Hii ya leo kali sana sana

Hii ya leo kali sana sana

Sheria traffic haruhusiwi kuchomoa funguo wala kuchukua leseni
Kama leseni unamuonesha tu,matrafik wengi sheria hawazijuwi
Sema jamaa atageuziwa kibao kwa kumpiga traffic hapo ndiyo kazi

Ova
Ni kweli hao jamaa wanajiona wapo juu ya sheria ,msela amefanya safi kumfunza adanu.

Na Press ya J4 Muliro ni ya Uongo Uongo ,ndiyo maana mtu anayeamini taarifa za polisi ana matatizo ya akili ,Muliro anasema eti trafik alimuelekeza jamaa asipite service road ndipo akshuka kwenye gari akaanza kumpiga trafik baadae eti raia nao wakaanza kumshambulia jamaa aliyekuwa anampiga traifki yaani MULIRO muongo muongo ,watu wameliona tukio kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Trafiki kamyang'anya funguo jamaa ndipo alipochezea kichapo ,alikuja kuokolewa na JWZT ,sehemu ya Lugalo hao wananchi watoke wapi waliokuja kumpiga jamaa? Muliro analeta uongo ili wanaanchi waogope kuwachezeshea kichapo wasio fuata PGO ,hakuna raia yeyote atakeyemtetea polisi anayechezea kichapo.
 
1788885552684.jpg
 
Walisema yuko hospital sasa wanasema wanamshikilia.. Tumuombee Sana
1788885531855.jpg
 
Ndugu zangu;
Kila mtu anafahamu wazi,

Kwamba, Askari waliopewa mamlaka za kusimamia sheria za usalama barabarani ni Trafiki police!

Lakini zipo changamoto nyingi sana katika baadhi ya maaskari wa usalama barabarani!

Mfano: Askari Andrew aliyehusika na tukio la kupigana na dereva (Conrad A. Kayoza mkazi lugalo-JWTZ)
Pamoja na mamlaka aliyonayo kisheria kama trafiki lakini huyu bwana ANDREW Huwa hana weledi katika majukumu yake!

Huyu andrew anatabia hata kutoa lugha za matusi kwa dereva ( Mfano; wee msenge nimekwambia nipe leseni yako) .

Shida nyingine ambayo Andrew aliyonayo huwa akishika leseni anaweza kukuandikia makosa kwa lazima au kukupotezea muda makusudi,
Kibaya zaidi Trafiki huyu anatabia za kuchomoa funguo kwa nguvu huku akitoa lugha chafu!

Ni kweli tunatambua Trafiki anayo mamlaka ya kisheria lakini hana mamlaka ya kutumia lugha chafu na kutweza utu wa watu kwa maneno tena wakati mwingine unatukanwa mbele ya mzazi au mke. Inaumiza sana na kutia hasira kwa wasioweza kujizuia

Tunaomba sana watu wote tuzingatie sheria lakini Askari wa usalama barabarani waelekezwe weledi katika kutekeleza majukumu yao pasipo kutweza utu wa mtu!

BAADHI YA TRAFIKI HAWANA WELEDI WANAZALILISHA SANA MADEREVA BILA WELEDI NA KUZINGATIA KANUNI
1788879605988.jpg
 
huyo jamaa ni DOKITA nimeona katundika koti la udokit kwenye kiti Cha dereva,trafiki angemuacha dokita akahudumie wagonjwa masikini, and agonjwa wenyewe Hawa hawana pesa hata za chakula wakati mwingine dokita analazimika kutoa pesa yake mfukoni amsaidie mgonjwa...dokita anapenda kazini akarudi mikono mitupu ..hawana hela ya kuwapa rushwa..Hawa madokita kazi Yao yenyewe ni ni stress tupu..halafu barabarani Nako matrafiki wanawaletea stress tena..madokita ni WA kuwahurumia..hata kigari Cha dokita TU SI umekiona.
Raia aliyempiga Askari ni Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani, Hospitali ya Taifa Muhimbili, Kampasi ya Mloganzila.

Wanaomfahamu Dr. Conrad wanajua ni mtu mpole sana. Ni jambo la kushitua kumuona kwenye matukio haya. Haijulikani yule askari alimfaya nini. Kwa bahati mbaya matukio yanayowahusisha polisi na raia, huwa tunasikia upande mmoja tu wa polisi wenyewe, raia wasio polisi hatuwasikilizi upande wao wanasema nini.

