Mbona mapenzi ya siku hizi kama siti za daladala "ukiinuka mwingine anakalia" hii ni dhahiri kabisa kama unaamua kuoa ama kuolewa badi weka kwenye fikra zako kuwa utapiga kama sio kupigiwa mwenza wako. Funga mkanda endelea na safari ya maisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.