Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 372,613
- 863,388
- Thread starter
- #141
Dr. Conrad Kahyoza, ameachiwa kwa dhamana baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni na kusomewa shtaka moja la kushambulia mwili. Mashitaka yanatajwa kuwa ni kutenda kosa kwa mujibu Kifungu cha 243(d) cha Sheria ya Makosa ya Jinai, Sura ya 16.
Mshitakiwa Dk Kahyoza amekana kutenda kosa hilo na amepatiwa dhamana baada ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Jacqueline Rugemalila kuongoza kuwa shitaka lake linadhaminika.
Kesi itatajwa tena Septemba 24, 2026 saa 4:00 asubuhi.
-----
Shukrani za dhati ziwafikie mawakili wa TLS waliosaidia kutoa muongozo wa kisheria, na wadau wengine waliosaidia kwa namna moja au nyingine, kwa Daktari Conrad.
Nawasilisha!
Dr. Chris Cyrilo.