Hii ndio sababu Adolf Hitler aliuwa Wayahudi

Hii ndio sababu Adolf Hitler aliuwa Wayahudi

Nakusihi usirudie tena kumuita binadam haramu, kwa uchafu ulifanywa na watu wengine. Hakuna mtoto wa haramu hata siku moja, vitendo vya watu wengine hawabebi watu wengine.

Mtoto wa nje ya ndoa atabakia kuwa mtoto wa haramu/zinaa. Sasa unachobisha ni nini!!!

Au nawe ni mmoja wao?
 
Mtoto wa haramu haingii aklilini kabisa kosa wafanye wengine baalaa limkute mtoto imani zingine hizi bora imani zetu za kiafrika zinamtambua nakumtunza hatakama ushahidi upo hatakua na tofauti mwarabu na mZungu wameua uwezo wetu wa kufikiri

Mtoto wa haramu atabakia kuwa wa haramu. Nadhani umenielewa,,,ndio maana hata tabia zao haziendani na watoto wa halali.

Mtoto wa halali atabakia kuwa wa halali
Na wa haramu atabakia kuwa wa haramu.
 
Kwanza umedandia mbele kuja kudakia hoja ambayo hujui imeanzia wapi, na ndio maana hata hujui hiyo haya niliyoweka inauhusiana vipi na hoja iliyokuwa ikiendelea. Hivyo nikusihi tu. Fuatilia huu mjadala toka mwanza na sababu ya mimi kuweka hiyo aya utapata huko. Utapata jibu kama zinaa ni haramu au halali.
Naona umeshindwa kuyajibu masuali nliokuuliza ambayo ni mepesi tu. Unatambua vyema lau kama ungeyajibu basi ungekosa cha kuzungumza.

Na kuhusu aya uliyoileta, mi huwa nawashangaa sana, kwanini mnakuwa mnapenda kuchukua aya na kuweka mahala ambapo hapahusiani. Ivi kuna mahala mtoa mada amesema kuwa mtu atahukumiwa kwa dhambi alizofanya mwengine? Kama hujaelewa nini aya inasema ongea tukufundishe.
 
Naona umeshindwa kuyajibu masuali nliokuuliza ambayo ni mepesi tu. Unatambua vyema lau kama ungeyajibu basi ungekosa cha kuzungumza.

Na kuhusu aya uliyoileta, mi huwa nawashangaa sana, kwanini mnakuwa mnapenda kuchukua aya na kuweka mahala ambapo hapahusiani. Ivi kuna mahala mtoa mada amesema kuwa mtu atahukumiwa kwa dhambi alizofanya mwengine? Kama hujaelewa nini aya inasema ongea tukufundishe.

Ndio maana nikakuambia hujui nini tulikuwa tunajadili had kufikia hapo, niseme wazi tu huwa sibishani na wajinga. Na ni katka sifa ya Ahlus sunnah wali jamaa, si kubishana na wajinga.
 
Mtoto wa nje ya ndoa atabakia kuwa mtoto wa haramu/zinaa. Sasa unachobisha ni nini!!!

Au nawe ni mmoja wao?

Kwanza tutambue kuwa mtoto aliyesababishwa na zinaa hana dhambi yoyote ile, bali dhambi ni kwa baba na mama waliyemzaa. Kwa hiyo asiwe ni mtoto wa kudharauliwa au kutupiliwa mbali, au kuonewa kwa aina yoyote au kupewa jina hilo 'mtoto wa haramu'.

Labda utuletee aya au hadithi inayosema mtoto wa nje ya ndoa anaitwa "mtoto wa haramu"
 
Mtoto wa haramu atabakia kuwa wa haramu. Nadhani umenielewa,,,ndio maana hata tabia zao haziendani na watoto wa halali.

Mtoto wa halali atabakia kuwa wa halali
Na wa haramu atabakia kuwa wa haramu.

Duh ndugu umejipa kazi ya kuhukumu watu, iyo ni kazi ya Allah kabisa.
 
Ndio maana nikakuambia hujui nini tulikuwa tunajadili had kufikia hapo, niseme wazi tu huwa sibishani na wajinga. Na ni katka sifa ya Ahlus sunnah wali jamaa, si kubishana na wajinga.
😀

Nimekuuliza maswali mawili tu umeshindwa kuyajibu, unaishia kujiita ahlu sunna. Ahlu sunna gani wewe usieelewa maana ya mtoto wa haramu? kawauliza mashehe wako tena mtoto wa haramu ni yupi? au ndo nyie mashehe msemao kitanda hakizai haramu? 😀 Fool!
 
