Hii ndio sababu Adolf Hitler aliuwa Wayahudi

Wapi ulipoambiwa mtoto aliyepatikana kwa njia ya uzinifu anakatazwa kuwa imamu msikitini?duh hii ndio kwanza naisikia kwako, emu tupe ushahidi wa hadithi aya ya quran kutetea upopoma wako
Wewe ulishaona wapi mtoto wa zinaa anaongoza sala ?
 
Wapi ulipoambiwa mtoto aliyepatikana kwa njia ya uzinifu anakatazwa kuwa imamu msikitini?duh hii ndio kwanza naisikia kwako, emu tupe ushahidi wa hadithi aya ya quran kutetea upopoma wako
Wewe nipe ushahidi kuwa anaruhusiwa kuwa imamu wa sala
IMG_20190101_115454.jpg
IMG_20190101_115815.jpg
 
Kama sio mtoto wa haramu kwa nn haruhusiwi kuwa imamu msikitini??
Write your reply........
Fala ww,, ila mzazi wa huyo Mtoto anaruhusiwa kuwa imamu,, Haya ipi ktk Quran mungu ameweka kigezo iko kuwa aliyezaliwa nje ya ndoa hapaswi kuwa imamu,, na kinatumika kipimo gani kujua huyu wa nje ya ndoa au ndani ya ndoa????? Mfano kwetu imamu wetu ni muhamiaji tokea huko kilwa miaka iyo,, alikuja yeye kama yye,, ila kwakuwa ana elimu nzuri ya dini,, tumempa uimamu,,je hapo utajuaje km kazaliwa ndani ya ndoa huko alipotoka
 
Huyu ni mzushi aka Ahlul bid'aa anazua katika dini.
 
Kama sio mtoto wa haramu kwa nn haruhusiwi kuwa imamu msikitini??
Write your reply........
Nitajie aya gani katika Quran hadithi ya mtume ambayo imesema Mtoto wa nje ya ndoa aruhusiwi kuwa imamu,, maana Quran imetaja miongozo ya sala na kila kitu had namna za kuchukua udhu,, mi nimepekua kitabu kizima sijaona huo uzushi wako kuwa Mtoto WA nje ya ndoa aruhusiwi kuwa imamu,,

Kwaiyo Baba ambae ndio mzinifu Mkubwa aliesababisha kuja kwa huyo mtoto yye ndio anaruhusiwa kuwa imamu na kufuga midevu km beberu kwa uzinifu aliofanya na unaamini kabisa huyo baradhuli akiswalisha swala yake inaswiii ¿??!!!
 
Huyu ni mzushi aka Ahlul bid'aa anazua katika dini.
Hata mtume ( saw)alipowaambia warabu waache kuabudu masanamu wamuabudu mungu mmoja pia aliambiwa na waarabu kuwa ni mzushi anakuja na dini mpya..

""Uislamu ulikuja mgeni na utarudi mgeni ""
We baki ivoivo tu...
 
Ivyo vikaratasi vyako vya kuchapisha pale kariakoo hatuvitaki,, lete maneno ya Mungu Quran tukufu

Alete hata hadithi dhaifu, yenye isnadi isiyoeleweka aokote kwenye dust bin atuletee, sio aya huko mbali sana.😀😀😀
 
Hata mtume ( saw)alipoeaambia wwarabu waache kuabudu masanamu wamuabudu mungu mmoja pia aliambiwa na waarabu kuwa ni mzushi anakuja na dini mpya..

""Uislamu ulikuja mgeni na utarudi mgeni ""
We baki ivoivo tu...

Ndugu si ulete ushahid shida iko wapi? Mimi nataka kalla llahu au kalla rasulillah
 
Nitajie aya gani katika Quran hadithi ya mtume ambayo imesema Mtoto wa nje ya ndoa aruhusiwi kuwa imamu,, maana Quran imetaja miongozo ya sala na kila kitu had namna za kuchukua udhu,, mi nimepekua kitabu kizima sijaona huo uzushi wako kuwa Mtoto WA nje ya ndoa aruhusiwi kuwa imamu,,

Kwaiyo Baba ambae ndio mzinifu Mkubwa aliesababisha kuja kwa huyo mtoto yye ndio anaruhusiwa kuwa imamu na kufuga midevu km beberu kwa uzinifu aliofanya na unaamini kabisa huyo baradhuli akiswalisha swala yake inaswiii ¿??!!!
Wewe bila shaka utakua ni mtoto wa haramu .
Maana sio kwa povu hili.D😀😀😀
 
Back
Top Bottom