Hii sasa ni pupa, ni papara

Hii sasa ni pupa, ni papara

Kwa ujumla sioni ubaya wa juhudi za kulifufua shirika letu la ndege.

Ni jambo jema tu.

Ila hii ya kununua lidege likubwa kama hilo li Dreamliner, sioni tija yake kwa sasa.

Wangeanza ufufuzi wa hilo shirika kidogo kidogo na hizo ndege ndogo ndogo.

Halafu baadaye baada ya kutengeneza faida ndo wangehitimu kwenye hayo makubwa makubwa ya masafa marefu.

Kununua dege la masafa marefu na kulirusha kwenye safari fupi za ndani ni uwendawazimu!

Kuna kila dalili hilo li Dreamliner litakuwa grounded.

Hii serikali imechemka kabisa hapa!

No two ways about it.
Kwa hiyo na wewe unamwita aliyelinunua ni Mwendawazimu??

Tutaongea lugha moja taratiibu.
 
Kwa ujumla sioni ubaya wa juhudi za kulifufua shirika letu la ndege.

Ni jambo jema tu.

Ila hii ya kununua lidege likubwa kama hilo li Dreamliner, sioni tija yake kwa sasa.

Wangeanza ufufuzi wa hilo shirika kidogo kidogo na hizo ndege ndogo ndogo.

Halafu baadaye baada ya kutengeneza faida ndo wangehitimu kwenye hayo makubwa makubwa ya masafa marefu.

Kununua dege la masafa marefu na kulirusha kwenye safari fupi za ndani ni uwendawazimu!

Kuna kila dalili hilo li Dreamliner litakuwa grounded.

Hii serikali imechemka kabisa hapa!

No two ways about it.

Yaani akili yako ndiyo imewaza haya?
 
Kuna watu niliwaambia kuwa shirika la ndege TZ halina uwezo wa kuendesha hiyo Dreamliner kwa sasa. Watakula loss kila siku. Niliishia kutukanwa na kuitwa msaliti nisiependa maendeleo.

Ni bora tungenunua hata vijet viwili vitatu tukamake kwanza faida kuliko kununua mdege mkubwa unaupaisha kwa gharama alafu abiria ni wachache.

Hatujajenga credibility kwenye aviation sector hatuwezi kupata wateja kirahisi ilibidi tujijengee kwanza ili na sisi tuweze kupata soko kimataifa sio kuingia tu sokoni kisa wenzio wamo.

Hii ndege tukifika 2020 ikiwa ina operate bado nahama nchi.
Mkuu wee ni mpinga maendeleo, mimi ni.mpinzani wa kisiasa ila weww umevuka mipaka, unasema halifiki 2020 likioperate?? Unalilaani??
 
Hii yote ni kwa Sababu ya kutegemea Utashi wa Mtu mmoja kufanya maamuzi ,walio ona mbali walilikemea hili mapema kuhusu Utaratibu uliotumika kufufua Shirika letu pamoja na Manunuzi ya hizi Ndege ila walipingwa na kuonwa kama wapinga Mawndeleo na sio Wazalendo.

Kama Suala hili linge jadiliwa Bungeni kupitia Wawakilishi wetu tusingekuwa tunalumbana tena hapa,mim nnaulizia tu ile iliyo paki Mwanza pale mmesha badili Engine ?..
 
Kwa ujumla sioni ubaya wa juhudi za kulifufua shirika letu la ndege.

Ni jambo jema tu.

Ila hii ya kununua lidege likubwa kama hilo li Dreamliner, sioni tija yake kwa sasa.

Wangeanza ufufuzi wa hilo shirika kidogo kidogo na hizo ndege ndogo ndogo.

Halafu baadaye baada ya kutengeneza faida ndo wangehitimu kwenye hayo makubwa makubwa ya masafa marefu.

Kununua dege la masafa marefu na kulirusha kwenye safari fupi za ndani ni uwendawazimu!

Kuna kila dalili hilo li Dreamliner litakuwa grounded.

Hii serikali imechemka kabisa hapa!

No two ways about it.

Imeshatangazwa sana kwamba hizi safari za ndani za Dreamliner ni za majaribio ili hata hao crew waweze kuielewa ndege vizuri.
Ndege inapagwa kwenda direct flights China na India. Tusifanye negative judgements kwa kukurupuka/siasa. Watu walizoea uozo wa nyuma kiasi kwamba mambo makubwa yakifanyika hawana confidence wana doubt kila kitu. KIA tu international flights zinakwenda zimejaa. Soko lipo, aiport mpya dar inakamilika, KIA/ Mwanza zinaboreshwa. Uoga wa nini tena?
 
Hivi hushangai kila mtu anakushangaa? Wenye pembe tushajua zako za kubandika mlanyama
mnaomshangaa ni nyie makamanda, tulio nyutro tunampata barabara.
tatizo lenu huwa mnataka kila mmoja humu awe na mtazamo sawa na nyie...haiwezekani kamwe!.
 