Kwanza tutambue kuwa mtoto aliyesababishwa na zinaa hana dhambi yoyote ile, bali dhambi ni kwa baba na mama waliyemzaa. Kwa hiyo asiwe ni mtoto wa kudharauliwa au kutupiliwa mbali, au kuonewa kwa aina yoyote au kupewa jina hilo 'mtoto wa haramu'.

Labda utuletee aya au hadithi inayosema mtoto wa nje ya ndoa anaitwa "mtoto wa haramu"
Kwaio kwa mujibu wa ahlu sunna huyo mtoto anakuwa halali yake jamaa aliemzalisha mamake mtoto?
 
Mtoa mada sidhani kama upo sahihi sana. Hitler hakutaka kuwaua wa Israeli. Baada ya kuwa Cancellor wa Germany Hitler kutokana na chuki zake dhidi ya wayahudi aliazimia kuwaondoa Ulaya lakini sio kwa kuwaua, bali alianza kuwahamishia kwenda kisiwani Madagascar. Baada ya Hitler kuvamia Russia idadi ya Wayahudi iliongezeka na kuwa kubwa mno kwa sababu aliwakusanya Wayahudi wote aliowateka Ulaya pamoja na wale waliokua Russia. Kutokana na idadi hio kubwa mno Hitler alimpa kazi ya kutafuta solution ya tatizo ilo kwa msaidizi wake aliekua anaitwa Reinhard Heidrich. Huyu jamaa baada ya yeye kuona uwezekano wa kuwahamisha Wayahudi wote kwenda Madagascar hautawezekana kutokana na idadi yao ndio akaleta proposal ya kuwaua wote. Alipendekeza kujengwe concerntration camps kubwa ambazo Wayahudi watakua wanauwawa kwa kiwango kikubwa ndani ya mda mfupi (hii waliita 'Industrial scale murder'). Zilijengwa kambi sita(6) kwa ajili ya kazi hii kwenye maeneo ya siri huko Poland, kambi hizo ni kama Treblinka, Belzec, Sobibor na nyingine 3 kama hizi. Mwanzoni walitumia gesi ya carbonmonoxide kuua watu lakini haikuwa inafanya kazi kwa ufanisi ndio baadae ikaletwa gesi nyingine inaitwa Zyklon. Askari wa Kijerumani waliokua wanafanya kazi kwenye hizi kambi walikua wanauoga kiasi flani wakati wa kufanya hii kazi. Serikali ya Hitler kuona hivyo wakaamua kuleta askari kutoka Ukraine. Hawa jamaa ndio waliokua wanaifanya hii kazi vizuri kwa sababu inasemekana walikua ni makatili sana, kwa siku moja walikua wanauwawa takribani wayahudi 80,000.

Walifanya makosa sana kuachia mabaki. Angewateketeza wote shenzi hao, na dunia ingebaki kuwa sehemu salama.
 
Hitler na Stalin wamemwaga damu nyingi

Namshukuru sana Hitler kwa mauwaji hayo. Ndio maana hakutaka kuwateketeza wote kwa kujua watu hawa sio wazuri, na baadae watu wapate kujuwa madhara/mabaya yao. Leo hii tunajionea wakiwanyanyasa na kuwaua wapalestina/washika manati. Hitler alikuwa mjanja sana.
 
Kuna sehemu nimesema huyo mtoto ni haramu au mtoto wa haramu?

Zinaa ni halali au ni haramu?

Hebu tuanzie hapo maana naona unataka kupotosha kilichoandikwa

Ngoja nikujibu nikuondolee huo ujinga ulio nao,
Kwanza hapo uliposema mtoto wa haramu ndipo nilipo ainisha kwanza "kiimani hakuna mtoto wa haramu" isipokuwa tendo ni haramu kwa maana ya zinaa au uzinzi.

Swali lako la pili
Kwa jinsi tendo hilo linavyochukizia Allah tabaraka wa ta'ala amelikemea kwa namna tofauti kabsa
"Wala msiikurubie zinaa hakika hiyo ni uchafu na njia mbaya kabisa". (Qur. 17:32)

Wanazuoni wameitsfr aya iyo kana kwamba sio tu usizini bali ni harama hata kuikurubia hiyo zinaa kwa maana usijiweke karibu na vitu vitakavyopelekea hiyo zinaa kufanyika, ndio maana uislam unakataza mambo ya sijui uboy na u girl friend, mambo ya kuwa sehemu ya kificho baina ya mwanamke na mwanaume, mwanaume kutembea macho juu juu, mwanamke kutohifadhi tupu yake wakati wakutembea etc. Na ni katika matendo matatu amabyo muislam mwanamke au mwanaume akiwa ameoa/olewa adhabu yake ni.kuuliwa.

