Hii ya leo kali sana sana

Hii ya leo kali sana sana

Wanachojisahau hao askari ni kwamba zinazowalinda ni hizo jezi zao na silaha wanazobeba ila nje ya hapo ni wepesi kama unyoya wa nzi ona alivyowekwa kifo cha mende!! askari muwe na heshima Kwa raia pumbavu zenyu.
Ile hofu na woga pamoja na heshima waliokuwa nayo raia kwa hawa magwanda inaendelea kwisha.

Walilikoroga wenyewe inabidi walinywe...hakuna namna!!
 
Trafiki kajichanganya kachukua ufunguo wa gari la raia kachafukwa kamuweka chini maeneo ya lugaloView attachment 3665723View attachment 3665722
Stories za ma trafiki wa Dar zinanikumbusha miaka hiyoo zamani, siku moja Ijumaa jioni tunatoka nyumbani Oysterbay na watoto wa wenye nchi, tunakwenda kufurahi viwanja vya Dar.

Wenyewe hatuna shida, tupo barabara ya Haile Selassie, tunachoma vitu vyetu kama Bob Marley, gari limejaa moshi huku tumefunga vioo.

Tumefika kanisa la St. Peters, trafiki akatupiga mkono kibabe, gari letu lilikuwa poa tu, ila yeye alikuwa anataka lift kibabe tumpeleke Oysterbay Police.

Sasa sisi tuna umoja wa ki rasta hatuna ubaya na mtu, hata trafiki police tunampa lift poa tu. Si Mtanzania mwenzetu binadamu kama sisi? Haina shida.

Kasheshe alivyoingia ndani na kukutana na moshi sasa. Gafi lote limejaa moshi kama jiko la kuni kwenye vhumba kisivho na madirisha.

Halafu kakuta watu hata hatujastuka, ndiyo kwanza tunapokezana kijiti.

Halafu unajua sheria za mwenge hauruki kijiji, ilikuwa unakuja kwangu, halafu mimi nampasia yeye trafiki polisi.

Ilibidi alipofika kituo cha mabasi cha Mbuyuni pale cha kwenda Mwenge aombe kushuka kabla hatujamfikisha kituo cha Polisi Oysterbay.

Tukamshusha, tukaendelea na safari yetu.
 
Atapata shida nyingi sana huyo Jamaa, Huo sio utaratibu, naona mnamsifia, huko aliko atakuwa anajua
Umeona ee?!! Inawezekana huyo raia ni ni nyumbu wa JF hivyo ana akili fupi za kupenda likes za nyumbu wenzake humu JF bila kujua kuwa wenyewe humu ni waongeaji tu lakini waoga KUPITILIZA na likikukuta linakuwa lako. Kama unabisha iulize minyumbu yote humu kama Kuna nyumbu lolote lilikuwa kwenye maandamano ya mabwana zao, Yale ya tarehe 29.10
 
Sukari imepanda Sheikh? Hakuna aliye juu ya sheria ,huyo trafiki inapswa afuate taratibu za kazi ,akija kiuhuni huni anapokelwa KIHUNI pia.
 
Atapata shida nyingi sana huyo Jamaa, Huo sio utaratibu, naona mnamsifia, huko aliko atakuwa anajua
Umeona ee?!! Inawezekana huyo raia ni ni nyumbu wa JF hivyo ana akili fupi za kupenda likes za nyumbu wenzake humu JF bila kujua kuwa wenyewe humu ni waongeaji tu lakini waoga KUPITILIZA na likikukuta linakuwa lako. Kama unabisha iulize minyumbu yote humu kama Kuna nyu
Sukari imepanda Sheikh? Hakuna aliye juu ya sheria ,huyo trafiki inapswa afuate taratibu za kazi ,akija kiuhuni huni anapokelwa KIHUNI pia.
Hata sina sukari Mimi sheikh, pengine wewe ndo unayo na imejionyesha katika kushindwa kwako kuielewa hoja yangu. Daima kuwa mjanja, kama trafiki amekuja kihuni basi wewe nenda kihekma....ukijichanganya nawe ukaenda kihuni basi utakufika uhuni mara mbili yake
 
Huyo mwamba atateseka sana.
Watampeleka jela hadi familia watamsahau kwa muda kidogo.
Mangi mmoja alishika mkono traffic Ubungo mataa akamburuza mita kadhaa akamuachia akakanyanga mafuta mengi.
Walichomfanyia baada ya kumkamata acha tu.
Na jamaa yetu akajihudumia mkewe wakati mangi yupo jela.
 
Back
Top Bottom