Hii ni mboga iliyopikwa na mke wa ndoa kwa mume wake

Ukweli ni kwamba kuna wanawake wanapika chakula mradi mlaji ale asife njaa. Chakula kinapikwa bora mradi tuu na usafi sasa hauzingatiwi ipasavyo. Hapa nataja na makabila wasafa, wahaya wanajua kupika ndizi vyakula vingine mpikie wewe aseee.
NB: Ni utafiti usio rasmi na nimeufanya kwa sampuli chache nilizobahatika kuwa nao karibu sio wanawake woote
 
Hiyo Haina shida, ili mradi muda wa kulala asinuke shombo la dagaa na anipe ushirikiano siyo anisusie.
 
Mimi mwanamke akiwa mweusi, ana tako kidogo na anajua kupika inatosha kwangu,
Sijali sura, elimu na vinginevyo vyote
 
Binadamu wanaokula hivyo vitu vimechemshwa chemshwa tu nguvu ipo ya kutosha, magonjwa gonjwa hakuna.
 
Back
Top Bottom