Lakini haya yote bado hayafanyi mtoto akizaliwa kwa njia hiyo aitatwa "mtoto wa haramu" labda unipe hadithi au aya inasoyema mtoto atayezaliwa pale anakuwa wa haramu, labda uniambie unavyosema mtoto wa haramu unamanisha nini
 
Wayahudi wale wa ujerumani,poland na kwengineko waliuliwa kwa msukumo wa Mazayuni,ili kutengeza mazingira ya kupatikana kwa taifa la Israel na ndio maana mara tu baada ya Vita ile ya pili ya dunia ndipo taif la israel likapatikana.
Kwa harakaharaka ni ngumu kuamini nliyoyaeleza hapo juu,ila kama unaweza fanya research kujua ni kinani wali Finance vita hyo,pia tafuta ile Protocal of the learned elders of Zion isome na ufanya upembuzi yakinifu utapata picha halisi.
Pia idadi ya wayahudi waliouwawa na manazi japo ilikuwa kubwa sana lakini waliiongeza sana ama kui exegarate.ndio maana ni kinyume sheria ujerumani na baadhi ya nchi za ulaya kukosoa ile official holocaustnarative

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikumbukwe kwamba Hitler alikulia Vienna nhuko Vienna akakutana na Karl Lueger aliyemfundisha chuki dhidi ya wayahudi.Kwakuwa bibi yake alibakwa na bado Ulaya nzima ilijaa chuki dhidi ya wayahudi basi Kijana Hitler hakuwa na namna.Pamoja na hayo yote nani aweza kuwa wa kwanza kumrushia jiwe Adolf Hitler? Vipi chuki yetu dhidi ya wahindi hadi tunawabambika majina kibao? Kanjbhai, ponjoro, kuchkuch hotae, magabachori etc.Tatizo jamii hizi hupenda kujitenga na kutochangamana na wenyeji.Wenyeji hujikuta maskini na kuwaona hawa wakuja kama chanzo cha matatizo yao,hivyo chuku haiepukiki.Ila najua Joseph Stalin alikuwa katili kuliko the Fuerher.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna chuki kubwa sana inajengwa dhidi ya baadhi ya makabila hapa nchini. Chanzo ni nn ilhali makabila hayo hayajitengi kama Wahindi ama Wasomali?
 
Kwanza hapo uliposema mtoto wa haramu ndipo nilipo ainisha kwanza "kiimani hakuna mtoto wa haramu" isipokuwa tendo ni haramu kwa maana ya zinaa au uzinzi.
Kwanini mtoto wa haramu?

Kwanza utambue kuwa, mtoto huyo hajaitwa haramu, ila ni mtoto aliepatikana kwa njia ya haramu, na ndio maana tunasema mtoto wa haramu na kama amepatikana kwa njia ya halali tunasema mtoto wa halali.

Hakuna mahala nimesema mtoto huyo kuwa eti ni haramu na kwamba hana haki ya kuishi au watengwe.

Wewe niite mimi mjinga wakati kumbe wewe ndio mjinga, haya ninayosema nimekwisha yuasema kwenye post zaangu za nyuma.

Maswali nnayokuuliza unayakimbia na huyajibu bali unayazunguka.

Umekiri mwenyeo kuwa zinaa ni haramu, basi zao la zinaa nalo litakuwa haramu. Sasa haramu yake sio kwamba eti haistahiki kuishi au itengwe, njia alopatikana ni ya haramu na hatutakiwi kumhukumu kwa jambo ambalo hawez kulizuia.

Ngoja niuone level ya akili yako ewe Ahlu sunna;

Kwa mfano A ameenda kumuibia B pesa zake. Jee, hizi pesa ni halali ya A?
 
True
Maana una mmark Mtoto jina baya katika uhai wake wote hapa duniani!
Hakika hai make sense walahi!
Ni uonevu!
Ni mambo ya hovyo tu, late say una mwita mtoto wa nje ya ndoa kwamba ni haramu alafu akiwa mcha MUNGU inakuwaje.
Mi kwauelewa wangu haramu ni mtu mwovu tu.

Mtoto hajui hata jinsi alivyo tokea duniani amejikuta yupotu alafu eti mtu anampachika jina haramu...!!! Ridiculous.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom