Hii sasa ni pupa, ni papara

Hii sasa ni pupa, ni papara

Zinakuja Airbus 200 mbili ili kuzipa nguvu Dreamliner na Bombardier katika safari zake za Dar -KIA- MWANZA.
CRIPES nani katuroga?

Nahisi kama vile shirika la ndege linakuwa set up kufeli tena!

But then again, mimi mbeba maboksi na mtawaza vizee najua nini????

Maybe they know better...
 
Nyie mnaopiga maendeleo mantumiwa na mabeberu msio itakia mema Nchi yetu nawaangalia nasema hiiii

Hahaaaa....kulipenda taifa na kutopenda kuliona likifanya vibaya ndo kunatufanya wengine tusikubaliane na baadhi ya mambo.

Hivyo hatupingi kwa ubaya.

Uzalendo si kukubali kubali tu kila kitu hata kama ni kibaya!!
 
Bado siamini kama huyu ni Nyani ngabu au account yake imekuwa hacked.Maana ninachojua kuhusu yeye ni kuwa yeye ni kada mtukuka na si wa kuandika mambo kama haya
 
Bado siamini kama huyu ni Nyani ngabu au account yake imekuwa hacked.Maana ninachojua kuhusu yeye ni kuwa yeye ni kada mtukuka na si wa kuandika mambo kama haya

You can’t be serious!
 
Ndiyo unagundua leo baada ya ndege kuanza kubeba wanaCCM bure ili ionekane imejaa. Wengine tulionya muda mrefu sana na cost assessment yake ikawekwa humu JF.

sijui kwann nimecheka😂😂 i can imagine unaingia humo ndani ni green tupu💪😂😂..yamekaa kama mamisukule ya gwaji
 
Inawabidi walidump tu baharin hapo ferry litengeneze coral reef hili liwe chimbuko la mazalia ya samaki na mimea ya baharini kuvutia watalii mascuber divers

😂😂😂 uwiiiiio nacheka km mwehu hapa 😂😂😂💪 hiv ww unajijuaga kuwa ni comedian?
 
Maadam mwali tayari yumo ndani ya nyumba, na kitanda kimeisha tandikwa shuka nyeupe, kilichobakia ni kumuingiza tuu mwali chumbani na kuendelea na kinachoendelea.

Juhudi zetu sasa tuzielekeze katika kuhakisha ndege yetu inajaza hao abiria 520 daily wa kwenda Mwanza, na kurudi Dar ili ndege isiende tupu tukapata hasara.

P.
😂😂😂😂💪 520 daily ?😂😂😂😂😂😂 nikaokotwe ng'wanangwa mie
 
Dege kama lile kulirusha Kilimanjaro na Mwanza tu safari zisizo zidi masaa 2.30 ni sawa na kwa mfano ugeuze mabasi ya mikoani kama Dar Express au Abood kuwa madala dala kila baada ya mita 300 kituo wakati gari ni la kwenda zaidi ya masaa matatu hadi 4 bila kusimama. Hilo dege kwa ukubwa na uzito wake halitakiwi liwe linainuka na kutua kabla hata halijakata anga kwa zaidi ya masaa 4
 
Tatizo Tz hakuna kipau mbele... Yaani ni kukurupuka, hatuna dira kama Taifa. Kila ntu anakuja na plans zake. Lazima tufeli tu, nakuambieni.. TUNA RAIS WA AJAB HAIJAWAHI TOKEA "Tundu Lisu, 2017)
 
Ni serikali ambayo kwa ujinga wako uliipigania sana Sasa kaieleze hayo maujinga yako usitujazie seva.
miafrika ndivyo mlivyo
Angalia hoja sasa. Hivi alivyoandika ndiyo ameieleza hiyo serikali
 
Mkuu Nyani Ngabu sioni tatizo lolote la kuwa na aina hizo za ndege ikiwa wanajuwa wanachotakiwa kufanya. Dalili zinaonyesha wanajua tukiacha Siasa au hisia bila uelewa au woga wa usichokijua. Unapoamua kufanya biashara ya ndege swala ni huo mpango na matarajio yake na so eti kupata uzoefu. Kama matarajio yako ni kumpelekea abiria Kenya airways kama alivyo precision basi ukinunua dreamline utakuwa umejimaliza. Hata soko la ndani la Tanzania siyo la bombardier kwa vituo vyote hasa mwanza kilimanjaro na hata mbeya. Mimi naamini atcl wamepanga namna ya kufanya biashara yao na aina ipi ya ndege kutimiza matarajio yao. Wako wapi fastjet, eagle air, air express, community air? walikuwa na ndege ndogo kwa soko la ndani! Wakafa maana hawakulijua soko! Anayesema haitafika 2020 nafikiri ni swala la uelewa zaidi. KQ kaenda New York na tupo tuliosema kuwa itabuma kutokana na frequency nyingi! Angalia posting zangu. Kama kawaida wapo walioanza kuwazodoa ATCL kishabiki huku hawana uelewa wa soko hili. Mie nawaambia atcl wawe makini na wafanyekazi sio kwa mazoea na kuwa na risk management plan inayoishi maana matatizo yapo na yataendelea kuwapo. swala kubwa ni ufumbuzi wake. Siasa za JF waachieni wenyewe ingawa zinasaidia katika kufahamu feelings za wadau wenu

Hahaaaa....kulipenda taifa na kutopenda kuliona likifanya vibaya ndo kunatufanya wengine tusikubaliane na baadhi ya mambo.

Hivyo hatupingi kwa ubaya.

Uzalendo si kukubali kubali tu kila kitu hata kama ni kibaya!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom