Hii ya leo kali sana sana

Hii ya leo kali sana sana

Sawa. Tena kesho napika. Alafu nitarudi hapa
😀😀😀
555bbb9d-1e34-485d-a6aa-0a4e4f0afabd.jpeg
 
Umeona ee?!! Inawezekana huyo raia ni ni nyumbu wa JF hivyo ana akili fupi za kupenda likes za nyumbu wenzake humu JF bila kujua kuwa wenyewe humu ni waongeaji tu lakini waoga KUPITILIZA na likikukuta linakuwa lako. Kama unabisha iulize minyumbu yote humu kama Kuna nyumbu lolote lilikuwa kwenye maandamano ya mabwana zao, Yale ya tarehe 29.10
Lakini umeona afande alivyowekwa kifo cha mende isingekuwa huyu mwanajeshi trafiki angepigwa miti.
 
Kwa mujibu wa police jamaa yuko hospital banda ya kushambuliwa na wananchi waliochukizwa na kitendo cha jamaa kumshambulia traffic police! SERIOUSLY🤔🙌🏿

Hapa kuna shida na kuna jambo baya linaandaliwa kwa jamaa
1.Eneo lililpotokea ni la jeshi ambapo kuna wananchi wachache sana

2. Picha zinazotembea mitandaoni ni za watu wawili waliokwidana chini. Hakuna picha zinazoonesha huyo jamaa akishambuliwa na wawananchi

3. Kwa hali ilivyo toka October 29 no wananchi gani wanaweza
Kumshambulia mwenzao anayemshikisha adabu police? Kea mikono tuu!?


4. Hivi jioni akitolewa hospital na kupelekwa mahabusu na usiku akirudishwa hospital akiwa hajitambui wakasema alizidiwa .. Si wanatupanga?
1788879600871.jpg
1788879605988.jpg
 
Back
Top Bottom