Netanyahu awashutumu Waislamu kwa kumshawishi Adolf Hitler awaue Wayahudi

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,862
Katika video inayosambaa mtandaoni inamuonesha waziri mkuu wa Israel, Netanyahu akiwashutumu waislamu kwa kumshawishi Adolf Hitler kuwauwa na kutaka kutokomeza taifa hilo.

Adolf Hitler aliacha historia isiyosahaulika kwa waisraeli kutokana na mauaji aliyoyafanya dhidi wayahudi, ambayo yalipewa jina la "THE HOLOCAUST". Katika video hiyo Waziri mkuu wa Israel, Netanyahu alisikika akisema;

Hitler hakutaka kuwaangamiza wayahudi kwa kipindi kile, bali alitaka kuwafukuza wayahudi, na Haj Amin al-husseini alienda kwa Hitler na kusema, "Ukiwafukuza watakuja hapa" (akimmanisha kurudi Palestina). "Kwa hiyo nifanye nini kwao" Hitler aliuliza. Haj Amin al-husseini akasema "Wachome moto".

Kwa kauli ya Netanyahu anamaanisha Adolf Hitler hakutaka kuwaua wayahudi, lakini waislamu walimshawishi afanye hivyo.
 
Allahu Akbar
No intimacy kill them all.
a-215.jpg
 
Wayahudi feki wa kizungu wamepika propaganda za uongo nyingi na Sasa wanatafuta kila namna ya wao kukaa middle east ili kusaidiana na marekani kubadilisha tamaduni ya mashariki ya kati.
Au kila jamii ibaki na tamaduni yake..?? Je utaniunga mkono.? Au utabaki na tamaduni za wageni...?
 
Are you spoon feeder..?? Sent kunani..🤣🤣🤣 BICHWA KUBWAAAA lakini UBONGO MDOGO.

Unaonesha elimu yako umeipa kwa mamilioni ya fedha lakini AKILI huna. Ungesoma kayumba ungeishia kidato cha pili tu tena ungepata FFFFFFFFFFFF
Wew kweli ni boya kabisa bichwa kubwa akili kijiko haya ndio madhara ya kuzaliwa kwenye mbunye ukiwa umetanguliza miguu, na ulivyolipumbavu inaonekana hata elimu yako ulipatia memkwa.

Umenikurupukia kimalaya wew form two leaver, ungejua hata nilipofikia usingejichekesha kichoko. Kwa kuniquote kishoga shoga Nina bachelor ya medicine nikiwa na gpa kubwa inayoniwezesha kusoma masters kwa masomo ya surgery, internal medicine na paediatric upo hapo mbwa wew na cku nyingine ucnikulupukie kichoko boya wew.
 
Katika video inayosambaa mtandaoni inamuonesha waziri mkuu wa Israel, Netanyahu akiwashutumu waislamu kwa kumshawishi Adolf Hitler kuwauwa na kutaka kutokomeza taifa hilo. Adolf Hitler aliacha historia isiyosahaulika kwa waisraeli kutokana na mauaji aliyoyafanya dhidi wayahudi, ambayo yalipewa jina la "THE HOLOCAUST". Katika video hiyo Waziri mkuu wa Israel, Netanyahu alisikika akisema;

Hitler hakutaka kuwaangamiza wayahudi kwa kipindi kile, bali alitaka kuwafukuza wayahudi, na Haj Amin al-husseini alienda kwa Hitler na kusema, "Ukiwafukuza watakuja hapa" (akimmanisha kurudi Palestina). "Kwa hiyo nifanye nini kwao" Hitler aliuliza. Haj Amin al-husseini akasema "Wachome moto".

Kwa kauli ya Netanyahu anamaanisha Adolf Hitler hakutaka kuwaua wayahudi, lakini waislamu walimshawishi afanye hivyo.
View attachment 2783988
Wewe mbung'o umeruhusiwa kuendesha mada moja mara mbili mbili
Moderator futa hii rubbish nyingine kaanzisha, tulisha kata kichwa kwenye nyingine humu
 
Back
Top Bottom