jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 3,836
- 14,722
Haiwezekani tuseme tu ukweli kuna nyumba za gharama kubwa hazifananii kabisa kupandwa mchicha au kufugiwa kuku. Lakini kwa sababu wote tupo nyuma ya keyboard ngoja tuendelee tu KubiashanaTafuta pesa mkuu upande maua kwa nyumba yako na si mboga mboga, hivi tuseme ukweli una kibunda unaweza panda mchicha kwako ndani Allah mkuu Acha hizo bana