Kwa mfano kwenye tukio hili, tunaambiwa raia alimpiga polisi wakati huyo polisi akitekeleza majukumu yake, lakini huyo raia hapewi nafasi ya kusikilizwa ilikuwaje hadi akafanya hivyo.
Mbaya zaidi, kwenye tukio la namna hii polisi kwa akili zao wanaweza kuwa wamempiga sana huyo raia. Kuna taarifa (zisizo rasmi) kwamba huyu Daktari yupo ICU.
Rai yangu kwa polisi, kupitia kwa Afande Murilo, polisi wamfikishe mbele ya vyombo vya sheria huyu Daktari, akiwa salama salmini. Hukumu yake kwa kosa alilofanya inatakiwa itolewe na vyombo rasmi. Sio kazi ya polisi kutoa hukumu. Huko kwenye vyombo vya sheria tutajua ni kitu gani kilitokea mpaka kupelekea ugomvi huo.

Nitumie nafasi hii pia kuwashauri viongozi wa Jumuiya ya Madaktari Medical Association of Tanzania kutoa wito wa kutaka Daktari Conrad awe salama huko wanapomshikilia.

Nafuatilia kujua kama ni kweli amepigwa sana hadi kulazwa ICU.

Nawasilisha!
Dr. Chris Cyrilo.
1788889511967.jpg
1788889508722.jpg
 
Ndugu zangu;
Kila mtu anafahamu wazi,

Kwamba, Askari waliopewa mamlaka za kusimamia sheria za usalama barabarani ni Trafiki police!

Lakini zipo changamoto nyingi sana katika baadhi ya maaskari wa usalama barabarani!

Mfano: Askari Andrew aliyehusika na tukio la kupigana na dereva (Conrad A. Kayoza mkazi lugalo-JWTZ)
Pamoja na mamlaka aliyonayo kisheria kama trafiki lakini huyu bwana ANDREW Huwa hana weledi katika majukumu yake!

Huyu andrew anatabia hata kutoa lugha za matusi kwa dereva ( Mfano; wee msenge nimekwambia nipe leseni yako) .

Shida nyingine ambayo Andrew aliyonayo huwa akishika leseni anaweza kukuandikia makosa kwa lazima au kukupotezea muda makusudi,
Kibaya zaidi Trafiki huyu anatabia za kuchomoa funguo kwa nguvu huku akitoa lugha chafu!

Ni kweli tunatambua Trafiki anayo mamlaka ya kisheria lakini hana mamlaka ya kutumia lugha chafu na kutweza utu wa watu kwa maneno tena wakati mwingine unatukanwa mbele ya mzazi au mke. Inaumiza sana na kutia hasira kwa wasioweza kujizuia

Tunaomba sana watu wote tuzingatie sheria lakini Askari wa usalama barabarani waelekezwe weledi katika kutekeleza majukumu yao pasipo kutweza utu wa mtu!

BAADHI YA TRAFIKI HAWANA WELEDI WANAZALILISHA SANA MADEREVA BILA WELEDI NA KUZINGATIA KANUNIView attachment 3666060
Hapa kuna ukweli. Askari wa siku hizi hawana weledi wala common Sense. Ni kama wahuni tu wa mtaani. Kuna uwezekano mkubwa huyu askari alimtolea maneno ya kashfa huyu jamaa.
 
Updates..

Hali ya kiafya ya Dkt. Conrad Agonza Kahyoza, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila ambaye anatuhumiwa kwa kumshambulia Askari wa Usalama Barabarani imeelezwa kuwa inaendelea vizuri huku kwa sasa akishikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay, Dar es Salaam.

Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dkt. Alex Elifuraha Msoka amesema viongozi wa chama hicho wameonana na Dkt. Conrad, wamezungumza naye na kufanya tathmini ya hali yake ya kiafya na kuthibitisha kuwa hali yake ni nzuri.

Dkt. Alex amesema MAT, kwa kushirikiana na wanasheria pamoja na familia ya Dkt. Conrad, inaendelea na taratibu za kisheria, ikiwemo juhudi za kuhakikisha anapata dhamana.

Daktari huyo anashikiliwa na Polisi kufuatia tukio linalodaiwa kutokea Septemba 8, 2026 eneo la Lugalo, Dar es Salaam ambapo video iliyosambaa mitandaoni inamuonesha akidaiwa kumpiga askari wa usalama barabarani.

1789005730185.jpg
 
KAMA AMBULANCE INARUHUSIWA KUPITA SERVICE ROAD HALAFU GARI YA DAKTARI INAZUIWA DOES IT MAKE SENSE?
KAMA GARI ZA WANASIASA ZINARUHUSIWA HOW COMES YA DAKTARI ISIRUHUSIWE,KATI YA MWANASIASA NA DAKTARI NI YUPI ANAWAHI DHARURA YA KWELI?
 
Attachments

  • AMBULANCE.jpg
    AMBULANCE.jpg
    56.8 KB · Views: 1
Picha ya kibabe daktari bingwa akishuka kwenye gari alipofikishwa mahakamani baada ya kumpa KIPIGO traffic aliechomoa FUNGUO kwenye GARI yake, unaweza kumuita daktari wa binadamu anaetibu maradhi yote.
1789078231932.jpg
 
Back
Top Bottom