Hii simu ijae picha zangu tuuu

Hapo ni hadharani anatoa Amri kama Jeshini huko ndani sijui kutakuwaje, Ingekuwa mimi huyo mwanaume hadi leo hiyo story ya ndoa ingekuwa historia. mwanamke wa aina hiyo atakupanda kichwani aisee
 
Niliwaza hivi pia, mara nyingi wanawake ambao anaolewa anahisi yeye ana uwezo zaidi ya mumewe wanakuwa hivyo... hii ndoa mwanaume atateseka sana, mwisho ni ulevi na kuwa na mwanamke nje...mke ataishia kisirani tu.
Mke hana busara kabisa.
Huyu ni wale watoto waliolelewa kama princess, sampuli ya akina juniour. 😁
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…