Sawa kaka tutabadilikaItapendeza kama mtabadilika
Tena jeraha bichiiiiiiiiii just imagineHahahaha... Kumbe nimepigilia msumari kwenye jeraha?? Duh poleni na mnivumilie tu
Mbona wapo sana tuYani kama yupo ajitokeze tu watu wachukue jiko mapema, manake karne hii hawapatikani kirahisi
Ukiona hivyo unapendwa shikiria hapo hapo. Siku upendo huo ukiisha hutomwona kufanya hivyo.Yaaani hii mada kama umenigusa mimi, yaani wa kwangu huwa anapenda kila siku lazima tuongee kwenye simu, tuchat, sasa muda mwingine unakuta mtu umechoka lakini ukimweleza utasikia umepata mwingine ndio maana hunijali, wakati sio kweli.
Kweli hapo itabidi nisiachieUkiona hivyo unapendwa shikiria hapo hapo. Siku upendo huo ukiisha hutomwona kufanya hivyo.
Dunia pamoja na watu wake?Niletee dunia ndio nitakusamehe![]()
![]()
![]()