Hii sasa ni pupa, ni papara

Hii sasa ni pupa, ni papara

Wangeenda taratibu na hizo Bombardier.

Then shirika likikua ndo wanunue hayo ma Boeing na ma Airbus makubwa makubwa.

Oh well....tutaona.
Mkuu dreamliner ndio imeshanunuliwa hivyo.
what is the way forward so to rescue the situation?
Maa
 
Ukiwa ni mtu wa kusimamia kanuni hutopata shida kunielewa!

Ila ukiwa mshabiki unayeongozwa na mihemuko basi utapata tabu sana.
Tatizo watanzania wengi ni bendera fata upepo. Wengi wapo very subjective na wanafata personal feelings hata kwenye facts. Mambo ya team flani na team fulani.

Wakikuona kuwa leo umepongeza team fulani kwesho umeponda wanashindwa kuelewa wewe ni mtu ambaye opo very objective and you do not let your personal feelings or intuitions intefere with your judgement of facts.
 
Kwa mujibu wa taarifa sahihi, safari hizo za ndani ni kwa ajili ya majaribio tu. Ndiyo lianze za nje, sijui mwenzetu ulielewa vipi
 
Kwa ujumla sioni ubaya wa juhudi za kulifufua shirika letu la ndege.

Ni jambo jema tu.

Ila hii ya kununua lidege likubwa kama hilo li Dreamliner, sioni tija yake kwa sasa.

Wangeanza ufufuzi wa hilo shirika kidogo kidogo na hizo ndege ndogo ndogo.

Halafu baadaye baada ya kutengeneza faida ndo wangehitimu kwenye hayo makubwa makubwa ya masafa marefu.

Kununua dege la masafa marefu na kulirusha kwenye safari fupi za ndani ni uwendawazimu!

Kuna kila dalili hilo li Dreamliner litakuwa grounded.

Hii serikali imechemka kabisa hapa!

No two ways about it.

Ni kweli Mkuu NN.
 
Na wanaopanda ni wale wale na wanashuka na vijibendera mkononi utafikili watapanda kila siku!!!!
Walikuwa kama watu wanaofurahia utamu wa pilau katika Msiba..hawajui gharama walioisababisha siku hiyo kuwa hewani yani kama kuchukua viroba viwili vya ngano kutoka kwa Godown Kipawa unapeleka Mbezi kwa Lori badala ya Kirikuu
 
Kwa mujibu wa taarifa sahihi, safari hizo za ndani ni kwa ajili ya majaribio tu. Ndiyo lianze za nje, sijui mwenzetu ulielewa vipi
Ndege ilishajaribiwa kwa kuruka kutoka America kuja Tanzania..kilichobaki tunasubiri iruke katika route husika,watu huku wanaifanyia show hivi hizi kodi kuna haja ya kuzilipa? Kwa route moja tu sidhani kama wame cover gharama za kuirusha kwa siku hiyo. kitaaluma kinachofanyika ni kinyume na matumizi ya Mali katika uzalishaji kama hali ndio hii sio rahisi mikataba ya madini tukaiweza
 
Haya mambo yanaitaji upembuzi yakinifu inabidi zisiagizwe zingine tunufaike na hizi kwanza.
 
Kwa ujumla sioni ubaya wa juhudi za kulifufua shirika letu la ndege.

Ni jambo jema tu.

Ila hii ya kununua lidege likubwa kama hilo li Dreamliner, sioni tija yake kwa sasa.

Wangeanza ufufuzi wa hilo shirika kidogo kidogo na hizo ndege ndogo ndogo.

Halafu baadaye baada ya kutengeneza faida ndo wangehitimu kwenye hayo makubwa makubwa ya masafa marefu.

Kununua dege la masafa marefu na kulirusha kwenye safari fupi za ndani ni uwendawazimu!

Kuna kila dalili hilo li Dreamliner litakuwa grounded.

Hii serikali imechemka kabisa hapa!

No two ways about it.
He! Hata wewe mkuu.
 
Wangeenda taratibu na hizo Bombardier.

Then shirika likikua ndo wanunue hayo ma Boeing na ma Airbus makubwa makubwa.

Oh well....tutaona.

..kwa zaidi ya mwaka walikuwa wanajua kuwa ndege ya masafa marefu inakuja nchini.

..sasa kilichowazuia kufanya maandalizi ya ndege kufanya safari za masafa marefu ni nini?

..ccm wako very efficient kwenye kufanya fitina na majungu ya kisiasa, lakini ikija shughuli za maendeleo ni sifuri kabisa.

Cc Richard, Pascal Mayalla
 
Mtoa mada ni sehemu ya watu wanaosaka tonge,akili za ugali
 
Kununua dege la masafa marefu na kulirusha kwenye safari fupi za ndani ni uwendawazimu!
No, got it wrongly Ngabu. These are maiden flights to offer pilots experience before resuming international flights tenable w.e.f September '18.
 
Inawabidi walidump tu baharin hapo ferry litengeneze coral reef hili liwe chimbuko la mazalia ya samaki na mimea ya baharini kuvutia watalii mascuber divers
Refer ile boat ya kwenda bagamoyo iligeuzwa kuwa ya jeshi. Magufuli mambo yakimshinda anakimbilia kwa wanajeshi kutafuta huruma.
 
No, got it wrongly Ngabu. These are maiden flights to offer pilots experience before resuming international flights tenable w.e.f September '18.

Who’s going to fly internationally with Air Tanzania?

Definitely not me. I’d rather fly with an already established airline.

Anywho, we’ll see how things pan out.
 
..kwa zaidi ya mwaka walikuwa wanajua kuwa ndege ya masafa marefu inakuja nchini.

..sasa kilichowazuia kufanya maandalizi ya ndege kufanya safari za masafa marefu ni nini?

..ccm wako very efficient kwenye kufanya fitina na majungu ya kisiasa, lakini ikija shughuli za maendeleo ni sifuri kabisa.

Cc Richard, Pascal Mayalla

Ingekuwa ni vyema hilo shirika la ndege likaji establish vizuri kwanza kabla ya kuanza hayo mambo ya safari za masafa marefu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom