Hii ni aina gani ya laana inayomuandama na kumtesa Tundu Lissu kisiasa, kiuchumi na kijamii?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
36,155
Reaction score
30,836
Maana,
kwanza, kila analolianzisha halifanikiwi,
Kwa mfano alikua mbunge hakuinjoy, hakumaliza muda wake wa ubunge na wala hakufanikiwa kwa lolote ikiwa ni pamoja na kuwaletea maendeleo wanainchi wa singida mashariki. Bilashaka yoyote, nadhani hata watu wa singida wameshasahau kama kuliwahi kua na mbunge alieitwa Tundu Lisu jimboni kwao kwasababu hakuna alichofanya.

Pili,
aliwahi kua rais wa TLS, sote ni mashahidi, hakuwahi kuinjoy nafasi ile na wala hakuna alichofanya na kufanikiwa badala yake aliitelekeza ofisi ya TLS bila maelezo yoyote. Nako pia imesahaulika kabisa na waTanzania kama kuliwahi kua na rais TLS alieitwa Tundu Lisu humu nchini, kwasabb hakufanikiwa kufanya chochote.

Tatu,
Tundu Lisu amewahi kugombea urais wa nchi, maskini ya Mungu, huko nako akaangukia pua vibaya sana tena kwa fedheha sana, na walau hapo anakumbukwa kwa kutoroka nchi na kuwaacha wafuasi wake solemba kama vile Freeman Aikaeli Mbowe akiwa ametiwa korokoroni huku yeye akiinjoy ufaddhili wa mabwenyenye ya magharibi yanayomtuma mara kwa mara humu nchini kuja kupenyeza haki za fedheha ya binadamu, Tanzania na Africa kwa ujumla.
Kwenye hilo nalo amefeli na hata fanikiwa.

Nne,
Licha ya kuanzisha kampeni nyingi sana za kuomba omba kuchangiwa pesa za kujikimu yeye na familia yake, zote zimefeli na bado Tundu Lisu ameshindwa kabisa kujikomboa kiuchumi na ameishia kuomba omba kuchangiwa tu na walala hoi.

Tano,
Tundu lisu amewahi kua mwenyekiti wa Chadema Taifa, lakini ndani ya kipindi kifupi mno, chadema ikasambaratika na imekufa kibudu kifo cha uchungu sana. Na tayari ghafla amesahaulika kabisa kama aliwahi kua mwenyekiti wa chadema Taifa, kwasabb hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kuiua chadema.

Sita na mwisho kwa leo,
hivi sasa Tundu Lisu ana kesi mbalimbali mahakamani, na hata kabla ya kuanza kwa kesi hizo, tayari hata yeye mwenyewe amesense kushindwa na anajua wazi hawezi kushinda kesi hizo bali atatiwa hatiani

Je,
unadhani ni aina gani ya laana inamuandama huyu muungwana ambae kila anachojaribu kukifanya kinafeli katika hatua za mwanzo kabisa?

Hii ni ishara ya wazi kabisa ya kumaanisha na kuwajulisha wafuasi wote kwamba hakuna watakachofanikiwa ikiwa wataongozwa na huyo muungwana, kwasababu watashindwa kwenye hatua za mwanzo kabisa.

hii inaitwa watashindana lakini hawatashinda.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Hii ni ishara ya wazi kabisa ya kumaanisha na kuwajulisha wafuasi wote wanaoongozwa na Tundu Lisu, kwamba hakuna watakachofanikiwa ikiwa wataongozwa na huyo muungwana, kwasababuwatashindwa kwenye hatua za mwanzo kabisa.

🚮
 
Wewe ni pumbafu.
Tundu Lissu ni asset Kulinganisha na ujinga wowote unaotaka kumlinganisha naye.

Nyie endeleeni na mibaraka mnayodhani mnayo, huku mkidhani kuwa wengine wana laana
 
Wewe huwa unataka attention ya watu kuchangia mada zako ambazo hazina kichwa wala miguu. Ukiona huna cha kufanya huna haja ya kupost upumbavu.
 
