi ndio hujajistiri..kujistiri ni kuvaa mavaz ya heshima na hujabu si lazima na haina umuhimu kwa sisi wakristo hata hao masista wenyewe km uko makini kuwaangalia utagundua hawavaag hijabu ila ni aina ya kilemba cz uvaaji wa hijabu ni tofauti kabisa na jinsi masista wavaavyo!
ki msingi ukristo ni dini ya kubumba tu, ni mawazo ya watu walikaa na kuitengeneza,hili ndo lilinipelekea nimeamua kusilimu juzi tu, how comes hata hao wazungu waliouleta kwetu Afrika wakatae kuufuata? tafadhalini ndugu zangu wa kikristo jaribuni sana kuisurvey dini yenu mtagundua ipo ki-dunia zaidi sio kumtafuta na kumjua Mungu
Mwisho wa magaidi umewadia huyu husein Obama aliwachekea sanautasubiri sana
Tell themMasista si viongozi wetu..sio kila mkristo ni mkatoliki..hijabu haina uhusiano na kujistiri na kuwa kichwa waz hakumaanishi ndio hujajistiri..kujistiri ni kuvaa mavaz ya heshima na hujabu si lazima na haina umuhimu kwa sisi wakristo hata hao masista wenyewe km uko makini kuwaangalia utagundua hawavaag hijabu ila ni aina ya kilemba cz uvaaji wa hijabu ni tofauti kabisa na jinsi masista wavaavyo!