Hii ndio sababu Adolf Hitler aliuwa Wayahudi

Lete na wewe ushahidi wako unaoruhusu mtoto wa zinaa kuwa imamu ili uniprove
Me wrong.
Ukishindwa basi acha ubishi bila ya hoja.

Na hili ndilo sharti au sifa anayomiliki Imaam kutokana na usimulizi ufuatao:

عَنْ أَبِي مَسْعُودٍ الْبَدْرِيِّ قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: ((يَؤُمُّ الْقَوْمَ أَقْرَؤُهُمْ لِكِتَابِ اللَّهِ وَأَقْدَمُهُمْ قِرَاءَةً فَإِنْ كَانُوا فِي الْقِرَاءَةِ سَوَاءً فَلْيَؤُمَّهُمْ أَقْدَمُهُمْ هِجْرَةً فَإِنْ كَانُوا فِي الْهِجْرَةِ سَوَاءً فَلْيَؤُمَّهُمْ أَكْبَرُهُمْ سِنًّا وَلَا يُؤَمُّ الرَّجُلُ فِي بَيْتِهِ وَلَا فِي سُلْطَانِهِ وَلَا يُجْلَسُ عَلَى تَكْرِمَتِهِ إِلَّا بِإِذْنِهِ))

Kutoka kwa Abu Mas'uud Al-Badriyyi akisema: Mtumeصلى الله عليه وسلم amesema: ((Awaswalishe watu yule mwenye kujua kusoma zaidi Kitabu cha Allaah na mwenye kutangulia zaidi kwa kisomo. Ikiwa visomo vyao ni sawa, basi aswalishe yule aliyetangulia kuhama (Hijrah), na ikiwa wako sawa katika kuhama, aswalishe mkubwa wao kwa umri. Wala asiswalishe mtu katika nyumba yake (mgeni asiswalishe kwenye nyumba ya mwenyeji isipokuwa hadi aruhusiwe na mwenyeji wake) wala katika mamlaka yake wala asikae kwa heshima yake isipokuwa kwa ruhusa yake))) [Muslim na Abu Daawuud]

Vipi mtume alayhi swalatu wa salamu alisahau kutaja hizo sifa.zako?
 
Wewe bila shaka utakua ni mtoto wa haramu .
Maana sio kwa povu hili.D😀😀😀
Ni fikra zako, ila kumbuka hao tunaowaita watoto wa haramu tunajumuikanao nao humu,, na swadaka zao ndio izo tunajengea misikiti,, kinachotakiwa ni kuacha zinaa,, Hakuna Mtoto wa haramu,, ila Kuna mababa wafanya vya haramu,

Kwani nikuulize swali, dini ya haki mbele ya Mungu ni dini gani hapa duniani?
 
clinical pharmacology2 Soma hayo Maelezo ww jitu bishi
 
Kumuita binadamu yeyote haramu ni kosa kubwa kwa kweli. Tafuta jina lingine lakini haramu hata mimi napinga.

Baada ya kusema hayo dini na mila zetu za kiafrika hazikumtambua au kumpa haki yake mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa. Ni siku hizi tumeweza kutoka kwenye ombwe hilo la dini na imani zetu za Kiafrika na kuhakikisha tunatunga sheria zenye kuhakikisha watoto hao wanapata haki na stahiki zote kama mtoto mwingine yeyote.
Anaweza pata Haki nyingi lakini urithi waweza Kuwa shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hili ndilo sharti au sifa anayomiliki Imaam kutokana na usimulizi ufuatao:

عَنْ أَبِي مَسْعُودٍ الْبَدْرِيِّ قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: ((يَؤُمُّ الْقَوْمَ أَقْرَؤُهُمْ لِكِتَابِ اللَّهِ وَأَقْدَمُهُمْ قِرَاءَةً فَإِنْ كَانُوا فِي الْقِرَاءَةِ سَوَاءً فَلْيَؤُمَّهُمْ أَقْدَمُهُمْ هِجْرَةً فَإِنْ كَانُوا فِي الْهِجْرَةِ سَوَاءً فَلْيَؤُمَّهُمْ أَكْبَرُهُمْ سِنًّا وَلَا يُؤَمُّ الرَّجُلُ فِي بَيْتِهِ وَلَا فِي سُلْطَانِهِ وَلَا يُجْلَسُ عَلَى تَكْرِمَتِهِ إِلَّا بِإِذْنِهِ))