Lisu mmoja mafanikio yako hata ukoo wenu wote hamumfikii ila ana kiu ya kuona nchi ipo mahala, tofauti na baba yako akipewa shati kubwa,kofia na elfu kumi anaona safi
 
Lisu hajawahi kushindwa Kesi. Remember that Gentleman
 
Laana ni wewe na CCM kuamua kumfanyia yote hayo Lissu mkijifanya ni mkono wa Mungu.

Malipo ni hapahapa
 
Kila ukishuka na thread moja kuhusu CHADEMA na Tundu Lissu, unaona haitishi na haitoshi, matako yanaendelea kukuwasha tu....

Unarudi na kuandaa nyingine lakini zote hola, negative reaction na unaishia kubebeshwa mzigo mzito wa gunia la matusi na ukosoaji...

Utamaliza yote, lakini ujinga na upumbavu hautakutoka kamwe unless ubadili namna yako ya kufikiri na kutenda...!!
 
Maana,
kwanza, kila analolianzisha halifanikiwi,
Kwa mfano alikua mbunge hakuinjoy, hakumaliza muda wake wa ubunge na wala hakufanikiwa kwa lolote ikiwa ni pamoja na kuwaletea maendeleo wanainchi wa singida mashariki. Bilashaka yoyote, nadhani hata watu wa singida wameshasahau kama kuliwahi kua na mbunge alieitwa Tundu Lisu jimboni kwao kwasababu hakuna alichofanya.

Pili,
aliwahi kua rais wa TLS, sote ni mashahidi, hakuwahi kuinjoy nafasi ile na wala hakuna alichofanya na kufanikiwa badala yake aliitelekeza ofisi ya TLS bila maelezo yoyote. Nako pia imesahaulika kabisa na waTanzania kama kuliwahi kua na rais TLS alieitwa Tundu Lisu humu nchini, kwasabb hakufanikiwa kufanya chochote.

Tatu,
Tundu Lisu amewahi kugombea urais wa nchi, maskini ya Mungu, huko nako akaangukia pua vibaya sana tena kwa fedheha sana, na walau hapo anakumbukwa kwa kutoroka nchi na kuwaacha wafuasi wake solemba kama vile Freeman Aikaeli Mbowe akiwa ametiwa korokoroni huku yeye akiinjoy ufaddhili wa mabwenyenye ya magharibi yanayomtuma mara kwa mara humu nchini kuja kupenyeza haki za fedheha ya binadamu, Tanzania na Africa kwa ujumla.
Kwenye hilo nalo amefeli na hata fanikiwa.

Nne,
Licha ya kuanzisha kampeni nyingi sana za kuomba omba kuchangiwa pesa za kujikimu yeye na familia yake, zote zimefeli na bado Tundu Lisu ameshindwa kabisa kujikomboa kiuchumi na ameishia kuomba omba kuchangiwa tu na walala hoi.

Tano,
Tundu lisu amewahi kua mwenyekiti wa Chadema Taifa, lakini ndani ya kipindi kifupi mno, chadema ikasambaratika na imekufa kibudu kifo cha uchungu sana. Na tayari ghafla amesahaulika kabisa kama aliwahi kua mwenyekiti wa chadema Taifa, kwasabb hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kuiua chadema.

Sita na mwisho kwa leo,
hivi sasa Tundu Lisu ana kesi mbalimbali mahakamani, na hata kabla ya kuanza kwa kesi hizo, tayari hata yeye mwenyewe amesense kushindwa na anajua wazi hawezi kushinda kesi hizo bali atatiwa hatiani

Je,
unadhani ni aina gani ya laana inamuandama huyu muungwana ambae kila anachojaribu kukifanya kinafeli katika hatua za mwanzo kabisa?

Hii ni ishara ya wazi kabisa ya kumaanisha na kuwajulisha wafuasi wote kwamba hakuna watakachofanikiwa ikiwa wataongozwa na huyo muungwana, kwasababu watashindwa kwenye hatua za mwanzo kabisa.

hii inaitwa watashindana lakini hawatashinda.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mnafikiri kumbambikia kesi mchongo uchwara ndio kumharibia kumbe ni kumjenga na kumwongezea baraka,bora muamue mumuache huru tena bila masharti wala kuchelewa!
 
Back
Top Bottom