TRAFFIC AKUTANA NA MWANANCHI MWENYE HASIRA KALI.Trafiki kajichanganya kachukua ufunguo wa gari la raia kachafukwa kamuweka chini maeneo ya lugaloView attachment 3665723View attachment 3665722
mgonjwa...dokita anapenda kazini akarudi mikono mitupu ..hawana hela ya kuwapa rushwa..Hawa madokita kazi Yao yenyewe ni ni stress tupu..halafu barabarani Nako matrafiki wanawaletea stress tena..madokita ni WA kuwahurumia. ✔🙏🏿huyo jamaa ni DOKITA nimeona katundika koti la udokit kwenye kiti Cha dereva,trafiki angemuacha dokita akahudumie wagonjwa masikini, and agonjwa wenyewe Hawa hawana pesa hata za chakula wakati mwingine dokita analazimika kutoa pesa yake mfukoni amsaidie mgonjwa...dokita anapenda kazini akarudi mikono mitupu ..hawana hela ya kuwapa rushwa..Hawa madokita kazi Yao yenyewe ni ni stress tupu..halafu barabarani Nako matrafiki wanawaletea stress tena..madokita ni WA kuwahurumia..hata kigari Cha dokita TU SI umekiona.
Baada ya kuchapika sana, ndo Wanajeshi wa JWTZ ambao walikuwa wanajipitia ikabidi waingilie kisha wakamchukua jamaa na kuondoka nae sasa sijui huko walikoenda itakuaje.?TRAFFIC AKUTANA NA MWANANCHI MWENYE HASIRA KALI.
TAARIFA
Hili tukio limetoka leo asubuhi maeneo ya Mwenge- Dar ea salaam.
Huyu jamaa alisimamamishwa na traffic, aliposimama wakaanza kubishana na Traffic, mashuhuda wanasema Traffic akachomoa funguo za gari akataka kuondoka nazo, jamaa kwa hasira akamvaa Traffic na kuanza kumtembezea kichapo.
Baada ya kuchapika sana, ndo Wanajeshi wa JWTZ ambao walikuwa wanajipitia ikabidi waingilie kisha wakamchukua jamaa na kuondoka nae sasa sijui huko walikoenda itakuaje.?
Sema nikikumbuka Oktoba 29, hadi Traffic walipewa silaha ili watuuwe nachoka kabisa.
Kesi ya uhaini.Baada ya hapo nini kilifuata?
Ngumu kuamini hii inaweza kuwa km zile hadithi zako za kusadikika! Hata wanatakiwa wawe fiti km askari wa kimarekani wa kiingereza. Wanakunywa mataputapu hawafanyi mazoezi wanategemea nini. Km ni kwl huyo raia ataona cha mtema kuni siyo rahisi unavyofikiri, huwezi kumshambulia askari tena km picha inavyoonekana, hapo utajutia kuijua dola.Trafiki kajichanganya kachukua ufunguo wa gari la raia kachafukwa kamuweka chini maeneo ya lugaloView attachment 3665723View attachment 3665722
Halafu mshikaji anayetembeza kichapo hana hata mwili mkubwa ila balaa lake noma.Yaan trafiki amejambishwa sana mpaka kazi imekua na kazi maana jinsi alivyowekwa chini hapo ni kupokea tu matonge ya uso na kujitahidi kificha sura maana utatambaa kwa mgongo huku mweenzio amekukalia juu wewe unajibuluta tu
DuhTrafiki kajichanganya kachukua ufunguo wa gari la raia kachafukwa kamuweka chini maeneo ya lugaloView attachment 3665723View attachment 3665722
Mkuu, kwa hii nimekuelewa!Stories za ma trafiki wa Dar zinanikumbusha miaka hiyoo zamani, siku moja Ijumaa jioni tunatoka nyumbani Oysterbay na watoto wa wenye nchi, tunakwenda kufurahi viwanja vya Dar.
Wenyewe hatuna shida, tupo barabara ya Haile Selassie, tunachoma vitu vyetu kama Bob Marley, gari limejaa moshi huku tumefunga vioo.
Tumefika kanisa la St. Peters, trafiki akatupiga mkono kibabe, gari letu lilikuwa poa tu, ila yeye alikuwa anataka lift kibabe tumpeleke Oysterbay Police.
Sasa sisi tuna umoja wa ki rasta hatuna ubaya na mtu, hata trafiki police tunampa lift poa tu. Si Mtanzania mwenzetu binadamu kama sisi? Haina shida.
Kasheshe alivyoingia ndani na kukutana na moshi sasa. Gafi lote limejaa moshi kama jiko la kuni kwenye vhumba kisivho na madirisha.
Halafu kakuta watu hata hatujastuka, ndiyo kwanza tunapokezana kijiti.
Halafu unajua sheria za mwenge hauruki kijiji, ilikuwa unakuja kwangu, halafu mimi nampasia yeye trafiki polisi.
Ilibidi alipofika kituo cha mabasi cha Mbuyuni pale cha kwenda Mwenge aombe kushuka kabla hatujamfikisha kituo cha Polisi Oysterbay.
Tukamshusha, tukaendelea na safari yetu.
Umeanza kwa mashambulizi ,umeanza kubedha waliofariki kwenye MO29 wakati mada ni traffiki kuchezeshewa kichapo ndiyo maana nikauuliza Sukari imepanda?Umeona ee?!! Inawezekana huyo raia ni ni nyumbu wa JF hivyo ana akili fupi za kupenda likes za nyumbu wenzake humu JF bila kujua kuwa wenyewe humu ni waongeaji tu lakini waoga KUPITILIZA na likikukuta linakuwa lako. Kama unabisha iulize minyumbu yote humu kama Kuna nyu
Hata sina sukari Mimi sheikh, pengine wewe ndo unayo na imejionyesha katika kushindwa kwako kuielewa hoja yangu. Daima kuwa mjanja, kama trafiki amekuja kihuni basi wewe nenda kihekma....ukijichanganya nawe ukaenda kihuni basi utakufika uhuni mara mbili yake
Wanachojisahau hao askari ni kwamba zinazowalinda ni hizo jezi zao na silaha wanazobeba ila nje ya hapo ni wepesi kama unyoya wa nzi ona alivyowekwa kifo cha mende!! askari muwe na heshima Kwa raia pumbavu zenyu.
Kakutana na psychiatric dr alaf bingwa leo na yeye vimempanda mamaey