Hii ni mboga iliyopikwa na mke wa ndoa kwa mume wake

Hahahaaa. Kwa kweli.

Na akishindwa kuvumilia amnunulie simati foni agugo mapishi huko yutubu. Lol

#Kumrudisha kwao ni mwiko.
Hapo sasa! Anaanzaje kumrudisha wakati mahari alitoa mwenyew na alioa bila kushurutishwa😂
Hapo avute tu kiti afurahie show
 
Hawa ndo wale mnakutana vyuoni hujui amelelewa vipi miezi sita ushapeleka barua mwezi wa tisa ndoa kumbe alikotoka kwao mpaka nguo za ndani alikuwa anafuliwa na house girl hata kugeuza mchicha hawezi.

Usishangae haya yapo!
Unataka mke au msaidiz wa kazi za ndani
 
Back
Top Bottom