Hii ndiyo maana halisi ya "love does not ask WHY"?

Last edited by a moderator:
Habari ya muda na wakat huu??
Kutokana na matukio ambayo nimeyashuhudia imebidi kujiuliza hili swali!
Mwanaume anapojiingiza kwenye mahusiano na mwanamke huku akijua dhahiri huyo mwanamke ameolewa/yupo kwenye serious relationship!
Mwanamke anapokuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume ambaye ni mume/mchumba wa mwanamke mwingine...
Yaani mwanamke anakua anajisikiaje kujijua yeye ni nyumba ndogo??
Na mwanaume anajiskiaje kuwa kidumu!??

Mmhhh nimewahi kusikia kua,"iba mboga ila usikombe mboga"! Sijui inaweza kuleta maana yoyote hapa!
 
haka kakichwa kalivyo kadogo sijaelewa hako kamsemo!
 
Hata wewe mleta mada haupo peke yako kwa umpendae. Haya mambo bana ukiyafatilia sana utakonda bure.
 
unafikiri mie nna presha bas..asiniletee tu magonjwa!ila yeye atabaki kuwa peke yake kwangu....
 
Khaa mbna hyo ndo habar ya mujini now?! Cku hzi hakuna alieolewa wala alieoa. Unakuta m2 ana mke wake wa ndoa kbsa ya kanisan na ana watoto na mkewe bt anashnda na kulala kwangu nifanyej nimfukuze?? Hapo mtot wakike sikohoi mama unataka nini, hta nimuite saa8 za ucku anawasha gar yake toka kibaha mpaka dar anakuja. Tishia kumuacha sasa, unamkuta muh2 hoi presha au kanywa sumu. Chezea nyumba ndogo wew!!! Haswaa awe mtot wa kinyamwez aliekulia unyamwezini??!!! Utachoka mwenyew
 
unafurahi mwenyewee..
 
Habari ya muda na wakat huu??
Kutokana na matukio ambayo nimeyashuhudia imebidi kujiuliza hili swali!
Mwanaume anapojiingiza kwenye mahusiano na mwanamke huku akijua dhahiri huyo mwanamke ameolewa/yupo kwenye serious relationship!
Mwanamke anapokuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume ambaye ni mume/mchumba wa mwanamke mwingine...
Yaani mwanamke anakua anajisikiaje kujijua yeye ni nyumba ndogo??
Na mwanaume anajiskiaje kuwa kidumu!??
wenyewe siku hizi wanaita,MAHABA NIUWE.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom