Jimbo gani limeendelea?Huwa napita kikazi huko na mara ya mwisho nilikuwa huko desemba mwaka jana (2018).
Jimbo gani limeendelea?Huwa napita kikazi huko na mara ya mwisho nilikuwa huko desemba mwaka jana (2018).
Ndo mana CCM wanachama wake hawana hoja zaidi yakujivunia vyombo vya dola na tume ya uchaguzi. Baada ya muda watakuwa hawana LA kuwaeleza watu zaidi ya kuwatisha watu. Toka chama cha Nyerere chenye hoja mpaka jeshi LA maangamizi kulazimisha kutawala.T
Tatizo la wana CCM baada ya kuwa chama chao kuwa ndo chenƴe Serikali wameacha kujifunza na kufikiri!
Ƙiburi cha madaraƙa kuwa wana vyombo vƴa dola na vƴomɓo hivƴo kuruhusu kutumiwa na Wana CCM, kumeleta ulemavu wa fikra miongoni mwao!
Ƙila mwana CCM amebakiza majigambo ya kulinɗwa na dola hata akiumiza wananchi wenzake kwa chuki za kutoungwa mkono au ƙupongezwa kwa yale anaƴoona ƴeƴe ni matenɗo mazuri lakini wenƴe mawazo tofauti hawayaƙuɓali.
Ƙilema hiki cha wana CCM, wengine wanaita madaraka ƴa kulevƴa kwa maoni yangu si rahisi ƙwa sasa wakaondokana nacho mpaƙa serikali wanaƴoiongaza itakapoangushwa, hailishi ni ƙwa namna gani au ni lini hili litatokea.
Labda wewe ndio huna upeo..jinga kweli utamfananishaje Doctor na undergraduate..hapo tu penyewe huoni..lissuu ana nini wajameni uanaharakati ule ndio mnaona kuna kitu..hata wewe ukiamua kuwa mwanaharakati hata kama unaongea pumba wenzako wataona unatoa point.. hivi hushangai hata yule mzungu aliyekuwa akimuhoji alikuwa akishangaa kwamba wamemletea kituko cha binadamu..khaaaMuda mfupi uliopita nimesikiliza mahojiano ya mtukufu akiwa na m7 mbele ya waandishi wa habari kule Hoima. Nimeamini mkuu hawezi kusimama na Lisu kujibu maswala au hoja zake. Hana upeo kabisa!
Ila awamu hii ni ya kupigana shaba?Ukinidharau unanipunguzia kipato changu Au nitashindwa kupata usingizi!!?
Ungekuwa una umuhimu kwangu dharau yako ingenitia simanzi. Kuna kesi ngapi zilipitia katika huo mlolongo uliotaja awamu zilizopita na baadae zikaja gundulika mtuhumiwa au watuhumiwa hawakuwa na hatia!? Au kuna kesi ngapi ambazo watuhumiwa walikuwa na hatia pasi na Shaka lakini mwisho wa siku walishinda kesi hizo na tuko nao mtaani!?
Awamu zilizopita Pesa ilipindisha sana na kupokonya Haki za Wanyonge.
Kishapona mkuu. Ama kuna Lissu mwingine mgonjwa?Vijana mna vituko,maana nilifikiri ni dawa ya kumsaidia apone haraka na aweze kurudi Tanzania
Mhm kweli tumeingiliwa awamu hii!Wote wenye akili wameondoka ccm mkuu , hata wale wachache waliobaki ni kama wameng'olewa ubongo , hivi ulitegemea Mizengo Pinda kuandamana huko Mafinga kupongeza kuondolewa kikokotoo ?
Umeshasahau kwamba kuna lundo la wanaupinzani wamehamia kwa ccm kwenda kum support Magufuli..hahahah mmesahau..!! Na wimbi la kuhama litaendelea sijui utabaki unaongea nini maskini ya Mungu..mnahangaika badala ya kutafuta mbinu za kumdhamini kiongozi wenu Mbowee anaozea lupango mnahangaika huku na pumba tu..nendeni mkandhamini mwenzenu..! Au nayeye alizoea vya kunyongaaa...???vya kuchinja haviweziiiiNdo mana CCM wanachama wake hawana hoja zaidi yakujivunia vyombo vya dola na tume ya uchaguzi. Baada ya muda watakuwa hawana LA kuwaeleza watu zaidi ya kuwatisha watu. Toka chama cha Nyerere chenye hoja mpaka jeshi LA maangamizi kulazimisha kutawala.
Sasa hivi Tundu Lisu ni wa level ya juu sana kimataifa. Wale waliotopea kwenye ujinga hawataelewa. Na wanaopuuza, watakuja kubakia midomo wazi.Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Kwa hiyo mtutu umetumika kuwahamisha viongozi wenu kuhamia ccm woteSio kwa hoja ni kwa kutumia mtutu. Ndo mana sin hofu. Najua hoja hamna ila ni tume na majeshi tu basi.
Ni kweli katika kutetea USHOGA na MASHOGA yupo next level kabisaa.ya kimataifa .BIG UPSasa hivi Tundu Lisu ni wa level ya juu sana kimataifa. Wale waliotopea kwenye ujinga hawataelewa. Na wanaopuuza, watakuja kubakia midomo wazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mbona wanajizungusha tu hawasemi zilipo 1.5 T?Ushoga kwa Tanganyika kwanza hauna uhusiano na wizi wa trilion 1.5 ufisadi kwenye ununuzi wa ndege miladi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa kiwanja cha ndege kijijini chato porini, watetezi wa CCM ni wajinga sana wanakuja na kisingizio cha ushoga utadhani ushoga una uhusiano na viwanda au maendeleo nchini.
unajua we ni Juha. Majimbo mangapi ni hohehae hapa TZ? Umeona huko tu kwasababu Lisu yu kinyume na Jiwe? Kuhusu maji ushatembelea jimbo LA Mkuchika? Huyu ni mbunge mwandamizi.Hata ungekuwa na Tsh milioni 2, zingegawanywa sehemu husika ili kuonyesha Nia thabiti ya kiongozi waliomchagua kutatua shida zao na kuwapelekea maendeleo.
Mwaka jana ilibidi Mh. Kingu mbunge wa Singida magharibi(CCM) awapiganie na kuwasemea kuhusu shida ya Maji. Hauoni tatizo hapo!?
We unakiburi kwasababu ya vyombo vya dola na tume yako ya uchaguzi. Vitakutoa jasho hivyo siku moja.Serikali ina VIPAUMBELE vyake kwa mujibu wa ILANI ya Chama tawala. Mbunge kazi ni kusemea na kuwapigania wapiga Kura wake kwa kuisumbua kwa Unyenyekevu serikali....zingatia neno "Unyenyekevu" hapo. Angalia majimbo ya Upinzani yenye Wabunge wanaojitambua yanavyosonga mbele kimaendeleo.
Endeleeni na kiburi, matusi na kejeli kwa walioshika Mpini ilhali mkiwa mmeshika kwenye makali.
2020 ndio mtaelewa zaidi.
Hilo jimbo limekuwa chini ya CCM kwa miaka karibu 50 sasa unatumia hoja gani yenye nguvu. Halafu Watanzania tulivyo mabwege, tunaamini kabisa kuwa mbunge ndio analeta maendeleo jimboni! Mbunge ni mwakilishi tu wa wananchi, ni msemajj wa kuwasilisha changamoto na maoni ya wananchi kwenda serikalini.Hizo Hoja hewa anazojenga Bungeni kwa zaidi ya miaka 10 zimewasaidia nini wapiga Kura wake!? Tembelea katika Jimbo lake ndio utamjua vizuri Tundu Lissu aka Kasuku.
Wana Singida mashariki wanataabika na hali ngumu ya maisha, huku yeye akizunguka kwa mabeberu na kuunga mkono USHOGA.
Pathetic!
Hili niliwahi kulionya zamani.Ndo mana CCM wanachama wake hawana hoja zaidi yakujivunia vyombo vya dola na tume ya uchaguzi. Baada ya muda watakuwa hawana LA kuwaeleza watu zaidi ya kuwatisha watu. Toka chama cha Nyerere chenye hoja mpaka jeshi LA maangamizi kulazimisha kutawala.
Kingereza ndio kinachojenga uchumi wa kisasa..?? Wachina wanaongea kingereza..warusi je..???? Achana na ukoloni mamboleo huo..zinduka kamanda..usiwe na mawazo ya kitumwa mpaka leoHujui kiingereza kama yule Juha wenu.
Sasa ww maendeleo hata unayoyataka ata hao wabunge waccm kwenye majimbo yao hamna tena ndo hovyo kabisa yaan. Kw taarifa yako majimbo ya wapinzan weng yanamaendeleo ata ya kiufahamu kuliko ya ccm ambay maendeleo ata ya elimu hamna.Ulitaka Steve Sackar ndio apeleke maendeleo na kuwasemea huku akiwapigania kutatua shida zao wana Singida Mashariki!?
Mnategemea tume tu basiHakuna ubishi Magufuli ni kiongozi anayekubarika sana nchini Tanzania hata nje ya Tanzania ukiondoa watu wachache wenye uchu na madaraka.
Magufuli anakubarika na watu wote nchini Tanzania ukianzia:
* Wamachinga.
* Mama ntilie.
* Viongozi wa dini.
* Wafanyakazi wa umma
* Walala hoi
* Vijana, kinamaa na wazee.
Sitaki kusema kwa nini anakubarika nadhani kila mmoja anajua huyu bwana ni kiongozi wa aina gani katika taifa letu pendwa.
Sasa kimshauri Tundu Lisu apambane na magufuli katika mbio za urais 2020 si ushauri mzuri kabisa kwa Tundu Lisu kwani ndiyo utakuwa mwanzo wa mazishi ya kisiasa ya Lisu.
Lisu hana uwezo wa kusimama na Magufuli 2020 na akashinda eti kwa kutumia hoja ambazo hazina mashiko makubwa kwa watu wengi kama vile:
* kuminywa kwa demokrasia.
* Kupigwa risasi kwa Lisu.
* Kuwekwa mahabusu kwa mbowe.
* Kununuliwa kwa wanasiasa.
* na hoja nyingine dhaifu.
Ukiangalia kwa umakini hizo hoja zinajibika kiwepesi sana.
Sasa Lisu akisubutu kuingia kwenye competition ataenda kushindwa vibaya sana na pengine tukamkosa bungeni kwa muda wa miaka mitano kitendo ambapo kitamfanya ashuke kisiasa afanane na David Kafulila.
Lisu ni bora tu ugombee ubunge 2020 kwani hoja zako zinahitajika sana bungeni kuliko kugombea urais ambao utakupoteza kisiasa.
SINTOJISIKIA VIZURI KUMKOSA LISU BUNGENI KWA MIAKA MITANO 2020-2025. WASHAURI WA CHADEMA FANYENI KAZI YENU VIZURI JUU YA HILI.
Umenena vema mkuu, halafu unaweza kabisa kushangaa hata wasomi wa chuo kikuu wanaamini maji yanapelekwa na mbunge huko jimboni. Wanasahu kuwa kazi ya mbunge ni kuiambia serikali kuwa huku hakuna maji hivyo leteni maji.Hilo jimbo limekuwa chini ya CCM kwa miaka karibu 50 sasa unatumia hoja gani yenye nguvu. Halafu Watanzania tulivyo mabwege, tunaamini kabisa kuwa mbunge ndio analeta maendeleo jimboni! Mbunge ni mwakilishi tu wa wananchi, ni msemajj wa kuwasilisha changamoto na maoni ya wananchi kwenda serikalini.
Nyongeza, hali duni unayoiona Singida Mashariki ndio hivyo kwa majimbo karibu yote ambayo yako vijijini.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiingereza ndicho kingekufanya uweze kufuatilia mahojiano yale. Ndo mana hujui kilicho zungumzwa. Bora unyamaze basis waachie walio elewa si lazima ushiriki mjadala.Kingereza ndio kinachojenga uchumi wa kisasa..?? Wachina wanaongea kingereza..warusi je..???? Achana na ukoloni mamboleo huo..zinduka kamanda..usiwe na mawazo ya kitumwa mpaka leo
Kwa tume hii sitashangaaMagufuli anang'aa kisiasa na kiungozi kwa mng'ao ambao unaiumiza sana upinzani na kujiuliza tutoke vipi mbona anapendwa sana?
Kwa mara ya kwanza historia itaandikwa tanzania kwenye uchaguzi wa 2020 kwa wapinzani kupata kura za aibu na chache kuliko wakati wowote ule.