NN kama unavyosema miafrika ndo tulivyo - imagine kila shirika la ndege lina kula hasara kwa sasa tena kwenye nchi zilizoendelea na zenye nguvu kubwa ya ki uchumi kulinganisha na sisi. Lakini sisi tunajitutumua bila hesabu za uhakika.

JF new look iko poa sana
 
Maadam mwali tayari yumo ndani ya nyumba, kilichobakia ni kumuingiza tuu chumbani na kuendelea na kinachoendelea.

Juhudi zetu sasa tuzielekeze katika kuhakisha ndege yetu inajaza hao abiria 520 daily wa kwenda Mwanza, na kurudi Dar ili ndege isiende tupu.

P.
Ahaaaaaaa Paschal.Leo ngoja nipumzishe kichwa kwanza.Hata hivyo lamba mzinga wa like.
 
Kuna watu niliwaambia kuwa shirika la ndege TZ halina uwezo wa kuendesha hiyo Dreamliner kwa sasa. Watakula loss kila siku. Niliishia kutukanwa na kuitwa msaliti nisiependa maendeleo.

Ni bora tungenunua hata vijet viwili vitatu tukamake kwanza faida kuliko kununua mdege mkubwa unaupaisha kwa gharama alafu abiria ni wachache.

Hatujajenga credibility kwenye aviation sector hatuwezi kupata wateja kirahisi ilibidi tujijengee kwanza ili na sisi tuweze kupata soko kimataifa sio kuingia tu sokoni kisa wenzio wamo.

Hii ndege tukifika 2020 ikiwa ina operate bado nahama nchi.

kwani kuna mtu atalizuia kupiga masafa marefu? ule ulikuwa uzinduzi tu
 
Kwa ujumla sioni ubaya wa juhudi za kulifufua shirika letu la ndege.

Ni jambo jema tu.

Ila hii ya kununua lidege likubwa kama hilo li Dreamliner, sioni tija yake kwa sasa.

Wangeanza ufufuzi wa hilo shirika kidogo kidogo na hizo ndege ndogo ndogo.

Halafu baadaye baada ya kutengeneza faida ndo wangehitimu kwenye hayo makubwa makubwa ya masafa marefu.

Kununua dege la masafa marefu na kulirusha kwenye safari fupi za ndani ni uwendawazimu!

Kuna kila dalili hilo li Dreamliner litakuwa grounded.

Hii serikali imechemka kabisa hapa!

No two ways about it.
Tatizo liko hapa.nyani ngabu huwa mnachelewa kung'amua mambo..wakati wenzenu wanafikiria ya kesho kabla ya kufika nyinyi ccm huwa mnafikiria baada ya kuifikia.wakati mnaelezwa hiyo itasababisha hasra hamkuwaelewa watu mkasema wanapinga maendeleo mkalazimisha kunua mmenunua mmeona matumizi yake.hayakidhi sasa mnaanza kujirudi..kwanini hamkufikiri kabla ya kununua? Hamjaangalia uhitaji wenu kwa sasa n kipi badala yake mnakurupuka kufanya baada ya kufanya mnajikuta hayo hayakuwa mahitaji yenu sasa nendeni mkavundike liive..hizo bomba dear zenyewe zinatutia hasara sema hakuna wa kusema maana akisema tu wasiojulikana wanajitokza..Mungu atusaidie tuwe walipa.kodi wazuri tu vingnevyo matumizi yetu hayaleti tija kwa taifa..sasa ni zamu yenu kuona kile.ambacho.wenzenu walikiona hata kabla hamjanunua kitu ambacho mtakua mmechelewa
 
Wanatambulisha mdege kwa wana CCM kwanza maana nasikia ndio waliolinunua. Baada ya kulimwagia maji litaenda nje msihofu.
 
Kuna watu niliwaambia kuwa shirika la ndege TZ halina uwezo wa kuendesha hiyo Dreamliner kwa sasa. Watakula loss kila siku. Niliishia kutukanwa na kuitwa msaliti nisiependa maendeleo.

Ni bora tungenunua hata vijet viwili vitatu tukamake kwanza faida kuliko kununua mdege mkubwa unaupaisha kwa gharama alafu abiria ni wachache.

Hatujajenga credibility kwenye aviation sector hatuwezi kupata wateja kirahisi ilibidi tujijengee kwanza ili na sisi tuweze kupata soko kimataifa sio kuingia tu sokoni kisa wenzio wamo.

Hii ndege tukifika 2020 ikiwa ina operate bado nahama nchi.
Hili dege linajaaaaa balaaa, nimesafiri nalo tr. 8 lounge ilikuwa imejaaa mpaka viti vikaisha, walipotangaza tu air tanzania to mwanza watu wakaisha airport ikawa nyeupe. Kuingia ndani full levelseat, kama zilibaki basi ni seat kama kumi tu
 
Hmmm!

Mimi bado sina imani na uwezo wetu wa kuliendesha hilo dege.

Kwa sasa sitalipanda ng’o.
 
Ukiona wana CCM nao wanahoji ujue kumekucha!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom