Hii ndiyo maana halisi ya "love does not ask WHY"?

Hii ndiyo maana halisi ya "love does not ask WHY"?

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
26,894
Reaction score
52,486
Habari ya muda na wakat huu??
Kutokana na matukio ambayo nimeyashuhudia imebidi kujiuliza hili swali!
Mwanaume anapojiingiza kwenye mahusiano na mwanamke huku akijua dhahiri huyo mwanamke ameolewa/yupo kwenye serious relationship!
Mwanamke anapokuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume ambaye ni mume/mchumba wa mwanamke mwingine...
Yaani mwanamke anakua anajisikiaje kujijua yeye ni nyumba ndogo??
Na mwanaume anajiskiaje kuwa kidumu!??
 
Hii kawaida sana maana mpango wa kanda
hauwezi kamwe kwishwa. Zaidi ni makubaliano
ya hiari bila kufanya mambo ya Munisi.
 
Mhhhhhhhhhhhh! ambo hayo si rahisi kama unavozania!

Unakuta mtu kakuingia rohoni sema ndo kawahiwa na mwenzio unafanyaje! Ukubali kumpa ushindi wa mezani uidhulumu nafsi au mbanane hapo hapo!

Afterall huondoki nayo, mambo yanakuwa kutesa kwa zamu!

KIPENDACHO ROHO HULA NYAMA MBICHI!!!!!!!!!
 
hahahahaha lara 1 nimependa hapo "huondoki nayo"
 
Last edited by a moderator:
Hii kawaida sana maana mpango wa kanda
hauwezi kamwe kwishwa. Zaidi ni makubaliano
ya hiari bila kufanya mambo ya Munisi.

kwa maana hiyo wivu usiwepo kati yao??
 
Mhhhhhhhhhhhh! ambo hayo si rahisi kama unavozania!

Unakuta mtu kakuingia rohoni sema ndo kawahiwa na mwenzio unafanyaje! Ukubali kumpa ushindi wa mezani uidhulumu nafsi au mbanane hapo hapo!

Afterall huondoki nayo, mambo yanakuwa kutesa kwa zamu!

KIPENDACHO ROHO HULA NYAMA MBICHI!!!!!!!!!

hahahaa kwa hiyo hapo hakuna kuwa na wivu wala nini..??
 
Naona ni mtu kutokujiamini tu,

Mtu mzima na ndevu zako kweli utakubali kua side dish??

Unajua kabisa haupo peke yako lkn unakubali kubanana hapo hapo?!

Ni ujinga uliopitiliza
 
mjini panogo full kubanana, hiyo kawaida kitu cha mzunguko mkuu, mapenzi ni hisia zipo nyingi, na ndogo kwahiyo kuna kubust.
 
Kuna sababu nyingi sana kwenye jambo hilo,labda ulikua uoe lakini haikua rizki yako na bado mnapendana,au michezo yake inakufukisha ndipo kwahiyo moyo hausemezeki,after all Ujanja kupata kuwahi hakuna maana....
 
kwa hiyo unajisikia amani kabisaa kumega anapomega mwenzio?
 
mjini panogo full kubanana, hiyo kawaida kitu cha mzunguko mkuu, mapenzi ni hisia zipo nyingi, na ndogo kwahiyo kuna kubust.

unatafuna big g aliyoitafuna mwanaume mwenzio?
 
Naona ni mtu kutokujiamini tu,

Mtu mzima na ndevu zako kweli utakubali kua side dish??

Unajua kabisa haupo peke yako lkn unakubali kubanana hapo hapo?!

Ni ujinga uliopitiliza

aiseee!
 
nilishawah mbona Jawilat . akili itauliza ila sio moyo...halaf wapo wengi tupo nao, na wanawengne bila hata ya sisi kujua.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom