Hii ndio sababu Adolf Hitler aliuwa Wayahudi

Hii ndio sababu Adolf Hitler aliuwa Wayahudi

Kwa mujibu wa Historia ni kwamba kabla ya Vita ya kwanza ya Dunia, kulikua kuna idadi kubwa ya Wayahudi waishio Ujeruman.

Hitler alikua ni miongoni mwa wapiganaji wa kijerumani,ujerumani walishindwa katika vita hiyo. Sasa wakati inatangazwa kua Ujerumani imeshindwa vita Hitler yeye alikua amelazwa hospitali kwa matibabu ya majeruhi, basi aliposikia Ujerumani imepoteza vita yeye Hitler hakuamini kabisa eti Ujerumani imeshindwa vita kwani aliamini kua jeshi la Ujerumani lilikua Imara na nguvu mno na lisingeweza kushindwa kwa namna yoyote isipokua kwa kusalitiwa na wayahudi ambao alikua wakiishi Ujerumani kwa idadi kubwa.

Kwa kifupi Hitler aliamini Ujerumani ilishindwa Vita hiyo ya kwanza ya dunia kwa hujuma zilizofanywa na Wayahudi na alijiapiza kulipa kisasi atakapopata nafasi.
Nakweli Hitler alipopata nafasi ya kua kiongozi wa Ujeruman aliua maelfu kwa maelfu ya Wayahudi.
Uko sahihi
Hata mimi hua najua hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijajua kwa nini kila ikitajwa kuteswa wayahudi anatajwa Hitler peke yake.Kihistoria viongozi zaidi ya watatu akiwemo farao wa Misri,kiongozi mwingine wa Ufaransa na Hitler waliwahi kuwaadhibu wayahudi kwa sababu tofauti.Chimbeni history. Na wana history wana idadi ya wayahudi waliouliwa na Hitler , sijajua kwa nini hawana pia idadi ya wapalestine waliouliwa na hawa wayahudi
6 million jews waliuliwa na hitler kwa tuhuma za kuisaliti ujerumani na kutoa siri za nchi hiyo kwa mataifa hasimu kama France na British.
 
Nitakuwa wa mwisho Kuziamini na Kuzikubali hizi ' Hoja ' zako nyepesi sana na zilizojaa ' Simulizi ' za kutoka katika Vijiwe vya Kahawa.
Mleta mada kazingua sana aisee.
Mimi nachojua Hitrel aliwauwa wayahudi kwa sababu aliona waliisaliti ujerumani katika vita ya kwanza na kusababisha ujerumani ishindwe na alinukuliwa akisema
"We never lost the war,we were betrayed"

Pia sababu nyingine ni kuwa wajerumani wengi waliwachukia tu wayahudi hata kabla ya vita .hivo hitrel pia aliwachukia aliahidi kabisa kwenye kampeni kua ata deal na wayahudi .

Hizi stori za mleta mada sijawahi kuzisikia

Upo sahihi mkuu....
kosa kubwa walilotuhumiwa wayahudi ni USALITI.
hayo mengine labda ni chini ya kapeti
 
Hitler ni moja ya madikteta maarufu kuwahi kutokea duniani.
Alizaliwa April 20 1889 nchini Austria karibu na mpaka wa Germany na Australia.
Sababu kuu ya kuwaua wayahudi ni baba yake Adolf Hitler ambaye anaitwa Alois Hitler alizaliwa katika mzingira ya aibu.
Maria Ana Mama yake Alois Hitler alibakwa na MTU mmoja Leopold kutoka familia ya kiyahudi ambako bibi yake Adolf Hitler ambaye ni mama yake baba yake alikuwa mtumishi wa ndani.
Baba yake Hitler alikuwa mtoto haramu lakini baadae alihalalishwa na viongozi wa dini..
Adolf Hitler baada ya kukua alipewa hiyo historia tangu hapo hakuwapenda wayahudi.
Aliwapa jina wasaliti.
Asante.
NB#Hitler ni jina la baba mlezi wa baba yake dictator hitler km unajua zaidi tiririka.
Usisahau pia mahaba ya Hitler ya kuu Wayahudi yalipewa mchango mkubwa na Mufti wa Jerusalem Amini Al-Husain

