Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,518
- 6,920
Kwanini mtoto wa haramu?
Kwanza utambue kuwa, mtoto huyo hajaitwa haramu, ila ni mtoto aliepatikana kwa njia ya haramu, na ndio maana tunasema mtoto wa haramu na kama amepatikana kwa njia ya halali tunasema mtoto wa halali.
Hakuna mahala nimesema mtoto huyo kuwa eti ni haramu na kwamba hana haki ya kuishi au watengwe.
Wewe niite mimi mjinga wakati kumbe wewe ndio mjinga, haya ninayosema nimekwisha yuasema kwenye post zaangu za nyuma.
Maswali nnayokuuliza unayakimbia na huyajibu bali unayazunguka.
Umekiri mwenyeo kuwa zinaa ni haramu, basi zao la zinaa nalo litakuwa haramu. Sasa haramu yake sio kwamba eti haistahiki kuishi au itengwe, njia alopatikana ni ya haramu na hatutakiwi kumhukumu kwa jambo ambalo hawez kulizuia.
Ngoja niuone level ya akili yako ewe Ahlu sunna;
Kwa mfano A ameenda kumuibia B pesa zake. Jee, hizi pesa ni halali ya A?
Hahahah ndugu, ujue wewe unaleta stori za vijiweni, mimi najibu kwa mujibu wa mafundisho ya dini na ndio maana nakupa na aya kabisa, umeshaboronga kwenye mada ya mtoto wa zinaa unarukia seheme sijui pesa A sijui pesa B, hapa nilkuwa nakupa somo, uzuri somo.limekuingia. basi nikutakie siku njema.