Hii ni kwenu wasichana

Hii ni kwenu wasichana

Yaaani hii mada kama umenigusa mimi, yaani wa kwangu huwa anapenda kila siku lazima tuongee kwenye simu, tuchat, sasa muda mwingine unakuta mtu umechoka lakini ukimweleza utasikia umepata mwingine ndio maana hunijali, wakati sio kweli.
Alafu ukute sio muelewa.. Ndo utadata.....
Ila tuwavumilie tu labda muujiza utatokea
 
Hawa viumbe sometimes hawajui hata kusoma mood ya mtu..
Juzi nimetulia nacheki game home, Wife na yeye ndo akaona muda mzuri wa kunisimulia habari za kazini kwake..Mi nikawa naitikia tu bila kuelewa hata anaongea nn..Kesho yake ananiuliza sikumbuki hata moja..Amevimba hadi leo..Hapa nafikiria zawadi ya kumpoza


juice ya pilipili
 
lin Am sorry... Hizo comment zinatokea automaticaly... Mods hebu shughulikieni hiko kitu Cc. JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom