Hii ni mboga iliyopikwa na mke wa ndoa kwa mume wake

Upi hasa msingi wa swali lako?

Nina haja ya kuujua umri wako kama umeshindwa kung’amua content ya post uliyoni-quote nayo hapo juu.
Km unataka mke hata km hajui kupika si tatizo anaelekezwa mdogomdogo mpaka anakaa sawa Ila km unataka msaidiz wa kazi za ndani bila shaka hafai kwa majukumu hayo
 
Kuna mke wa baba mkubwa hajui kupika Hadi huruma Hana mkono wa kuchopoa chakula chenye ladha, atatia viungo na chakula ukala km maji tu tasteless, Kuna bintiye kamrithi hicho kitu, Ni aibu jamani hadi kinyaa na huruma
 
Hiyo inaongeza nguvu za kiume. Unakuwa unatoa bao zito linalotoka mithili ya mashine ya dizeli ya kusaga inavyowaka (sio kama starter za fekon sekunde mbili tu), yaani sekunde kama 9 hivi unakojoa tu.
NB: Ninauza nyanya, dagaa kama hao na vitunguu safi kutoka Iringa na Mbeya.
Genge langu lipo Kinondoni nyuma ya mahakamani uchochoro wa kwenda Sogodo.
Hapo wanauza matunda, juisi ya miwa, bagia etc pia pana bucha? Nakuja fastaaa
 
Kuna mke wa baba mkubwa hajui kupika Hadi huruma Hana mkono wa kuchopoa chakula chenye ladha, atatia viungo na chakula ukala km maji tu tasteless, Kuna bintiye kamrithi hicho kitu, Ni aibu jamani hadi kinyaa na huruma
HAJUI KUPIKA full stop!
 
Back
Top Bottom