Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,826
Be patriotic mr ngabuWho’s going to fly internationally with Air Tanzania?
Definitely not me. I’d rather fly with an already established airline.
Anywho, we’ll see how things pan out.
Be patriotic mr ngabuWho’s going to fly internationally with Air Tanzania?
Definitely not me. I’d rather fly with an already established airline.
Anywho, we’ll see how things pan out.
Be patriotic mr ngabu
Macho yetu sieKwa ujumla sioni ubaya wa juhudi za kulifufua shirika letu la ndege.
Ni jambo jema tu.
Ila hii ya kununua lidege likubwa kama hilo li Dreamliner, sioni tija yake kwa sasa.
Wangeanza ufufuzi wa hilo shirika kidogo kidogo na hizo ndege ndogo ndogo.
Halafu baadaye baada ya kutengeneza faida ndo wangehitimu kwenye hayo makubwa makubwa ya masafa marefu.
Kununua dege la masafa marefu na kulirusha kwenye safari fupi za ndani ni uwendawazimu!
Kuna kila dalili hilo li Dreamliner litakuwa grounded.
Hii serikali imechemka kabisa hapa!
No two ways about it.
nakuelewa sana sana, lkn kuna wakati unazituma zikabebe maboksi wewe unabaki mwenyeweHahaaaaa nyie watu bana!
Ni wachache sana wenye uwezo wa kunielewa humu!

Watu wa serikali wanataka shobo, faida na biashara ni geresha tu.Kuna watu niliwaambia kuwa shirika la ndege TZ halina uwezo wa kuendesha hiyo Dreamliner kwa sasa. Watakula loss kila siku. Niliishia kutukanwa na kuitwa msaliti nisiependa maendeleo.
Ni bora tungenunua hata vijet viwili vitatu tukamake kwanza faida kuliko kununua mdege mkubwa unaupaisha kwa gharama alafu abiria ni wachache.
Hatujajenga credibility kwenye aviation sector hatuwezi kupata wateja kirahisi ilibidi tujijengee kwanza ili na sisi tuweze kupata soko kimataifa sio kuingia tu sokoni kisa wenzio wamo.
Hii ndege tukifika 2020 ikiwa ina operate bado nahama nchi.
Ha ha haa...when we are born, we are all ignorant but it takes such great effort to remain stupid! This way a moron is easily convinced that staying stupid is an achievement and is proud of it. Hence he lives the rest of his life wondering why there are people who don't understand him...!Ni wachache sana wenye uwezo wa kunielewa humu!
Hapo umeongea, kwa bahati mbaya hili ni tatizo la nchiAlthough there are no guarantees, to me safety comes first.
Wiki 2 zilizopita ulikuwa huelewi!Kwa ujumla sioni ubaya wa juhudi za kulifufua shirika letu la ndege.
Ni jambo jema tu.
Ila hii ya kununua lidege likubwa kama hilo li Dreamliner, sioni tija yake kwa sasa.
Wangeanza ufufuzi wa hilo shirika kidogo kidogo na hizo ndege ndogo ndogo.
Halafu baadaye baada ya kutengeneza faida ndo wangehitimu kwenye hayo makubwa makubwa ya masafa marefu.
Kununua dege la masafa marefu na kulirusha kwenye safari fupi za ndani ni uwendawazimu!
Kuna kila dalili hilo li Dreamliner litakuwa grounded.
Hii serikali imechemka kabisa hapa!
No two ways about it.
Maadam mwali tayari yumo ndani ya nyumba, na kitanda kimeisha tandikwa shuka nyeupe, kilichobakia ni kumuingiza tuu mwali chumbani na kuendelea na kinachoendelea...kwa zaidi ya mwaka walikuwa wanajua kuwa ndege ya masafa marefu inakuja nchini.
..sasa kilichowazuia kufanya maandalizi ya ndege kufanya safari za masafa marefu ni nini?
..ccm wako very efficient kwenye kufanya fitina na majungu ya kisiasa, lakini ikija shughuli za maendeleo ni sifuri kabisa.
Cc Richard, Pascal Mayalla
Punde inaisha wapi iyo tathiminiNitaleta tasmini hivi punde kuhusu hizi ndege
Sio mbaya,tuna mpango wa route ya Johanasibag,mda so mrefu,vuta subiraKwa ujumla sioni ubaya wa juhudi za kulifufua shirika letu la ndege.
Ni jambo jema tu.
Ila hii ya kununua lidege likubwa kama hilo li Dreamliner, sioni tija yake kwa sasa.
Wangeanza ufufuzi wa hilo shirika kidogo kidogo na hizo ndege ndogo ndogo.
Halafu baadaye baada ya kutengeneza faida ndo wangehitimu kwenye hayo makubwa makubwa ya masafa marefu.
Kununua dege la masafa marefu na kulirusha kwenye safari fupi za ndani ni uwendawazimu!
Kuna kila dalili hilo li Dreamliner litakuwa grounded.
Hii serikali imechemka kabisa hapa!
No two ways about it.
Obviously you are just one occasional flier while there many frequent fliers out there! These will definitely fly ATCL from great cities' international airports to Dar es Salaam.Definitely not me.
Ahaaaaaa,! Again we are on the same track embarking the same coach.Zinakurudi taratibu ama