Kutoka kwa Abu Mas'uud Al-Badriyyi akisema: Mtumeصلى الله عليه وسلم amesema: ((Awaswalishe watu yule mwenye kujua kusoma zaidi Kitabu cha Allaah na mwenye kutangulia zaidi kwa kisomo. Ikiwa visomo vyao ni sawa, basi aswalishe yule aliyetangulia kuhama (Hijrah), na ikiwa wako sawa katika kuhama, aswalishe mkubwa wao kwa umri. Wala asiswalishe mtu katika nyumba yake (mgeni asiswalishe kwenye nyumba ya mwenyeji isipokuwa hadi aruhusiwe na mwenyeji wake) wala katika mamlaka yake wala asikae kwa heshima yake isipokuwa kwa ruhusa yake))) [Muslim na Abu Daawuud]

Vipi mtume alayhi swalatu wa salamu alisahau kutaja hizo sifa.zako?
Hapo bado ujaleta ushahidi .
Hii hadithi haijaeleza kila kitu kuhusu uongozi wa swala haijabainisha mambo mengi muhimu ndo maana kunakua na Hadith zaidi ya moja ambazo zote zinaelezea jambo moja na ni kazi ya maulamaa kuchambua na kuja na vigezo kamili vya jambo husika.
Mfano :Hii Hadith imetaja sifa mbili tu
Kujua Quran .
Umri mkubwa basi.

Mfano kwa mujibu wa hadithi iyo apo juu
Imamu anaweza kuwa ;
***Mwanamke
***Mtoto wa miaka mitatu
***Mtu asiye na tabia njema
***Mtu asie muadilifu.
Hukumu haitolewi kwa hadithi moja tu kaka ndo maana maulamaa wanavitabu ambavyo vinakusanya masuala yote ya jambo moja na kuja na detail zote kuhusu jambo hilo.
 
Ni fikra zako, ila kumbuka hao tunaowaita watoto wa haramu tunajumuikanao nao humu,, na swadaka zao ndio izo tunajengea misikiti,, kinachotakiwa ni kuacha zinaa,, Hakuna Mtoto wa haramu,, ila Kuna mababa wafanya vya haramu,

Kwani nikuulize swali, dini ya haki mbele ya Mungu ni dini gani hapa duniani?
Hio apo mkuu
tapatalk_1544021301588.jpeg
 
Mbona unaleta porojo, leta hadithi yako wewe yenye matini na isnadi kamili inayotaja hayo uliyosema. Usipoteze mda bhna
Soma post ya juu vizuri uelewe alafu ndo uje uku . Tanguliza nia ya kujifunza kabla ya nia ya ubishani.
 
Fala ww,, ila mzazi wa huyo Mtoto anaruhusiwa kuwa imamu,, Haya ipi ktk Quran mungu ameweka kigezo iko kuwa aliyezaliwa nje ya ndoa hapaswi kuwa imamu,, na kinatumika kipimo gani kujua huyu wa nje ya ndoa au ndani ya ndoa????? Mfano kwetu imamu wetu ni muhamiaji tokea huko kilwa miaka iyo,, alikuja yeye kama yye,, ila kwakuwa ana elimu nzuri ya dini,, tumempa uimamu,,je hapo utajuaje km kazaliwa ndani ya ndoa huko alipotoka
Sawa kosa sio la mtoto lakini ndo ivo mtoto wa zinaa hawezi kua sawa na mtoto wa halali.
Makosa ya wazazi wake yanamkosesha baadhi ya haki zake
Kuna baadhi ya vitu kwa mujibu wa uislamu mtoto aliyepatikana kwa njia ya haramu anakosa.

