Hii ndio sababu Adolf Hitler aliuwa Wayahudi

Hii ndio sababu Adolf Hitler aliuwa Wayahudi

Mtoa mada, ndugu IKIRIRI uko Sawa kabisa. Mtoto wa nje ya ndoa ni haramu. Ukiona mtu anatoa povu ujue kaoa kiporo/single mother halafu kapewa matoto kibao, anajaribu kujenga uhalali wao
Haki za binadamu....
 
Kwa mujibu wa Historia ni kwamba kabla ya Vita ya kwanza ya Dunia, kulikua kuna idadi kubwa ya Wayahudi waishio Ujeruman.

Hitler alikua ni miongoni mwa wapiganaji wa kijerumani,ujerumani walishindwa katika vita hiyo. Sasa wakati inatangazwa kua Ujerumani imeshindwa vita Hitler yeye alikua amelazwa hospitali kwa matibabu ya majeruhi, basi aliposikia Ujerumani imepoteza vita yeye Hitler hakuamini kabisa eti Ujerumani imeshindwa vita kwani aliamini kua jeshi la Ujerumani lilikua Imara na nguvu mno na lisingeweza kushindwa kwa namna yoyote isipokua kwa kusalitiwa na wayahudi ambao alikua wakiishi Ujerumani kwa idadi kubwa.

Kwa kifupi Hitler aliamini Ujerumani ilishindwa Vita hiyo ya kwanza ya dunia kwa hujuma zilizofanywa na Wayahudi na alijiapiza kulipa kisasi atakapopata nafasi.
Nakweli Hitler alipopata nafasi ya kua kiongozi wa Ujeruman aliua maelfu kwa maelfu ya Wayahudi.
Wajerumani walianzisha vita ile ili kupata heshima ya u super power duniani lakini iliwagharimu sana
 
Mtoto wa haramu haingii aklilini kabisa kosa wafanye wengine baalaa limkute mtoto imani zingine hizi bora imani zetu za kiafrika zinamtambua nakumtunza hatakama ushahidi upo hatakua na tofauti mwarabu na mZungu wameua uwezo wetu wa kufikiri
 
Hawa watu weupe wamevuruga history hata aijulikani ukweli ni upi, Hollywood nayo ndiyo imechangia kweli kweli
Vitu vyote tulivyo aminishwa kuhusu wayahudi ni UWONGO WA HALI YA JUU!
Tujithamini watanzania tusonge mbele!
 
Mtoto wa haramu haingii aklilini kabisa kosa wafanye wengine baalaa limkute mtoto imani zingine hizi bora imani zetu za kiafrika zinamtambua nakumtunza hatakama ushahidi upo hatakua na tofauti mwarabu na mZungu wameua uwezo wetu wa kufikiri
True
Maana una mmark Mtoto jina baya katika uhai wake wote hapa duniani!
Hakika hai make sense walahi!
Ni uonevu!
 
Uzi umeharibiwa na mletaji , ameharibiwa kwa kuafiki kuwa Mtoto wa nje ya ndoa rasmi kwa mujibu wake hapaswi kupewa recognition ya utu au ubinadamu! Haramu hana pa kuwekwa katikati ya halil bali Aswekwe kuelekea hifadhi ya haram! Wayahudi na Hitler imekuwa siyo big issue tena hapo kwenye stori. Ukiwa una click chunga tafsiri ya clicks zako!
 
Back
Top Bottom