H r n
JF-Expert Member
- Oct 3, 2019
- 1,100
- 2,078
Tafuta pesa mkuu upande maua kwa nyumba yako na si mboga mboga, hivi tuseme ukweli una kibunda unaweza panda mchicha kwako ndani Allah mkuu Acha hizo banaKutokuwa na hivyo vitu, vitakupelekea kupenda sana hela na utatumia njia yoyote kupata hela, iwe kwa kufitini, uchawa, kuiba, unafiki n.k