GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,848
- 109,556
Kwa mnaoijua vyema Katiba ya nchi naombeni mnionyeshe Kipengele kisemacho Rais akitoka Safari tu basi akitua Dar es Salaam ni lazima apokelewe na Umati mkubwa wa Watu wakiongozwa na Viongozi Waandamizi.
Na wale mnaoijua vyema Katiba ya Tanzania niwekeeni Kipengele kuwa Rais akiwa anarejea kutoka nje ya nchi kwa Kuiwakilisha Tanzania na Watanzania wote basi 85% ya wanaotakiwa Kumpokea pale JNIA wawe ni wana CCM pekee.
Nimejaribu kuangalia kama na Marais wengine wa nchi Jirani ( hasa Kenya, Uganda na Rwanda ) achilia mbali zile za Ulaya, Asia na kule Marekani kama nao huwa na Utamaduni huu ambao GENTAMYCINE sioni Aibu au Kuogopa kuuita ni wa Kipuuzi na Kishamba sijaona.
Watanzania tumechelewa sana na bado tunaendelea Kuchelewa kwa kuendelea kung'ang'ania Tamaduni / Desturi ambazo kiukweli kwa dunia ya sasa sidhani kama zina Tija Kwetu sana sana ndizo zinatufanya tuendelee tu Kudharaulika na kuoneka hatuna Akili na Majuha Tukuka na Watu wa Mataifa mengine ( hasa ya Jirani )
Namalizia kwa Kusisitiza tena je, hili ni Takwa la Kikatiba au ni Takwa la Upuuzi, Ujuha na Unafiki wetu Watanzania? Nayasubiri Majibu yenu na mtakaokereka nami na huu Uzi wangu wa Ukweli Mchungu Povu rukhsa.