Hii ndio sababu Adolf Hitler aliuwa Wayahudi

Hii ndio sababu Adolf Hitler aliuwa Wayahudi

Lakini tufahamu ya kwamba yule mtoto anayezaliwa hana hatia yoyote
Kwani nimesema kuwa mtoto huyo ana hatia?
Na haifai kwa Muislamu kumuita mtoto aliyezaliwa kwa jina la mwana-haramu
Wapi nimemwita mtoto wa mwanaharamu?
bali kitendo chenyewe ndicho haramu
na ndio maana akaitwa mtoto wa haramu, jinsi ulivokuwa zumbukuku hujui maana ya mtoto wa haramu na mwanaharamu. Nimekwishakwambia kuwa mtoto wa haramu ni yule aliepatikana kwa njia zisizo halali. Sijui hata kama unaelewa unachoandika.

Ivi mtu akisema Mbwa wa barafuni, manake yule mbwa ndio barafuni mwenyewe? unapinga kitu kwa upu.mbavu wa akili yako akisha kumbe huelewi.

Acha ujinga wako, pitia post za nyuma nimekufahamisha nini maana ya mtoto wa haramu.

Nikisema mtoto wa kikwete manake yule mtoto ni kikwete? Ovyo kabisa
 
Asipo elewa hapa ndo hatoelewa Tena .
Nice explanation mkuu.[emoji122]
 
Hitler ni moja ya madikteta maarufu kuwahi kutokea duniani.
Alizaliwa April 20 1889 nchini Austria karibu na mpaka wa Germany na Australia.
Sababu kuu ya kuwaua wayahudi ni baba yake Adolf Hitler ambaye anaitwa Alois Hitler alizaliwa katika mzingira ya aibu.
Maria Ana Mama yake Alois Hitler alibakwa na MTU mmoja Leopold kutoka familia ya kiyahudi ambako bibi yake Adolf Hitler ambaye ni mama yake baba yake alikuwa mtumishi wa ndani.
Baba yake Hitler alikuwa mtoto haramu lakini baadae alihalalishwa na viongozi wa dini..
Adolf Hitler baada ya kukua alipewa hiyo historia tangu hapo hakuwapenda wayahudi.
Aliwapa jina wasaliti.
Asante.
NB#Hitler ni jina la baba mlezi wa baba yake dictator hitler km unajua zaidi tiririka.
Basi usimwite mtoto was haramu Kama huwezi kutumia jina la kawaida basi mwite mtoto wa nje ya ndoa!!!
 
Historia ni nzuri mlikuja kuharibu uzi ni nyie mlioanzisha mada nyingine "sijui mtoto haramu
 
Back
Top Bottom