Amin al-Husseini - Wikipedia
 
Kwaiyo Hitler ni myahudi maana bibi yake alivyobakwa akazaliwa baba yake na Hitler

Sent using Jamii Forums mobile app
Ikumbukwe kwamba Hitler alikulia Vienna nhuko Vienna akakutana na Karl Lueger aliyemfundisha chuki dhidi ya wayahudi.Kwakuwa bibi yake alibakwa na bado Ulaya nzima ilijaa chuki dhidi ya wayahudi basi Kijana Hitler hakuwa na namna.Pamoja na hayo yote nani aweza kuwa wa kwanza kumrushia jiwe Adolf Hitler? Vipi chuki yetu dhidi ya wahindi hadi tunawabambika majina kibao? Kanjbhai, ponjoro, kuchkuch hotae, magabachori etc.Tatizo jamii hizi hupenda kujitenga na kutochangamana na wenyeji.Wenyeji hujikuta maskini na kuwaona hawa wakuja kama chanzo cha matatizo yao,hivyo chuku haiepukiki.Ila najua Joseph Stalin alikuwa katili kuliko the Fuerher.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi PHARAOH (FIRAUN ) alikuwa Mwarabu, mwafrika, mwizraeli ama mzungu?
 
Najua wewe ni muislam na unadhan kwamba uislam ndio unakuambia useme hivyo, je unajua maan ya aya hii katika quran?

Na kila nafsi haichumii ila nafsi yake. Na habebi mwenye kubeba mzigo wa mwenziwe. Kisha marejeo yenu ni kwa Mola wenu Naye Atakuambieni mliyo kuwa mkitofautiana” (6: 164).
Sasa kama ulijua dini yake tena ulimuulizia nini kama sio unafiki tu? Halafu hio aya yako inahusiana vipi na mtoto aliepatikana kwa njia za haramu?

Katika uislam, njia halali ya kupata mtoto ni moja tu, ukiwa ndani ya ndoa. Ukiwa nje ya ndoa na ukazaa, huyo mtoto ni haramu kwako, wala hujaambiwa kama mtoto huyo atahukumiwa kisa kapatikana nje ya ndoa.
 
Labda uniambie tafsr ya unafiki ni ipi, maana haimaanishi ukiwa muislam ndio uongope au jambo huna elimu nalo useme uongo. Hapa Hata wewe umepotosha na sio kwa hiari yako bali kwa kutokujua. Mtoto anayepatina nje ya ndoa tendo ni haramu lakin sio mtoto, hakuna mtoto wa haramu kwa tafsr yako na dini ya uislam ilivyo kitu chochote cha haramu ima ukikitenda ukafa nacho bila kutubia basi Allah anaweza kukuadhibu kwa uadilifu wake na akakusamehe kwa rehma zake (isipokuwa ushirikina-shirki), sasa niambie mtoto aliyezaliwa kwa zinaa makazi yake motoni hata kama atatenda wema asimuasi Allah?

Ukaongelea mtoto wa zinaa ni haramu kwangu, sheria ilivyo mtoto yeyote anayezaliwa kwa njia ya uzinifu basi huyo mtoto ni mali ya mama tu. Haruhusiwi kurithi wala wewe mwanaume huna haki naye yoyote lakini pamoja na haya yote bado hakuna mahala popote katika dini ya uislam panaposema mtoto wa zinaa basi yeye anakuwa haramu.
Allah a'alam.
 
Kuna sehemu nimesema huyo mtoto ni haramu au mtoto wa haramu?

Zinaa ni halali au ni haramu?

Hebu tuanzie hapo maana naona unataka kupotosha kilichoandikwa
 
Kuna sehemu nimesema huyo mtoto ni haramu au mtoto wa haramu?

Zinaa ni halali au ni haramu?

Hebu tuanzie hapo maana naona unataka kupotosha kilichoandikwa

Kwanza umedandia mbele kuja kudakia hoja ambayo hujui imeanzia wapi, na ndio maana hata hujui hiyo haya niliyoweka inauhusiana vipi na hoja iliyokuwa ikiendelea. Hivyo nikusihi tu. Fuatilia huu mjadala toka mwanza na sababu ya mimi kuweka hiyo aya utapata huko. Utapata jibu kama zinaa ni haramu au halali.
 
Back
Top Bottom