Hii ya leo kali sana sana

Hii ya leo kali sana sana

Hii kabari hii
IMG-20260908-WA0030.jpg
🙌🏿🙌🏿🙆🏿‍♂😂
 
Anajiamini huyo pengine naye ni wa hukohuko.. Raia wa kawaida ni ngumu kufanya hivyo tena ndani ya kambi ya jeshi
Yaan trafiki amejambishwa sana mpaka kazi imekua na kazi maana jinsi alivyowekwa chini hapo ni kupokea tu matonge ya uso na kujitahidi kificha sura maana utatambaa kwa mgongo huku mweenzio amekukalia juu wewe unajibuluta tu
 
huyo jamaa ni DOKITA nimeona katundika koti la udokit kwenye kiti Cha dereva,trafiki angemuacha dokita akahudumie wagonjwa masikini, and agonjwa wenyewe Hawa hawana pesa hata za chakula wakati mwingine dokita analazimika kutoa pesa yake mfukoni amsaidie mgonjwa...dokita anapenda kazini akarudi mikono mitupu ..hawana hela ya kuwapa rushwa..Hawa madokita kazi Yao yenyewe ni ni stress tupu..halafu barabarani Nako matrafiki wanawaletea stress tena..madokita ni WA kuwahurumia..hata kigari Cha dokita TU SI umekiona.
 
Back
Top Bottom