Mfano:
Hawezi kurithi mali za babaake
Hawezi kitwa jina la ukoo wa baba ake
Hawezi kua imamu
N.k
Ni sawa tu na mtoto aliyezaliwa na wazazi ambao wanaukimwi na yeye mtoto kuzaliwa muathirika wa ukimwi licha ya kua ukimwi waliupata wazazi ila mtoto nae anaupata .
 
Huna ilimu ya dini wala ya kawaida kumbe,kwaheri
 
Urithi uliobora kwa Mtoto ni elimu,, sio mabanda ya mbavu za mbwa
Hawezi kurithi hata hayo mabanda sababu ni mtoto wa haramu.
Na mtoto wa haramu haruhusiwi kurithi kwa baba kwa mujibu wa uislamu
Huhukumiwa kuwa ni mtoto asiye na baba
ndo maana akiwa anaoa au kuolewa walii wake anakua Ni imamu au shehe lakini sio yule baba ake aliemzaa kwa haramu na uzinifu
 
Hitler ni moja ya madikteta maarufu kuwahi kutokea duniani.
Alizaliwa April 20 1889 nchini Austria karibu na mpaka wa Germany na Australia.
Sababu kuu ya kuwaua wayahudi ni baba yake Adolf Hitler ambaye anaitwa Alois Hitler alizaliwa katika mzingira ya aibu.
Maria Ana Mama yake Alois Hitler alibakwa na MTU mmoja Leopold kutoka familia ya kiyahudi ambako bibi yake Adolf Hitler ambaye ni mama yake baba yake alikuwa mtumishi wa ndani.
Baba yake Hitler alikuwa mtoto haramu lakini baadae alihalalishwa na viongozi wa dini..
Adolf Hitler baada ya kukua alipewa hiyo historia tangu hapo hakuwapenda wayahudi.
Aliwapa jina wasaliti.
Asante.
NB#Hitler ni jina la baba mlezi wa baba yake dictator hitler km unajua zaidi tiririka.
Sababu za kijinga sana kutoka kwa MJINGA Hilter.
 
Hawezi kurithi hata hayo mabanda sababu ni mtoto wa haramu.
Na mtoto wa haramu haruhusiwi kurithi kwa baba kwa mujibu wa uislamu
Huhukumiwa kuwa ni mtoto asiye na baba
ndo maana akiwa anaoa au kuolewa walii wake anakua Ni imamu au shehe lakini sio yule baba ake aliemzaa kwa haramu na uzinifu
Na akifa anaenda motoni maana sio kwa iyo adhabu anayoipata hapa duniani,, wakti uho baba yake anaswali swala tano na Mungu anazipokea vizuri tu au?? Haya tumeona kuwa mtoto anaazibiwa Kwa kukosa haki zote izo maaana mkosaji kwa upeo wako,,, Haya Baba nae mnamnyima haki zake zipi Kwa ubaya alioufanya wa kumleta huyo mwana??? Kwa hoja Kama hizi ndio wengine huwa wanamfuta bwana Kiranga na kumuona yupo sawa
 
Suala la hitler limetiwa chumvi nyiingi sn.kuna uongo mwiingi umekolezwa kw hitler.hakuna wa kumsemea hitler.hao aliokuwa anqpigana nao ndio wamejipa kz ya kumsemea.UTAPATA ZURI LA HITLER???!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni fikra zako, ila kumbuka hao tunaowaita watoto wa haramu tunajumuikanao nao humu,, na swadaka zao ndio izo tunajengea misikiti,, kinachotakiwa ni kuacha zinaa,, Hakuna Mtoto wa haramu,, ila Kuna mababa wafanya vya haramu,

Kwani nikuulize swali, dini ya haki mbele ya Mungu ni dini gani hapa duniani?
Upendo na wema ,vinginevyo ni fujo tu na magomvi ya sadaka na ngonjera za yesu na muhammad.
 
Back
Top Bottom