Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,085
- 54,305
Dont talk about Love because Love acts.
Halua haina makombo....... na wala hukumtuka bikra walikula na wataendelea kula.na ukisusa wenzio wanakula vilevile..kwa hiyo unajisikia amani kabisaa kumega anapomega mwenzio?
unatafuna big g aliyoitafuna mwanaume mwenzio?
Namaanisha yule Munissi aliyeua,kisha naye akajiua kwa bastola!ndo nani tena?
Wivu kwa sana tenakwa maana hiyo wivu usiwepo kati yao??
Hio ni njia ya kuhalalisha uzinifu tu!Ninavyoelewa mimi love doesn´t ask why maanake unampenda mtu without knowing why...Inatokea tu kama coincidence unampenda mtu!
Mhhhhhhhhhhhh! ambo hayo si rahisi kama unavozania!
Unakuta mtu kakuingia rohoni sema ndo kawahiwa na mwenzio unafanyaje! Ukubali kumpa ushindi wa mezani uidhulumu nafsi au mbanane hapo hapo!
Afterall huondoki nayo, mambo yanakuwa kutesa kwa zamu!
KIPENDACHO ROHO HULA NYAMA MBICHI!!!!!!!!!

kila mtu si anamuda wakehiyo ya kutokujua sio mbaya ila sasa unakua unajua kabisa huyu ni mke/mume wa fulani..khaa kweli mapenzi hayaulizi....