Yaani unamaanisha mpaka desemba Mr. Chakubanga atakuwa abiria wa kudumu?Na wanaopanda ni wale wale na wanashuka na vijibendera mkononi utafikili watapanda kila siku!!!!
Quinine bhana eti baada ya kubeba wanaccm bure ili ionekane imejaa nimecheka SanaNdiyo unagundua leo baada ya ndege kuanza kubeba wanaCCM bure ili ionekane imejaa. Wengine tulionya muda mrefu sana na cost assessment yake ikawekwa humu JF.

hata mimi kanishangazaZinakurudi taratibu ama
Nyani huwa sikuelew mkuu muda mwingine
Ni serikali ambayo kwa ujinga wako uliipigania sana Sasa kaieleze hayo maujinga yako usitujazie seva.Kwa ujumla sioni ubaya wa juhudi za kulifufua shirika letu la ndege.
Ni jambo jema tu.
Ila hii ya kununua lidege likubwa kama hilo li Dreamliner, sioni tija yake kwa sasa.
Wangeanza ufufuzi wa hilo shirika kidogo kidogo na hizo ndege ndogo ndogo.
Halafu baadaye baada ya kutengeneza faida ndo wangehitimu kwenye hayo makubwa makubwa ya masafa marefu.
Kununua dege la masafa marefu na kulirusha kwenye safari fupi za ndani ni uwendawazimu!
Kuna kila dalili hilo li Dreamliner litakuwa grounded.
Hii serikali imechemka kabisa hapa!
No two ways about it.
Ni serikali ambayo kwa ujinga wako uliipigania sana Sasa kaieleze hayo maujinga yako usitujazie seva.
miafrika ndivyo mlivyo
Mm sio mshabiki sina chama ila cudricals are not an endorsementUkiwa ni mtu wa kusimamia kanuni hutopata shida kunielewa!
Ila ukiwa mshabiki unayeongozwa na mihemuko basi utapata tabu sana.
Unayepata taabu sana ni weye unayelazimika kulamba matapishi yako mwenyewe.Ukiwa ni mtu wa kusimamia kanuni hutopata shida kunielewa!
Ila ukiwa mshabiki unayeongozwa na mihemuko basi utapata tabu sana.
Unayepata taabu sana ni weye unayelazimika kulamba matapishi yako mwenyewe.
Ungalikuwa mtu wa kanuni ungekumbuka kuwa mkono ulioshika kinyesi huwa haukatwi. Wewe uliamua kuukata hivyo hutaweza kuunganisha, labda kije kizazi kisichoujua unafiki wako
Hivi hushangai kila mtu anakushangaa? Wenye pembe tushajua zako za kubandika mlanyamaNiliipigania wapi na lini?
Hamna tatizo. I am fully awàre of that.Mark your word mkuu usije kuyakataa maneno yako mwenyewe, ujue internet inaexcist forever